PENZI LA MHALIFU 09.
Upendo ndani ya ndoa yangu uliongezeka na kuwa wa kipekee zaidi, tangu mara ya mwisho nimuone Cyborg akivuta bangi sikuwahi kumuona tena akivuta bangi hali iliyonifurahisha zaidi.
Siku kadhaa zilipita na kwenye kituo changu cha kazi kulitokea mabadiliko na hapo ndipo kimbembe kingine kilipoanzia kwani mkuu wetu wa kazi aliyekuwepo mwanzo alibadilishwa na kuletwa mwingine aliyekuwa akiitwa Robert.
Akiwa ana siku mbili tu kwenye kituo chetu alituitisha kikao na tulipokuwa kwenye kikao nilishangaa kuona akiniangalia kwa macho ya matamanio huku akichezesha miguu yake nahisi alikuwa ameshasimamisha tayari.
Alitupa utaratibu mpya wa kazi na baada ya kikao kumalizika nilisikia jina langu likitajwa.
"Angel unatakiwa ubaki na maongezi na wewe" Robert aliongea na Asikari wenzangu waliondoka na kuniacha mwenyewe nikiwa na mkuu huyo mpya.
Baada ya kubaki wawili Mkuu aliniambia nisogee sehemu aliyokuwa amekaa kitu kilichozidi kunichanganya. Nilifanya kama alivyoniambia kwa kusogea karibu yake ili nisikilize kitu alichotaka kuniambia.
Nilishangaa kuona akianza kushika makalio yangu na hakutosheka kwani mikono yake alianza kuipeleka kwenye kisima changu, haraka nilisimama na kusogea pembeni ila mkuu alinizuia na kuongea.
"Unaenda wapi Angel sogea basi hapa leo nataka nikupashe" mkuu aliongea bira kuwa na aibu.
Niliona anataka kunitania kwanza alishika makalio yangu bira ruhusa yangu na mtu aliyekuwa na haki ya kushika makalio yangu ni Cyborg tu na sio mwanaume mwingine.
"Mkuu kuwa na adabu unataka umpashe nani!?" Nilimuuliza huku nikiwa sina masihara ata kidogo.
"Mimi ndiyo mkuu wako wa kazi lazima ukubali kutiwa na mimi lasivyo unajitafutia matatizo kwenye hichi kituo na sio wewe tu wanawake wote hapa lazima nipashe kwenye miili yao"
Mkuu huyo aliongea kwa majigambo na mimi niliona kama ni kazi basi ndiyo imeanza.
Nilitaka kutoka nje lakini aliniwahi na kunishika.
"Unaenda wapi huku bado hatujamalizana!?" aliongea huku akiwa kaushika mkono wangu.
"Achia mkono wangu kabra sijapiga kelele kuwa unataka kunibaka bira ridhaa yangu" nilimwambia na vitisho vyangu vilisaidia kwani mkuu aliniachia na mimi nilipata nafasi ya kuondoka huku akiniambia lazima anikomeshe na nitajuta kukataa kumpa utamu.
Nilifika kwenye ofisi yetu ya kazi na kumkuta Afande Neema, aliyeshitushwa kwa ujio wangu kwani sura niliikunja kwa hasira nilizokuwa nazo ata lile tabasamu langu linalowavutia wanaume wengi sikuwa nalo tena.
Afande Neema hakuzoea kuniona nikiwa kwenye hali hiyo hivyo aliamua kuniuliza.
"Afande Angel kuna tatizo gani huko ulikotoka!?"
"Huyu mkuu mpya mjinga sana anataka anitie" nilimwambia bira kumficha Afande Neema.
"Makubwa!!! jana tu kuna asikari mwenzetu nasikia amemzagamua kwenye ofisi yake"
Afande Neema alizungumza na tuliendelea kumjadili mkuu wetu mpya ambae ata wiki alikuwa hajamaliza kwenye kituo chetu lakini tayari alikuwa ameshamzagamua mmoja wetu.
Mda wa kazi uliisha na niliporudi nyumbani sikumkuta Cyborg kwani alikuwa bado hajarudi.
Mida ya saa tatu usiku Cyborg alirudi na alionekana ni mtu mwenye mawazo kitu kilichonishangaza hivyo ilibidi nimuulize.
"Kipenzi unatatizo gani!?"
Nilimuuliza lakini kabra hajanijibu aliniangalia kwanza nakuongea.
"Nimepata habari kuwa kuna mkuu wenu wa kazi mpya anataka umpatie penzi huko kazini kwenu" Cyborg aliongea na kunifanya nishituke sababu ndiyo ilikuwa siku ya kwanza na sikujua nani kampa taarifa zile.
Nilimuuliza lakini hakutaka kuniambia mtu aliyemwambia ila aliniambia atamuua huyo mkuu endapo atajaribu kunizagamua.
Usiku huo ulipita na ilipofika asubuhi nilikuwa na hamu ya kufika kazini mapema ili nikamuulize Afande Neema kama ndiye aliyemwambia Cyborg.
Nilifika kwenye kituoni na nilienda kumuuliza moja kwa moja Afande Neema.
Afande Neema alikubali kuwa ni yeye ndiye aliyemwambia Cyborg ili aweze kunichunga zaidi kitu ambacho sikukubaliana nacho kabisa.
ilibidi nimwambie Afande Neema "usije tena kumwambia habari zangu Cyborg sababu anahasira za karibu ipo siku atasababisha matatizo mwisho anisababishie mimi kuwa kwenye wakati mgumu"
Nilimwambia na Afande Neema alinijibu kuwa hatarudia tena kumwambia Cyborg.
Nakumbuka ilikuwa ni mida
ya saa 8 mchana nililetewa taarifa kuwa nahitajika nje na mkuu wetu wa kazi, nilienda nakumkuta akiwa ndani ya gari lake.
"Panda twende" mkuu aliongea bira kuniangalia machoni.
Niliamua kupanda kwenye gari lake huku nikiwa sujui ni wapi tunapoenda japo niliamini kuwa tunaenda kwenye mambo yetu ya kikazi. nikiwa ndani ya gari nilitumiwa ujumbe na Afande Davi.
"Wengine siunatunyima utamu wako, ngoja tuone kama na huyo utamnyima leo lazima ukaliwe" ulikuwa ni ujumbe wa Afande Davi ulionishitua na kunifanya nitambue kuwa mkuu hana nia njema na mimi.
Ilibidi nimuulize baada ya kusoma ujumbee niliotumiwa na Afande Davi " mkuu kwani tunaenda wapi!?"
Aliniangalia na kunijibu " subiri utaona mwenyewe, ila jua tu tunaenda kwenye mambo ya kikazi" aliongea na baadae alikaa kimya.......ITAENDELEA.
Inapatikana kwa Tsh 1000 tu.
Namba za malipo.????????????????
0613083801 HALOPESA Jina John Bugumba.
0755271203 M-pesa Jina John Bugumba..