Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
Gonga94 · Stories

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........17
Whatsapp..............0613083801

ilipoishia..........
"Fanya unachojua uende nyumbani mama yako hayupo salama", alianza kumwelezea jinsi alivyokuwa.
"Diana nakuja sasa ivi tu",Albert aliondoka upesi akimuacha Diana kwenye maswali mengi.........

ENDELEA NAYO......
Albert alifika nyumbani kwao na kweli alikuta get lipo wazi na mlinzi akiwa amelala chini aliingia mpaka ndani na kuanza kumuita mama yake lakini hakuambulia chochote zaidi ya ukimya kutawala katika nyumba yao,
"Huyo atakuwa Mary ndiye aliyefanya kitendo cha kumchukua mama yangu", alichukua simu yake na kumpiga Mary na mda huohuo Mary alipokea simu,
"Mr.Albert",Mary aliongea kwa mapozi.
"Mary naomba usimguse mama yangu nitakufanya kitu kibaya sana",Albert aliongea na kutoa vitisho kwa Mary, lakini mwenzake ndio kwanza alianza kumcheka na kuendelea kuongea,
"Umevunja makubaliano yetu Albert na mimi natekeleza kile nilichokwambia kosa lako ni moja tu la kushindwa kunifanya niwe Miss Tanzania", sauti ya Mary ilibadilika na hakuonyesha utani ata kidogo na ata Albert alilitambua hilo.
"Chochote kile nitakupa ila naomba usimguse mama yangu Mary mwache kama alivyo",Albert aliongea.
"Vizuri kijana mwelewa sana basi nisikilize kwa umakini kile nitacho kwambia na temu hii ukifanya kinyume na makubaliano yetu nakuahidi Albert utamkuta mama yako ameshakufa",

Mary aliongea na kumfanya Albert atege sikio lake vizuri kumsikiliza.

Mary aliendelea kuongea na kuna mpango aliokuwa nao,
"Nilipoteza pesa nyingi sana nilizotumia kama maandalizi kwenye mashindano ya Miss Tanzania, kwa kukuhurumia njoo na Tsh 100million  mama yako nitamuachia na baada ya hapo nitaenda kuzitumia nikimaliza nitakuja kuchukua tena pesa zingine mpaka nitakapo tosheka", mwanadada Mary alimaliza kuongea akisubiri jibu kutoka kwa Albert.
"Mary mbona unanifanyia ivyo,kama shida ni pesa nitakuja nazo izo pesa ili umuachie mama yangu", Albert alijibu kumaanisha amekubali kwenda na zile pesa ili mwanamama katalina aweze kuachiwa.

Albert hakuwa na njia nyingine zaidi ya kwenda kutoa kiasi hicho cha pesa na alikitoa kwenye akaunti ya familia yao ili mama yake aweze kuachiwa.
                 
Ndani ya gari la kifahari anaoenakana mwanadada Angelina akiwa na rafiki yake Manka aliyeamua kuacha kazi ya kwenye mgahawa na kazi aliyokuwa nayo kwa wakati huo nikutembea na Angelina karibu kila sehemu anayoenda na
safari yao iliwapeleka mpaka sehemu lilipo jengo la kampuni kubwa tu aliloingia nalo mkataba mwanadada Angelina,
"Angelina utaweza kweli kuigiza rafiki yangu?",Manka alimuuliza mwanadada Angelina.
"Sijui lakini nitajitahidi mpaka niweze japo haitakuwa kazi rahisi", Angelina aliona kazi ya kuigiza itamfaa na atazidi kujizolea umaarufu zaidi ndiyo mana aliingia mkataba na kampuni la uigizaji.

Kwenye kampuni hilohilo la uigizaji leo Stewart aliamua kuja ndani ya kampuni hilo na aliitaji kuonana na kiongozi kwa ajili ya mazungumzo japo ilikuwa ngumu kwake kupewa nafasi ya kuonana na kiongozi huyo ila siku zote pesa inaongea ndicho alichokifanya kijana Stewart, kiongozi alikuja kumsikiliza ni kipi kilichomfanya awe pale,
"Kipi ulichoniitia kijana na unashida gani na mimi?", manager wa kampuni hilo maarufu la uigizaji aliongea.
"Nina dili nahitaji tuweke makubaliano ya mimi na wewe",Stewart alikuwa na malengo yaliyomfanya aje kwenye kampuni ndiyo mana alihitaji kumuona manager.
"Makubaliano yapi hayo?"
"Nitakulipa kiasi cha pesa kitakacho kutosha ila nitafutie nafasi ya mimi kuwa karibu na Miss Tanzania nahitaji kuwa karibu nae, na ata ikiwezekana nipangie kipande cha uigizaji kitakacho tuweka karibu mimi na yeye", Stewart aliongea tena alionyesha kabisa anamaanisha kile alichokizungumza.
"Hahahahahahaha,unazani unaweza kunishawishi nikubali ilichokisema?, nisikilize kwa umakini mimi mwenyewe sina shida na pesa ninazo za kutosha tu ila nilimchukua Angelina kwa mipango yangu mwenyewe ujiulizi kwanini karibu Miss Tanzania wote sisi ndiyo tunakuwa wa kwanza kuwapa mikataba kwenye kampuni yetu?",Manager aliongea na kumfanya Stewart akili  ndani ya moyo wake kuwa anakazi kubwa ya kufanya.
"Kiasi chochote kile kilicho ndani ya uwezo wangu nitatoa ila naomba unifanyie kile ninacho kwambia",Stewart aliongea kwa mara nyingine lakini hata hakujibiwa zaidi ya manager yule kunyenyuka nakuondoka.

Alivyoondoka tu manager yule alikuja kijana mmoja na kumsogelea Stewart akimwambia kwa sauti ya chini ili watu wengine wasiwasikie,
"Nisikilize huyu manager ameshajikatia tamaa ya kuishi hapo unapomuona ana magonjwa kama yote likiwemo na gonjwa la virusi vya UKIMWI ndiyo mana ata pesa zako amekataa, fanya unachoweza wewe umsaidie yule binti na amefanya kosa kuingia makubaliano na hili kampuni bira yeye kujua", kijana yule aliongea na kuondoka akimuacha Stewart njia panda akiwa hajui kitu gani afanye aweze kumsaidia Angelina ndiyo mambo mengine yafate aliamua kutoka ndani ya lile kampuni,

Huku upande wa nje Angelina na Manka walikuwa wakiwasili ndani ya kampuni hilo na walipotelemka tu kwenye gari Stewart aliweza kuwaona,
"Huu ndio mda mwafaka wa kumwambia huyu mrembo lasivyo atapotea kama nilivyoambiwa na yule jamaa", Stewart aliongea na kuamua kuwasogelea mpaka walipokuwa.
"Hapa sio sehemu salama kwako Angelina inakupasa uvunje mkataba wako na hili kampuni lasivyo utaingia matatizoni mda sio mrefu", Stewart alifika nakuongea pasipo ata kutoa salamu.
"Heeeh makubwa unamjua huyu?",Manka aliongea kama kawaida maneno kwake huwa hayaishi aliamua kumuuliza Stewart.
"Namjua na nipo hapa kwa ajili ya kukusaidia Angelina niamini mimi"
"Nikuamini mtu ambae ata sikujui wewe mtu wa ajabu sana, Manka twende ni mda wa kazi huu hatuwezi kupoteza mda kuongea na mtu asiyeeleweka hapa",Angelina aliamua kuondoka akiwa na Manka.

Lakini Stewart alihapa kufanya juu chini ili amsaidie Angelina alafu badae aeleze kile kilicho ndani ya moyo wake na wakati huo alishamsahau kabisa mwanamke anayeitwa Diana.
                 
Upande wa Albert aliweza kufika sehemu aliyoelekezwa na Mary kwenye mkono wake akiwa na begi lenye pesa,simu ya mkononi iliita na kumfanya apokee,
"Simama hapohapo nimeshakuona hutakiwi kupiga hatua yoyote ile",ilikuwa ni sauti ya Mary iliyomwamulisha Albert.

Ndani ya mda huo alitokea Mary akiwa na vijana wake waliokuwa wamemshika mwanamama katalina.
"Mama!!", Albert aliita baada ya kumuona mama yake kafungwa kamba kama mtu aliyekamatwa kwa kosa la wizi.
"Tulia kijana mbona unataka kuwa kama mtoto,mama yako ni mzima nipatie pesa zangu na ole wake nikienda kuzihesabu nikute zimepungua utajuta kunifahamu Albert", Mary aliongea.
"Aya mwachieni huyo mwanamke".

Vijana walimwachia mwanamama katalina na Albert alimuwahi mama yake akienda kumshika na kumtazama kama kutakuwa na sehemu yoyote ile aliyodhulika

"Mwanangu hukutakiwa kutoa kiasi kikubwa cha pesa kiasi hicho",mwanamama aliongea mana milion 100 ni nyingi sana alizompatia Mary.
"Sio pesa hizi tu siku nyingine nitakuja tena kuchukua ngoja nikatumie kwanza hizi zikiisha nitarudi",Mary aliongea nakuondoka maeneo hayo akiwa na vijana wake.

Walipoondoka tu Albert alikunja mkono wake kwa hasira na kupiga ngumi chini na kufanya mkono wake utoke damu,
"Nini unachofanya Albert mwanangu ona mpaka umejiumiza", damu ni nzito kuliko maji mwanamama katalina alishika mkono wa mwanae nakufuta damu zilizokuwa zikimtoka kwa kutumia nguo yake aliyokuwa amevaa... ITAENDELEA

Mary kaahidi kurudi kwa mara nyingine akimaliza kutumia pesa walizompatia,karibu katika sehemu ijayo tuone kama atarudi tena.

NB: Story hii  NIYAKUTUNGA na haina ukweli wowote ule unaoendana na taratibu za nchi yetu????????????????.

Pata Story hii mpaka mwisho kwa Tsh 1000 za  k???????????????????????? lipia kupitia namba,
0613083801 HALOPESA,John Bugumba.

Maoni

You're not logged in

Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17

Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........17
Whatsapp..............0613083801

ilipoishia..........
"Fanya unachojua uende nyumbani mama yako hayupo salama", alianza kumwelezea jinsi alivyokuwa.
"Diana nakuja sasa ivi tu",Albert aliondoka upesi akimuacha Diana kwenye maswali mengi.........

ENDELEA NAYO......
Albert alifika nyumbani kwao na kweli alikuta get lipo wazi na mlinzi akiwa amelala chini aliingia mpaka ndani na kuanza kumuita mama yake lakini hakuambulia chochote zaidi ya ukimya kutawala katika nyumba yao,
"Huyo atakuwa Mary ndiye aliyefanya kitendo cha kumchukua mama yangu", alichukua simu yake na kumpiga Mary na mda huohuo Mary alipokea simu,
"Mr.Albert",Mary aliongea kwa mapozi.
"Mary naomba usimguse mama yangu nitakufanya kitu kibaya sana",Albert aliongea na kutoa vitisho kwa Mary, lakini mwenzake ndio kwanza alianza...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya-17

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

143
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

142
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

101
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

63
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

5

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.04K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.72K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.67K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.11K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.86K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.71K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest