Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06

19th Apr, 2025 Views 5

Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........06
Whatsapp..............0613083801

ilipoishia...........
Alikutana na sura ngeni na hakuwahi kuiona hapo kabra.
"Naomba unifate",Mary aliongea pasipo ata kumpa nafasi Albert  ya kuongea...

ENDELEA NAYO.....
Albert aliamua kumfata ili ajue ni kitu gani kilichomfanya amwite, Mary alifika sehemu isiyokuwa na watu akasimama na mda huohuo albert nae aliwasili,
"Wewe ni nani?, na kwanini umeniita huku?",Albert alimuuliza, lakini Mary alimsogelea karibu zaidi,
"Nimesogea karibu yako ili nikupe siri ambayo ni mhimu kwako na kwa mama yako mzazi",Mary aliongea.
"Mama yangu mazazi!!"
"Nisikilize kwa umakini kuna tarifa nilizozipata za chini ya kapeti kuwa kuna watu wamepanga kumfanyia kitu kibaya mama yako endapo watashindwa kwenye mashindano ya  Miss Tanzania",Mary aliongea tena akimwangalia usoni Albert,
"Nini unachoongea wewe, nani huyo aliyepanga kufanya kitu kibaya kwa mama yangu?",Albert alitamani kujua ni watu gani.

Swali la Albert lilimfanya Mary aanze kuwaza upya namana ya kuongeza maneno mengine ya uongo.

Ubongo wa Mary ulikuwa upo haraka sana kufikilia alikuwa ameshapata maneno ya kumwambia Albert,
"Mimi wala sijui ni kina nani, mana kuna watu baadhi hapa wanazo izo tarifa na kiufupi tarifa izo zimevuja na mimi nilipozipata nikaona nije  kukwambia".
"hii haiwezani naenda kuita polisi Sasa ivi hapa upelelezi uanze kufanyika lazima watu wanaoanda huo mpango wakamatwe", Albert aliongea.

Hii ilianza kumuogopesha Mary baada ya kusikia Albert anataka kwenda polisi.

"Nilifikilia ni mtu mwelewa kumbe huna uelewa wowote ule,hujui kama ukienda polisi kampuni yenu ya FNF itapoteza sifa za kusimamisa mashindano haya na hamtapewa tena hii haki", Mary aliongea nakuanza kuondoka.
"Wewe simama hapo", Albert ilibidi amuite Mary ambae nae alitii na kusimama mana ata kuondoka kwake ilikuwa nikujifanya aone Albert ataamua nini.
"Mbona unaondoka na wakati bado hatujamaliza mazungumzo,kwanza sijui unaitwa nani?"
"Mr.Albert you can call me Mary (bwana Albert unaweza kuniita Mary)",Mary alimjibu.
"Huenda ni ukweli ulichoniambia kwangu mama yangu ni kila kitu bora nikose vyote lakini sio kumpoteza mama yangu hii hapa card na ina namba zangu za simu naomba unitafute ili unifahamishe kiundani zaidi", Albert alimpatia card ile Mary na mda huo Mary hakujibu chochote zaidi ya kuichukua ile card na kuondoka maeneo yale akimuacha Albert peke yake.
"Utanisamehe Albert kwa kukudanganya,malengo kwanza mengine badae",Mary aliongea alipokuwa akiondoka pasipo Albert kusikia kile alichokizungumza kutokana na umbali uliokuwepo kati yao.

Mda wa semeni na mafunzo mbalimbali ulitamatika na sasa Diana alichukua simu yake amtafute Albert lakini palepale simu ilipigwa na aliyepiga hakuwa mwingine bali Mr.James.
"Hello Dady"
"Njoo nyumbani haraka sana" Mr.James hakutaka ata kuendelea kuongea na binti yake zaidi ya kukata simu kitendo hicho kilimfanya Diana abaki akishangaa kuna kipi kilichotokea na kumfanya baba yake awe kwenye hali ile, kwakuwa tayali mda wa mafunzo ya mda mfupi ulikuwa umeisha moja kwa moja alienda mpaka lilipo gari lake na kuelekea nyumbani kwao.

Upande wa Mary baada ya kuachana na Albert alifika kwa rafiki yake Faith,
"Mary huwa hashindwi kitu mambo tayali kanipa namba zake za simu mwenyewe tena bira ata kumuomba mimi ndio Mary Miss wa taifa hili", Mary alianza kuongea kwa malingo mbele ya rafiki yake huyo.
"Umemfanya nini kijana wa watu mpaka akakupa namba kirahisi ivyo"
"Siwezi nikakupa siraha yangu ya kivita Faith nakujua vizuri mno wewe ni mama wa kulopokalopoka utavuluga mipango yangu".
"Eeeeeh yamekuwa hayo haya shost twende zetu ila umepitwa na mambo mengi kwenye hii semina na kesho ndio tunaanza sasa kujifunza miondoko hapa tuone nani anamiondoko mikali ya kumfanya aje kuwa miss",
maongezi mengine yaliendelea huku wakiwa wanaondoka ndani ya kampuni hilo.

Upande wa Diana baada ya kupigiwa na baba yake alifika nyumbani kwao na kumkuta baba yake mzazi akiwa na hasira isiyo ya kawaida,
"Dady"
"Paaah",badala ya kuitikiwa na baba yake alifikia kwenye Kofi zito lililomfanya aangukie kwenye kochi lilokuwa pale sebleni.
"Nimepoteza pesa nyingi kukusomesha kumbe hamna chochote ulichokuwa unafanya yani miaka yote upo London kumbe unajitanua tu na sio kusoma"
"Babaaa nini unacho ongea?"
"Kaaa kimya Diana", Mr.james aliongea kwa hasira.

Alisogea mpaka ilipo laptop yake na kuiwasha.

"Aya njoo uangalie nimetumiwa hii kwenye email yangu nikiwa kama mzazi wako, madudu gani haya yani umekuwa wamwisho tena ukiwa na utendaji mbovu darasani poor poor kabisa".Mr.James alifoka.

Diana hakuwa nachakujibu zaidi ya kutulia na kumsikiliza baba yake aliyekuwa akifoka.

Mr.James aliendelea kuongea mbele ya binti yake,
"Akili zote zimekaa kwenye uMiss Tanzania,oohh Mimi nataka kuwa Miss Tanzania ni ndoto yangu kumbe kichwani hamna kitu ",Mr.James aliondoka baada ya kuongea maneno yale mbele ya binti yake.
Diana nae alinyenyuka kwa hasira nakuondoka pale nyumbani tena akiendesha gari lake kwa speed kubwa.
           
Turudi kwa Angelina baada ya kumaliza kazi zake ndani ya kampuni hiyo ya FNF aliamua aende kwenye mgahawa aliokuwa akifanya kazi kabra ya kufukuzwa,alifika na kumkuta rafiki yake Manka akiendelea na majukumu yake kama ilivyo kawaida,
"Angelina ni wewe",Manka hakuamini kumuona rafiki yake pale.
"Kumbe huwa unanikumbuka nikienda mbali leo nimeona ngoja nije nikuone mama wa kulalamika",Angelina aliongea na kila mtu alikuwa ni mwenye furaha kwa kumuona mwenzake.

Walizungumza mengi sana na Angelina alimwambia Manka kuwa na yeye atakuwa mshiriki wa mashindano ya mwaka ya kumtafuta Miss Tanzania.

Tarifa zile Manka alizipokea kwa furaha,
"Ooooh my god, mara zote nilikuwa natamani nikuone ukishiriki ndio mana siku ya kwanza tu nilikuletea tarifa na amini utaibuka mshindi na siku hiyo lazima nije nishuhudie kwa macho yangu"
"Hujui tu kwanini nimekubali kushiriki hayo mashindano na pia siwazi kama wewe unavyowaza, mimi nawaza tofauti kabisa Manka na ipo siku utaelewa ninachokimaanisha".,Angelina hakutaka kumwelezea sababu ya yeye kukubali kushiriki kwenye mashindano ya Miss Tanzania.
Waliendelea na mazungumzo mengine  na badae Angelina alimuaga Manka na kurejea nyumbani kwao.
           
Diana baada ya kukalipiwa na kupigwa na Mr.James alitoka nyumbani kwa hasira na safari yake ilimpeleka mpaka klabu, hakuwa mzoefu wa kutumia kilevi chochote kile ila siku hiyo kutokana na hasira alizokuwa nazo hakutaka kulijua hilo.

Aliletewa vinywaji alivyoagiza na kuanza kunywa kwapupa pasipo kujali kama ni vinywaji vikali na hatari,alichojua yeye kwa wakati huo ni kunywa tu.

Mpaka yanafika majira ya usiku Diana alikuwa bado anakunywa na baada ya pombe kumkolea alianza kuleta usumbufu ndani ya klabu hiyo,
"Heeeeh Mimi ndiyo Diana au niite Miss Tanzania", aliongea kwa sauti ya kilevi iliyowafanya watu waliokuwa maeneo yale wabaki wakimtazama tu.
"Binti mzuri Kama huyo anaanzaje kunywa pombe kwa kuifakamia ivyo na yupo peke yake",ni baba wa makamo aliongea aliyekuwa amekaa na mke wake pembeni.
"Mmmh, watoto wa siku ni shida tupu bora sisi kijana wetu ni msitarabu hana hayo mambo ya ajabu", mke wake nae alimjibu.

Usumbufu wa Diana ulikuwa mkubwa hali iliyowafanya wahudumu wamfate Ili wamtoe nje lakini kabra hata hawajamfikia alilala kwenye meza na kuangusha baadhi ya chupa zilizokuwa pale mezani na kuvunjika.
"Aaaah huyu leo analipa chupa zangu", mhudumu aliyetoa huduma kwa Diana aliliona tukio lile la chupa zake kuvunjwa na kuamua kumfata Diana.

Ulikuwa ni ugomvi mkubwa sana baada ya mhudumu kufika pale na kuanza kumuamsha Diana  ambae nae alianza kuleta ubishi kutokana na pombe alizokuwa amekunywa.

"Mume wangu twende tukamsaidie yule Binti japo hatumjui ila itakuwa vizuri zaidi mana moyo wangu unanisuta hapa nilipo",aliongea mama yule aliyekuwa amekaa na Mme wake.
Mume nae hakuwa nachakupinga zaidi ya kwenda kutoa msaada kwa Diana aliyetawaliwa na pombe katika kichwa chake,walimchukua na kuanza kumuuliza baadhi ya maswali hasa anapokaa lakini hakuna lolote lile waliloambulia zaidi ya kushauliana kipi wafanye,
"Mmmh hapa kazi ipo Mme wangu"
"Tumpeleke nyumbani ili kesho akiamka atakuwa kwenye hali yake na atatueleza vizuri", Mmewe alitoa wazo.

Diana akiwa hajitambui alipata kusaidiwa na watu wasiomjua waliamua kumpeleka mpaka kwenye makazi yao na walimfikisha salama na kumlaza moja kwa moja kwenye chumba cha wageni.

Mwanamama alitoka nakuanza kumuita mwanae,
"Stewart,wewe Stewart"
"Usiku sasa ivi mke wangu huenda kijana kalala  haipaswi umsumbue", Mmewe aliongea.
"Nalijua hilo ila nilitaka kumpa angalizo na vitu vya humu ndani siunajua mtu tuliyemleta hatupaswi kumwamini sana na hatujui tabia yake".

Mmewe alimtoa hofu na kumwambia kama ulinzi wanao wa kutosha ata kama binti waliyemleta angeamka asingeweza kuiba chochote kile.
           
Upande wa Albert usiku huo akiwa na mama yake alitamani kumwambia kile alichoambiwa na Mary lakini mtihani ulikuwa ni njia gani anatumia kumwambia na bahati mbaya au nzuri mama mtu aliliona lile la mtoto wake kutokuwa sawa,
"Tatizo nini Albert mwanangu naona unaniangalia tu na kwa jinsi ninavyokujua kuna kitu unatamani kusema ila unashindwa", Mwanamama katalina aliongea na kumfanya Albert afikilie jinsi ya kumwambia.
"Ndio mama hujakosea kabisa ulichokisema, ni kweli kuna kitu natamani kuongea"
"Niambie nakusikilia mwanangu"
"Mama ivi yule binti kakupa nini mbona tena umempa  nafasi ya kushiriki kwenye mashindano hayo ya Miss Tanzania?",Albert aliamua aulize kitu kingine tofauti na kile alichopanga kumwambia.
Mwanamama katalina alishangaa kusikia mwanae anauliza kitu ambacho hakutegemea.
"Unaweza kuniambia ni kwanini unamchukia sana yule binti", swali la Mwanamama katalina lilimfanya Albert ajutie kile alichokiuliza.....ITAENDELEA.

Albert atamjibu  nini mama yake? na wazazi waliomsaidia Diana ni wazazi wa Stewart je?,ni Stewart yupi yule tunayemjua sisi au ni mwingine Karibu katika sehemu inayofata.

NB: Story hii  NIYAKUTUNGA na haina ukweli wowote ule unaoendana na taratibu za nchi yetu????????????????.

Pata Story hii mpaka mwisho kwa Tsh 1000 za  k???????????????????????? lipia kupitia namba,
0613083801 HALOPESA,John Bugumba..

Za hivi punde ni za 🔥🔥🔥 | Sema Jambo
Your settings were saved successfully!
Something went wrong!
You're not logged in
Click here to login and post your story

Welcome gonga94 Continue reading the various stories available here. Click here. Are you an artist then create an account here Signup/Login


mjukuu rewards 100
 

DEMU MLA MADEMU (CHOMBEZO)

mjukuu rewards 100
 

NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 10*

mjukuu rewards 100
 

NITAKUPA USINIROGE (1)

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 19

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 18

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 17

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 16

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 42

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 41

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 40

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 39

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 38

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 37

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 36

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 35.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 34

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 33.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 32

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 31

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 30

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 29

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 28

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 27

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 26

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 25

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 24

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 23.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 22

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 21

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 20

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 19.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 18

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 17.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 16

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 15.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 14

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 13.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 12

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 11.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 10

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 09

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 08

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 07.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 06

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 05.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 04.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 03

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 02

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 01.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 22.

mjukuu rewards 0
 

NASEMA KWA MAMA **** 3--4

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 15

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 14

mjukuu rewards 0
 

WIFI KHAA 04

mjukuu rewards 0
 

NASEMA KWA MAMA* 1-----2

mjukuu rewards 0
 

KIJIJI CHA WAGENI! 04

mjukuu rewards 0
 

MKE WA MGANGA ( 1——5 )

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 13

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 21.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 20.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 19.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 18.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 17.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 16.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 15.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 14.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 13.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 12.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 11

mjukuu rewards 0
 

WIFI KHAA 02 #Tulipoishia

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 10

mrindia rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 09

mjukuu rewards 0
 

*MY CHUNUN* 01

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 09

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 08

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 07

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 06

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 05

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 4

mjukuu rewards 0
 

SHANGATISA EP: 3

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: {02}

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 1

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 08

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU (06 & 07)

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 05

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 04

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 03

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU (01& 02)

mrindia rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 01

mjukuu rewards 0
 

MTOTO WA GETI KALI 1 - 6

mjukuu rewards 0
 

MIMI SIO KICHAA

mrindia rewards 0
 

SITOMWACHA HATA IWEJE

mjukuu rewards 0
 

BINTI MCHAWI

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest