Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

PENZI LA MHALIFU 01.
Gonga94 · Stories

PENZI LA MHALIFU 01.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
PENZI LA MHALIFU 01.

ilibaki miezi michache ili niweze kujifungua na kiukweli mme wangu Cyborg alikuwa akinijali na kunipenda.

Nilikuwa nikisikia raha kwa upendo aliokuwa akinionyesha nakujiona ni mwanamke ninayependwa zaidi dunia nzima.

Siku hiyo nilikuwa nimekaa na Cyborg, mikono yake ililipapasa tumbo langu na alilibusu na kuniambia.
"Unajua nini! Malaika! ukishajifungua nataka nikutie tena upate mimba nyingine"
Cyborg aliniambia huku akiendelea kupapasa tumbo langu na kunishika sehemu zingine za mwili wangu.
"Mimi tayari nimeshakuwa mke wako haraka ya nini mme wangu?" Nilimjibu maana sikutaka kuzaa kwa mkupuo kama alivyokuwa akihitaji.
"Nataka tuwakomeshe wachawi wa penzi letu hasa Afande Davi asitamani kukufatilia tena"
Sikutaka kumbishia kwa sababu nilikuwa nimeshazoea maneno ya mme wangu.

Tukiwa kwenye maongezi Cyborg aliniambia kuwa ameshikwa na upwiru na anataka anitie, hakutaka kujali kama nimebakizi mda mchache ili niweze kujifungua.

Alinilaza kitandani vizuri na kwakuwa nilikuwa sijavaa chupi alipanua miguu yangu kwaajili ya kuingiza mpini wake kwenye uchi wake.
"Malaika wangu usijali nitakufanya taratibu, sitaki kabisa kwenda kununua malaya wa kupunguza upwiru wangu wakati Malaika wangu upo" Cyborg aliongea huku akiendelea kunishughulikia.

Sijui niseme nini tatizo alilokuwa nalo mme wangu nikushindwa kujicontrol akiwa kwenye mizagamuo yani akili zake zilikuwa zikimtoka kabisa nakuanza kuongea maneno ya kila aina.

Cyborg utamu ulimzidia nakuanza kunikandamizi tumbo langu baada ya kuniweka style ya kifo cha mende.
"Naumia mme wangu" nilimwambia aache kulikandamiza tumbo langu lakini bado alikuwa akiendelea kunipambu na kuongea maneno ya kila aina.
"Malaika wangu wewe mtamu, siku Afande Dav nikimsikia amekuonja lazima nimuue, nataka uwe wa kwangu tu" ni maneno aliyokuwa akiongea Cyborg na baadae aliweza kufunga goli na kujitupa pembeni ya kitanda chetu.

Maumivu niliyokuwa nayasikia hayakuwa ya kawaida nahisi ata mwanangu tumboni alikuwa akimtukana baba yake kwa mateso aliyokuwa akimpa yani upwiru wake ulikuwa ni mateso kwetu mimi pamoja na mwanangu aliyekuwa tumboni.

"Sijapenda kabisa mme wangu kunikandamiza tumbo huku unajua nimebakiza mda mchache tu nijifungue"
"Nisamehe Malaika wangu ni stimu tu zilikuwa zimenipanda siunajua tena jinsi ulivyo mtamu kipenzi!?" Cyborg aliongea huku akinibembeleza.

Siku kadhaa zilipita na ilifika siku ya mimi kwenda kujifungua. bahati nzuri nilibahatika kujifungua salama mtoto wa kike kitu kilichonifurahisha zaidi.

Majukumu kwa mme wangu yaliongezeka na alizidi kupambana kwa ajili ya kutafuta pesa ya kutuhudumia mimi pamoja na mwanangu.
Siku kadhaa zilipita na hali yangu ilirudi kwenye utimamu wake hivyo tulitafuta binti mdogo wa kazi kwa ajili ya kumhudumia mtoto wetu.

Nakumbuka ilikuwa ni jumatatu nilienda kwenye kituo changu cha kazi na kumkuta Afande Davi aliyekuwa akiniangalia kila dekika na baada ya mda aliingia Afande mwingine wa kike na afande Davi alipomuona alianza kumwongelesha kwa sauti ya juu iliyonifikia mpaka mimi mahali nilipokuwa.
"Wanawake mna moyo ivi Afande Lucy unaweza kuolewa na mwanaume jambazi?"
Afande Davi alimuuliza kwa sauti ya juu.
"Siwezi kumfunulia chupi yangu mimi jambazi maana nitazaa mtoto jambazi bora nijichue mpaka muwasho uishe kwenye mwili wangu"
Maongezi ya Afande Davi pamoja na Afande Lucy nilijua yananilenga mimi ila sikutaka kujali zaidi ya kuendelea na mambo yangu.
Nilitamani mkuu wetu atupe maagizo ya kwenda kuzunguka mitaani kwa ajili ya kutafuta waharifu kwani walikuwa wananikera kuniongea na mimi nikiwepo.

Siku hiyo nilirudi nyumbani na nilipofika nilimkuta binti wa kazi akimbembeleza mtoto wangu.

Mida ya usiku ilifika pasipo Cyborg kurudi nyumbani nilijiuliza amekubwa na msala gani mpaka achelewe kurudi nyumbani. siku hiyo ilipita pasipo Cyborg kurudi nyumbani na ilipofika asubuhi nilielekea kwenye kituo changu cha kazi. baada ya mimi kufika nilikutana na taarifa kutoka kwa mkuu wetu.
"Angel kuna kazi mnayotakiwa kwenda kuifanya sasa ivi ya kukamata vijana wanaovuta bangi" sikutaka kukataa nilienda nikiwa na asikari wenzangu na ata Afande Davi nae tulikuwa nae.

Tulifika kwenye uchochoro na kukutana na kundi la vijana kadhaa waliokuwa wakivuta bangi.

Vijana baadhi walikimbia na wengine walianza kupigana na sisi kwa ajili ya kujitetea. bahati mbaya mmoja wao alinikata na kisu kwenye mkono wangu na kunisababishia nipate jeraha kwenye mkono wangu, nilijikaza nakuendelea kuifanya kazi mpaka pale tulipofanikiwa kuwakamata wote.

"Pole, ila ungekuwa unanipa utamu kama unavyompa jambazi wako huenda leo usingeumia"
Afande Davi aliniambia sababu alikuwa na uwezo wa kunisaidia nisikatwe na kisu lakini hakutaka kufanya hivyo.
"Afande Davi unaongea nini!? huoni kama Afande Angel anahali mbaya na anahitaji msaada wetu hapo alipo!?" Afande mwenzetu aliongea lakini Afande Davi hakutaka kujali kwani aliwapeleka vijana tuliowakamata kwenye gari kwa ajili ya kuwapeleka kituoni.........ITAENDELEA

Inapatikana kwa Tsh 1000 tu.
Namba za malipo.????????????????

0613083801 HALOPESA Jina John Bugumba.

0755271203 M-pesa Jina John Bugumba.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHAMIRA fully episode
SHAMIRA fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PENZI LA MHALIFU 01.

PENZI LA MHALIFU 01.

ilibaki miezi michache ili niweze kujifungua na kiukweli mme wangu Cyborg alikuwa akinijali na kunipenda.

Nilikuwa nikisikia raha kwa upendo aliokuwa akinionyesha nakujiona ni mwanamke ninayependwa zaidi dunia nzima.

Siku hiyo nilikuwa nimekaa na Cyborg, mikono yake ililipapasa tumbo langu na alilibusu na kuniambia.
"Unajua nini! Malaika! ukishajifungua nataka nikutie tena upate mimba nyingine"
Cyborg aliniambia huku akiendelea kupapasa tumbo langu na kunishika sehemu zingine za mwili wangu.
"Mimi tayari nimeshakuwa mke wako haraka ya nini mme wangu?" Nilimjibu maana sikutaka kuzaa kwa mkupuo kama alivyokuwa akihitaji.
"Nataka tuwakomeshe wachawi wa penzi letu hasa Afande Davi asitamani kukufatilia tena"
Sikutaka kumbishia kwa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-mhalifu-01

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-mhalifu
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 33.
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 02
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 04.
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 22
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 36
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 08
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 05.
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 23.
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 30
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 06
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 27
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 13.
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 03
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 41
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 29
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 40
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 15.
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 26
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 35.
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 20
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 24
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 10
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 09
PENZI LA MHALIFU 37
PENZI LA MHALIFU 37
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 42
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 28
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 11.
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 39
PENZI LA MHALIFU 07.
PENZI LA MHALIFU 07.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday

1.37K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84

673
LETICIA 15:16

LETICIA 15:16

263
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO

256
CHUMBANI KWETU 💚   Sehemu   ya   10

CHUMBANI KWETU 💚 Sehemu ya 10

191
CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05

CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05

141
NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO

74
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14

33
Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO

Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO

18
USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.

USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.

18

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.93K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.63K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.87K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.42K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.03K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.99K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.83K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.79K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.7K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.66K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
@majario LIVE

:96 Yeye akawa tu anaendesha kama vile hakuna kitu amezungumza. Mimi hapo tena naona tu kesho ifike tu nipelekwe tu hiyo sehemu. Sijui hata ni kuchinjwa au nikutekwa mimi tayari tu nipo...

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14 Post Mpya
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
@majario LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita.... Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa...... ENDELEA NAYO........ Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe...

NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
@majario LIVE

:87 Nikacheka na kusema “sasa nikufiche nini, lakini sasa Dokta kama anampenda boss bora amwambie anateseka bure.” Dada Maria alicheka na kusema “wewe unawajua wanaume, wanaume hawana hata muda nakuambia, na vile...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84
@majario LIVE

Namtak uyo maraya wako, namtaka nasema, mh nikajua apa kumekucha nikawaambia wanangu, nendeni chumbai kwenu haraka, kweli ummy akachukua mdogo wake arshaina wakaingia chumbani, mm.nikamsogelea mama.nikasema.mma ni ustaarabu gani, mama.mi.nilikuwa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO
@majario LIVE

:76 Nazwi niambie kuna tatizo, unagombana tena na dokta wako?” Nilitabasamu na kusema “mimi kugombana na dokta?, kwanini?, Hapana kuna vitu alikuwa ananielekeza tu.” Alinitazama, Nadhani aligundua kitu mimi sijui Ila sikuwa nimempa...

USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU. Post Mpya
USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.
@majario LIVE

Tena ikiwezekana katika hizi nyumba za kupanga uwe na limit ya muda wa kukaa, mtu unakaa miaka na miaka kwenye hiyo nyumba mpaka unaonekana kama wewe ndiye mwenye nyumba. Inafikia...

LETICIA 15:16 Post Mpya
LETICIA 15:16
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍 LETICIA Sehemu ya 15 Mwandishi;LISSA Yule dada alikuwa mcheshi dakika mbili tushazoeana ,nilikuwaga namuona tu kijijini ila hii siku ndio nikamjua vizuri .alinambia anaitwa rehema. Tulipiga story mno akanipa na namb yake...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana sasa siku iyo nakumbuka nilikuwa kwa jalia , nikamuuliza jalia mbona huna tumbo alafu mimba si itakuwa na miezi 2 , akanmbia mh naona...

CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05
@majario LIVE

MTUNZI RITHA STORIES WHATSAPP 0754380244 AU 0680992844 SONGA NAYO................. Mpenzi msomaji Leo na kuletea kisa hiki Cha mapenz ambacho Kita kufunza mengi na kukusisimua,kukufurahisha, na kukuhuzunisha pia Karibu tuende wote👇 Unaweza kuniita Sonia...

Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO Post Mpya
Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO
@majario LIVE

If you don't leave my house right now, I will cut you into pieces today. Mrs. Helen screamed, waving a big sharp cutlass in the air. Grace backed away, her...

CHUMBANI KWETU 💚   Sehemu   ya   10 Post Mpya
CHUMBANI KWETU 💚 Sehemu ya 10
@majario LIVE

Nilifurahi sana❤😘nikaletea mtoto wangu nikamuona nililia kwa furaha nikamshukuru sana Betty maana amekuwa msaada sana kwangu🙏❤ asubuhi ya siku iliyofuata mume wangu nae akaja kumuona mtoto nae alifurahi sana...

ROWAN (Mine alone) 1 - 5 Post Mpya
ROWAN (Mine alone) 1 - 5
@majario LIVE

MTUNZI: Mr Burudan Sehemu ya: 01 ANZA NAYO.... Niite Vee, jina la kifupisho cha jina langu la Vera, Vera ndio jina langu halisi nililopewa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO
@majario LIVE

:66 Mimi nilitoka nikiwa na furaha sana, Niliondoka hapa ni Kama nimezaliwa upya. Moyo wangu ulikuwa umechangamka mno. Ingawa nilifika kwa kujivuta sana lakini siku imeisha na tabasamu pana kwenye uso...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 80 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 80
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi nikaludi ndani sasa , nikamkuta zena ana mawazo sana, nikasema zena naomba nikupe chakula kwanza kisha tutaongea tu nitakuelezea kila kitu mke wangu, zena akanmbia sawa, wala hakuwa na...

IN LOVE WITH ZURI*   Chapter 7 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Kitendo cha mimi kuongea kwa ukali kiasi hicho kiliwashtua sana Idress lakini pia na Ethan, Ethan yeye mpaka alinyanyuka na kuja sehemu niliyokaa kisha akachukua hiyo chai ambayo nasemea...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest