PENZI LA MHALIFU 11.
Nilitoka ndani ya chumba hicho nikiwa na hasira na nilivyofika nje nilimkuta mkuu wangu kwenye gari akihangaika kubadilisha nguo kwa kuvua nguo zake za kazi, moja kwa moja nielewe kuwa ulikuwa ni mpango na hakukuwa na kazi yoyote ile iliyokuwa inatakiwa ifanyike.
Mkuu alishituka kuniona sababu hakutegemea kuniona mda huo hivyo aliamua kuniuliza.
"Mbona umerudi sasa ivi umeshakamilisha kazi!?"
Baada ya yeye kuniuliza na mimi kwa dharau niliamua kumjibu.
"Kazi ya kuja kunibaka sio!?"
Jibu langu kwake aliona kama dharau hivyo alichukua mfuko uliokuwa na sare zangu za kazi nakuamua kunitupia bira kunipa nafasi ya kuingia kwenye gari.
"Subiri utaona na utajuta mimi kuwa mkuu wako wa kazi" aliongea nakuondoka akiwa na gari yake.
Nilibaki nikimwangalia huku nikiokota mfuko wangu na kuongea.
"Wewe ata ufanyeje ila hupati penzi langu kizembe hivyo" niliongea nikiwa mimi mwenyewe nakuamua kuondoka.
Kwakuwa ulikuwa ni mda wa jioni niliamua kwenda nyumbani moja kwa moja pasipo kupitia kituoni.
Nilifika na kumkuta Cyborg aliyeshangaa kuniona nikiwa kwenye mavazi mengine tofauti na sare zangu za kazi hivyo alianza kuniuliza maswali ya kila aina.
"Malaika imekuwaje mbona mapaja yote nje!?"
Baada ya Cyborg kuniuliza nilibaki nikimwangalia na kuwaza nimwambie yale yaliyonikuta au nikae kimya ila baada ya kuwaza sana niliona kukaa kimya haitasaidia.
Nilimsimulia kila kitu kilichotokea na mchezo aliotaka kunichezea boss wangu.
Cyborg alikasirika na kusimama kwa ajili ya kwenda kulisababisha kituoni hivyo niliamua kumzuia.
"Unataka kwenda wapi mme wangu na wewe!?"
"Nataka nikamfunze adabu huyo bosi wako mpya ivi hajasikia habari zangu kuwa niliwahi kuwa nani hapo nyuma!?" Cyborg aliongea huku macho yake yakiwa yameshaanza kubadirika.
"Tulia mme wangu hajanitia na wala hana uwezo wa kunitia yule" niliongea na Cyborg pale pale aliongea.
"Ngoja kwanza nihakikishe kama kweli hajakuzagamua huyo mpuuzi alafu baadae nitamfunza adabu" aliongea huku akisogea mkono wake kwenye mapaja yangu.
kwakuwa nilikuwa nimevaa nguo fupi hakupata tabu kwani alisogeza pembeni chupi niliyokuwa nimevaa nakuingiza kidole chake kwenye uchi wangu kisha baada ya hapo alianza kusugua alivyokuwa akijua yeye kuangalia kama atakutana na mabadiliko yoyote yale.
Cyborg aliona kidole pekee hakitoshi, aliamua kuniinamisha nakuniingizia mwichi wake.
Tulianza kuzagamuana na baada ya mda tulimaliza na aliniambia.
"Asante Malaika"
ilibidi nimuulize "Asante ya nini mme wangu!?"
"Kwa kuweza kujizuia usimpe penzi yule mjinga ila lazima nitamuonyesha na atanijua mimi ni nani" Cyborg aliongea na sikujua amepanga kuja kufanya kitu gani.
Siku hiyo ilipita na yalipofika majira ya asubuhi Cyborg aliomba cha asubuhi kama ilivyokuwa kawaida yake, na mimi nilimpatia na baada ya kumaliza kunitia nilishangaa kumuona akinyenyuka na kwenda kujiandaa kisha baada ya hapo aliondoka.
"Huyu leo anaenda wapi mbona sio kawaida yake kuondoka asubuhi ivi!?" nilijiuliza pasipo kuwa na jibu lolote lile, sikutaka kumfikiria sana na niliamua kusubiri mda usogee kidogo ili ukifika mda mwafaka niweze kujiandaa kwa ajili ya kwenda kazini.
Mda ulifika na nikiwa kwenye maandalizi nilipigiwa simu na Afande Neema.
Afande Neema aliniambia kuwa mme wangu Cyborg yupo kwenye kituo chetu cha kazi na anamsubiri mkuu wetu ili aweze kufanya yake. Nilimuuliza amejua kama ana mpango wa kuja kumdhulu mkuu wetu.
Afande Neema aliniambia kuwa amemwona Cyborg akiwa ameficha kisu ila uzuri hakutaka kuwaambia asikari wenzetu.
Baada ya kupokea taarifa hizo kutoka kwa Afande Neema niliona mambo yanazidi kuwa mabaya zaidi hivyo nilijiandaa haraka kwa ajili ya kwenda kumzuia Cyborg.
Nilitaka kuwahi kituoni kabra ya mkuu wetu wa kazi hajafika na bahati nzuri nilifanikiwa kuwahi kabra yake.
Haraka nilielekea sehemu aliyokuwa amekaa Cyborg huku baadhi ya asikari wakimpita bira kujua kama analengo baya na waliamini amekuja pale kwa ajili ya mambo mengine tu.
Nilimfikia na kuanza kumwambia arudi nyumbani kwanza na asifanye vulugu mbele ya kituo cha polisi.
"Siwezi kwenda nyumbani mpaka nimfundishe adabu huyo mkuu wako na aniambie kwanini anakufatilia wewe" Cyborg aliongea na alionesha hana utani.
Kelvin au Cyborg kama nilivyokuwa nimezoea kumwita nilimwambia "ivi unajua kama upo kituoni na ni kosa kubwa sana kupigana na mkuu wetu kuna hatari ya wewe kwenda jela na nisikuone tena"
"Bora niende jela Malaika ila yule mjinga lazima nimuoneshe" Cyborg aliongea kwa mara nyingine.
Nikiwa kama mwanamke wake niliamua kumbembeleza na kumwambia maneno ya kila aina na machache niliyomwambia yalikuwa ni haya.
"Cyborg ukienda gerezani nani atakayenipa penzi kama unalonipa wewe!? na vipi kuhusu mtoto wetu huoni kama atakuwa mpyeke siku akikua na kugundua kuwa baba yake yupo gerezani!?"
Maneno yangu niliyoongea yalianza kubadilisha akili ya Cyborg na nilifanikiwa kumtuliza.
"Naondoka ila leo nahitaji urudi nyumbani mapema na akikwambia kwenda sehemu yoyote ile usikubali kwenda" Cyborg aliongea na kuondoka........ITAENDELEA.
Inapatikana kwa Tsh 1000 tu.
Namba za malipo.????
0613083801 HALOPESA Jina John Bugumba.
0755271203 M-pesa Jina John Bugumba..