Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

PENZI LA MHALIFU 13.

18th Apr, 2025 Views 17

PENZI LA MHALIFU 13.

Baada ya mda sikuweza kuisikia sauti ya Cyborg tena kwani tayari alikuwa ameshaondoka. niliamua kujiandaa kwa ajili ya kwenda kazini. nilipomaliza niliondoka kwa ajili ya kwenda kuungana na asikari mwenzangu.

Kiukweli hiyo siku nilikereka sababu hakukuwa na kazi yoyote ya maana zaidi ya kuzunguka na kupigwa baridi tu usiku huo, nilikiri wazi kuwa mkuu kama kunikomesha aliamua kunikomesha kwani baridi lilikuwa linanipiga kisawa sawa na nilitamani mda huo ningekuwa pembeni ya Cyborg wangu.

Basi nilikaa pamoja na asikari wenzangu mpaka majira ya saa 11 alfajiri ndipo tulipoamua kurudi kwenye makazi yetu.

Nilifika nyumbani na kushangaa kwa kutokumuona Cyborg hivyo niliamua kumuuliza binti yetu wa kazi.
Binti wa kazi alinijibu kuwa Cyborg hakurudi tangu alipoondoka.

Kidogo nilianza kushikwa na mashaka kwa kuhisi lazima atakuwa kaenda kusababisha matatizo mengine.

Kwakuwa nilikuwa na usingizi niliamua kujiegesha kitandani, na nikiwa nautafuta usingizi nilikumbuka ushauri niliopatiwa na Afande Neema wa kukubali kufanya mapenzi na Mkuu wangu.
"Inabidi tu nikubali kufanya nae mapenzi walau mara moja ili mambo mengine yaweze kwenda lasivyo atanitesa sana" niliongea mwenyewe na kwenye akili yangu nilikuwa nimeshakubali kumpatia penzi Robert au mkuu wangu wa kazi ili anitoe kwenye kazi ya usiku

Nilipitiwa na usingizi na nilikuja kushituka mida ya saa 1 asubuhi baada ya kuhisi mwili wangu ukipapaswa, nilishituka na kumkuta Cyborg akinipapasa huku tayari akiwa ameshavua nguo zake na mpini wake ukiwa unaning'inia.
"Malaika wewe usijali nimeshasababisha tayari huko, yule mpuuzi hawezi kukufanya chochote tena" Cyborg aliongea huku akiendelea kunishikashika.
"Kwani umemfanya nini!?" nilimuuliza lakini hakutaka kunijibu zaidi ya kuhitaji kunizagamua mda huo na aliniambia nikienda kituoni mkuu wangu mwenyewe ataniambia.
Nilitamani kujua ila Cyborg hakutaka kuniambia kabisa.

Basi tulifanya yetu na baada ya kumaliza nilienda kazini ile nafika tu nilikutana na taarifa za kuhitajika na mkuu kwenye ofisi yake.

Nilienda na nilipofika mkuu aliongea.
"Jambazi wako anajifanya mjanja sana aya nimekubali kukutoa kwenye kazi za usiku ila nenda ukijua ndiyo kwanza vita vimeanza, lazima nimkomeshe mme wako na lazima nije nikutie utake usitake" mkuu aliongea na mimi niliondoka, Sikujua mkuu amepanga kufanya kitu gani.

Baada ya masaa kadhaa kwenda nilirudi nyumbani na nilikuwa na hamu ya kumuuliza Cyborg kimetokea nini mpaka Mkuu akaamua kubadilisha utaratibu aliokuwa ameniwekea wa kunipa kazi za usiku.

Basi bhana Cyborg alikuja nyumbani na swali la kwanza nililomuuliza ni hilo la kutamani kujua.

Baada ya kumuuliza Cyborg aliachia tabasamu nakuniambia.
"Malaika nilikwambia hamna mtu atakayekugusa mimi nikiwepo"
"Kwanini unasema hivyo!?"
Nilimuuliza na Cyborg alianza kunisimulia kila kitu kilichotokea.

Alienda mpaka nyumbani kwa mkuu wetu na alikuwa ameshapeleleza na kupafahamu. Cyborg aliniambia alipofika kwake hakumkuta yeye ila alimkuta mke wake na aliamua kumweleza mke wake kila kitu.

Alimwambia mkewe endapo mme wake atafanya mapenzi na mimi basi na yeye atafanya mapenzi  na yeye ili kulipa kisasi haijalishi ni kwa njia gani, japo mke wa kiongozi wetu alikuwa mbishi na kupingana na maneno ya Cyborg ila alimwambia atake asitake atafanya nae labda sio yeye Cyborg.

Cyborg hakuishia kumwambia mke wake tu alimsubiria Mkuu mwenyewe na alipokuja alimwambia kama alivyomwambia mkewe na kuondoka.

Nilibaki nimeshangaa kwa kile alichonisimulia Cyborg hivyo niliamua kumuuliza.
"Kwahiyo mimi ningefanya mapenzi na boss wangu na wewe ungeenda kulala na mke wake!?"
"Nahisi unanijua vizuri Malaika huwa sidanganyi, lazima na yeye ningeenda kumgongea mke wake tena ningepita njia zote ya nyuma na ya mbele" Cyborg aliongea na hapo ndipo nilipoamini kweli alithamilia.

Cyborg alizidi kuniambia.
"Hakikisha chochote kile atakachokuwa anakufanyia uwe unaniambia Malaika" Cyborg aliniambia kwa msisitizo.
"Mmmh, sawa ila sitaki uje uuwe mtu maana bado nakuhitaji kipenzi" nilimwambia maana pia nilifurahishwa kwa yeye kumfanya mkuu wangu anitoe kwenye kazi za usiku.

Nilijikuta nikimkumbatia Cyborg kwa msaada alionipa na kwakuwa alikuwa ameshanizoesha kila siku kunikuna  nilipandwa na hisia za gafra.

Nilimwangalia huku nikiwa nimelegeza macho yangu na kumwambia.
"Beb twende ukanikune"
"Wapi panawasha!?" Cyborg aliniuliza na mimi nilimpa ishara ya macho nikimaanisha tunda langu linahitaji kuliwa mda huo.

Kati ya wanaume walio kamili mmoja wao ni Cyborg hakuwa na visingizio vya kuchoka wala nini.

Alinibeba na kunipeleka chumbani na kilichokuwa kikiendelea ni mizagamuo tu.

Mwezi mmoja ulipita bira kupata usumbufu wowote ule kutoka kwa mkuu wangu na asikari wengi tulishangaa kumuona mkuu akitengeneza urafiki na Afande Davi.

Siku hiyo Afande Neema alikuja kuniambia kitu kilichonishitua.
"Angel bora na mimi ningekuwa na mwanaume anayeweza kunilinda kama Cyborg kiufupi namtamani mme wako" aliniambia na kunifanya nimkate jicho baada ya kusema anamtamani Cyborg wangu ila nilijikaza nakumuuliza sababu ya yeye kusema hivyo.
"Kwani kuna kitu gani kimetokea mpaka uniambie hivyo!?" Baada ya kumuuliza nilishangaa kumuoa akiinamisha kichwa chake kwa aibu na kuniambia.
"Jana nimefanya mapenzi na Mkuu na sikuwa na ujanja wa kukataa maana alinilazimisha na alinitishia kuwa atanipangia zamu za usiku ikiwa nitakataa" Afande Neema aliongea na ongea yake tu ilionesha kweli Robert ambae ni Mkuu wetu ameshamla tayari.
"Kwanini ulikubali kizembe hivyo na wewe!?" ilibidi nimuulize Afande Neema.
"Sikuwa na njia nyingine na mimi kazi za usiku sizipendi kabisa na asikari wa kike wengi unaowaona hapa tayari ameshawala ila hana maajabu yoyote yale dekika tano tu amemaliza"

Hapo ndiyo nilijua kweli mkuu wetu ni kicheche na anapenda wanawake balaa.

"Mimi ata kama awe hana maajabu siwezi mfunulia chupi yangu yule" niliongea na tulizidi kuongea mengi huku nikimpa pole Afande Neema kwa kile kilichomkuta....ITAENDELEA

Inapatikana kwa Tsh 1000 tu.
Namba za malipo.????????????????

0613083801 HALOPESA Jina John Bugumba.

0755271203 M-pesa Jina John Bugumba..

Za hivi punde ni za 🔥🔥🔥 | Sema Jambo
Your settings were saved successfully!
Something went wrong!
You're not logged in
Click here to login and post your story

Welcome gonga94 Continue reading the various stories available here. Click here. Are you an artist then create an account here Signup/Login


mjukuu rewards 100
 

NITAKUPA USINIROGE (1)

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 19

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 18

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 17

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 16

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 42

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 41

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 40

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 39

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 38

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 37

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 36

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 35.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 34

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 33.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 32

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 31

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 30

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 29

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 28

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 27

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 26

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 25

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 24

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 23.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 22

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 21

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 20

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 19.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 18

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 17.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 16

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 15.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 14

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 13.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 12

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 11.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 10

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 09

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 08

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 07.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 06

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 05.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 04.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 03

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 02

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 01.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 22.

mjukuu rewards 0
 

NASEMA KWA MAMA **** 3--4

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 15

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 14

mjukuu rewards 0
 

WIFI KHAA 04

mjukuu rewards 0
 

NASEMA KWA MAMA* 1-----2

mjukuu rewards 0
 

KIJIJI CHA WAGENI! 04

mjukuu rewards 0
 

MKE WA MGANGA ( 1——5 )

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 13

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 21.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 20.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 19.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 18.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 17.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 16.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 15.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 14.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 13.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 12.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 11

mjukuu rewards 0
 

WIFI KHAA 02 #Tulipoishia

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 10

mrindia rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 09

mjukuu rewards 0
 

*MY CHUNUN* 01

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 09

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 08

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 07

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 06

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 05

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 4

mjukuu rewards 0
 

SHANGATISA EP: 3

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: {02}

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 1

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 08

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU (06 & 07)

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 05

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 04

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 03

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU (01& 02)

mrindia rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 01

mjukuu rewards 0
 

MTOTO WA GETI KALI 1 - 6

mjukuu rewards 0
 

MIMI SIO KICHAA

mrindia rewards 0
 

SITOMWACHA HATA IWEJE

mjukuu rewards 0
 

BINTI MCHAWI

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest