PENZI LA MHALIFU 03
Tulifika nyumbani nikaamua kumuuliza Cyborg ni wapi alipolala usiku wa jana nae alinijibu.
"Jana nilipata dili la usiku kipenzi ndiyo maana sikurudi nyumbani"
"Dili gani hilo la usiku au uliwakumbuka malaya zako wa zamani na uliamua kulala huko huko" nilimwambia sababu tayari nilikuwa na wivu dhidi yake hasa wa kulala nje.
Sijui Cyborg alinipa nini kwani upendo niliokuwa naye kwake ulikuwa ni wa kipekee ndiyo sababu iliyonifanya nikubali kuolewa nae.
Cyborg badala ya kunijibu kile nilichomuuliza alinisogelea karibu na kushika kiunoni changu. Mapigo yangu ya moyo yalianza kwenda kasi.
"Hakuna malaya anayeweza kufikia utamu wako mke wangu"
"Kwani mimi na utamu gani mpaka uniambie hayo yote!?" nilimuuliza lakini mwenzangu alianza kuvua shati lake.
"Subiri nikuonyeshe utamu ulionao Malaika wangu"
Jamani jamani nilikuwa sijiwezi kwa Cyborg kwani alijua kuziamusha hisia zangu.
Siku hiyo sijui ata utundu wa kumchezea mwanamke aliutoa wapi, nilihisi labda ametoka kuongeza ujuzi kwa kuangalia picha za X.
Cyborg alinichezea kwa usitadi mkubwa na kunifanya nisikie raha ambazo sijawahi kuzisikia toka nizaliwe.
Tulifanya mapenzi na baadae kila mtu alilidhika na kuendelea na mambo yake.
Yakiwa ni majira ya usiku kuna kijana alikuja nyumbani na alihitaji kuongea na Cyborg.
Cyborg alitoka na kwenda kuongea na kijana aliyekuja pale nyumbani na sikujua waliongea kitu gani ila Cyborg alirudi ndani na kuniambia.
"Malaika kuna sehemu naenda na nikirudi kitu cha kwanza nitakachokifanya nikukuzagamua mke wangu"
"Kwani unasafari ya kwenda wapi usiku huu!?" nilimuuliza ila Cyborg hakutaka kunijibu, aliondoka na kuniacha njia panda.
Nilishindwa kuelewa ni wapi anapoenda na nilianza kuhisi amerudi kwenye kazi zake za kiharifu tena kwa mara nyingi. nikiwa kama asikari nilipanga kumpeleleza mme wangu ili nijue nisehemu gani anayoenda usiku.
Mda wa kulala ulifika pasipo Cyborg kurudi nyumbani na nikiwa nimelala nilisikia nikipapaswa hivyo ilinibidi nishituke, nilimshuhudia Cyborg akiwa tayari amesharudi na ndiye aliyekuwa akinipapasa kwenye mkalio yangu.
"Kabra hujaanza kunizagamua niambie kwanza ni wapi ulipokuwa umeenda!?"
"Kwani una wasiwasi na mimi Malaika wangu!?, siunajua kabisa kwako sijiwezi mpenzi!?. kipindi naingia chumbani nimekukuta umelala huku umebinua makalio yako juu hapa nilipo nimepandwa na stimu za kukutia kipenzi"
Cyborg aliongea huku akijiandaa kunizagamua.
Nilimtuliza kwanza nakumwambia mpaka aniambie ni wapi alipokuwa ndipo na mimi nitamruhusu anitie. Cyborg aliniambia.
"Malaika wangu kwani umesahau kipindi nakufukuzia nilikuambia nini!?"
Cyborg aliniuliza na mimi nilishindwa kumwelewa sababu kabra hatujaoana aliniahidi vitu vingi.
Nilimwambia anikumbushe ni kitu gani ndipo alipoamua kusema.
"Tukiachana na kuzagamuana kila mda nilikuahidi nitakufanya ufurahi Malaika, kwahiyo nimeamua kurudi kwenye kazi yangu ya zamani"
"Kelvin umeamua kurudi kwenye kazi zako za wizi!?"
"Kwa ajili yako Malaika nataka nikununulie gari na kazi ya kunipa hela ya haraka nikuiba na kupola watu"
Cyborg aliongea bira ata kuogopa kuwa na mimi ni asikari.
Niliona kama anataka kunitania hivyo niliamua kumwambia.
"Nataka uninunulia zawadi kama hiyo kwa pesa za halali na sio za wizi, kama unataka niendelee kuwa mke wako acha kazi unayoifanya"
Nilimwambia na Cyborg aliniahidi ataacha kuiba kuanzia siku hiyo.
Tulilala na ilipofika asubuhi nilijiandaa na kwenda kazini kwangu. Nilifika nakukutana na malalamishi ya mtu aliyekuwa amekuja kufungua kesi. Mtu yule alidai alivamiwa usiku uliopita na vibaka na walichukua vitu vya thamani ikiwemo pesa, cheni za dhahabu na vinginevyo.
Mkuu aliniita nakuniambia natakiwa nifanye kazi ya kupeleleza kwa kina vibaka walioiba hivyo vitu.
Nilienda kuchukua maelezo kwa aliyeibiwa ili nipate pakuanzia ila nikiwa namhoji Afande Davi aliweza kufika akiwa kaongozana na Afande Maria aliyekuwa akimtaka mme wangu Cyborg kipindi cha nyuma.
Afande Davi kwa dharau alisogea mahali nilipokuwa nakumwongelesha mtu niliyekuwa namhoji.
"Pole sana ndugu yangu ila unatakiwa uwe makini tu kwani kuna asikari wengine wanaishi na wezi hivyo unaweza kujikuta ukiibiwa kwa mara nyingine tena" Afande Davi aliongea kimafumbo na moja kwa moja nilijua ananilenga mimi.
Nilijiuliza ina maana huyu afande kumnyima kitumbua changu imekuwa kesi mpaka awe ananiongelea vibaya na kusahau kama mimi ni asikari mwenzake!?.
Sikutaka kuongea kitu bali niliendelea kuchukua maelezo kwa mhusika aliyekuja kureport.
Mda wa kazi ulipoisha nilirudi nyumbani na siku hiyo nilimkuta Cyborg akiwa amesharudi kutoka kwenye mihangaiko yake na alikuwa kambeba mtoto wetu huku akicheza nae.
Alimkabizi mtoto kwa mfanyakazi wetu nakuniambia "twende chumbani mke wangu".
Sijui Cyborg alikuwa akitumia vitu gani kwani kila mda alikuwa akishikwa na upwiru ni tofauti na baadhi ya wanaume ambao kushikwa na hamu ya kuweza kumtia mwanamke mpaka watumie dawa za kujibust.........ITAENDELEA.
Inapatikana kwa Tsh 1000 tu.
Namba za malipo.????????????????
0613083801 HALOPESA Jina John Bugumba.
0755271203 M-pesa Jina John Bugumba..