Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15

19th Apr, 2025 Views 6

Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........15
Whatsapp..............0613083801

ilipoishia.............
Mwanamama beatrice alimaliza kuongea.
ilikuwa ni habari mpya kwa mwanadada Angelina hakuamini kama ana dungu kwenye hii dunia.........

ENDELEA NAYO......
"Mama kwani huna tarifa za wapi alipo dada yangu?", Angelina aliamua kumuuliza mama yake.
"Mpaka sasa ivi sijui ni wapi walipo mana nilitokea kumchukia James kwa kitu alichonifanyia kwanza alikatisha ndoto zangu za kunifanya nisiendelee na masomo na kama asingekuwa yeye huenda tusingekuwa na maisha haya",mwanamama beatrice alimaliza kuongea.

Angelina alikuwa na kazi ya kumtafuta ndugu yake alitamani kumfahamu ni nani na atakuwa wapi kwa wakati huo.
             
Tarifa za ajali ya Diana zilimfikia Albert  akiwa nyumbani na alienda kumweleza mama yake kile kilichotokea lakini Mwanamama Katalina ata hakushituka zaidi ya kuendelea na kile alichokuwa akikifanya hali iliyomkasilisha zaidi Albert,
"Mama kwanini unamchukia Diana?, kwani ni kosa lipi alilowahi kukufanyia mpaka umchukie kiasi hicho?", Albert ilibidi amuulize Mwanamama katalina.
"Kwa sababu ni mtoto wa James"
"Kwani james alikufanyia nini mpaka umchukie mtoto wake?"
"Kwa sasa nahitaji kubaki mwenyewe ingekuwa vizuri ukaondoka na kuniacha peke yangu", Mwanamama katalina hakutaka kumweleza ni sababu gani inayomfanya amchukie Diana.

Ni ukweli usiopingika kuwa katalina bado alikuwa na kisasi na Mr.James licha ya miaka mingi kupita na chuki zake kwa Mr. James zilimfanya mpaka amchukie mwanae ambae ni Diana.

Upande wa Stewart nae alizipata tarifa za Diana kupata ajali alikuwa akisubiri pakuche ili aweze kwenda hospital kumjulia hali mwanadada Diana.

Asubuhi na mapema madoctor walikuwa bize wakihangaika kuchukua vipimo vya Diana na mda wote huo Mr.James kiti kilikuwa hakikaliki kwani alikuwa amesimama akisubili kupatiwa tarifa za kinachomsibu binti yake,
"Mr.James nifate", sauti ya doctor ilimwamulisha Mr.James amfate na walielekea moja kwa moja mpaka katika chumba cha doctor huyo.

Walifika na Mr.James alikaa kwenye kiti na kusikiliza kwa umakini kile atakacho ambiwa,
"Mr.james, binti yako amepata matatizo ya miguu na itamchukua mda kuweza kutembea tena", doctor aliongea.
"Unamaana gani doctor?"
"Ajali aliyoipata imeleta matatizo kwenye miguu yake hasa sehemu za magoti na ilikuwa kama bahati mana kwani hakuweza kuvunjika zaidi ya kupata ilo tatizo na kwakifupi ni kuwa binti yako amepalalaizi mzee wangu kwenye miguu yake", Doctor aliongea kwa masikitiko.
"Hapana doctor ulichoniambia umekosea emu nenda tena ukampime binti yangu vizuri, huenda majibu yakawa tofauti na ulichoniambia haiwezekani doctor?",Mr.James alipingana na maneno ya dakitari lakini haikubadilisha kitu zaidi ya tarifa kubaki vilevile.

Alitoka katika chumba cha doctor na kwenda kwenye chumba alicholazwa binti yake,alimkuta bado hajazinduka mpaka mda huo, Mr.James hakuamini kama mashindano ya Miss Tanzania yamebadilisha hatima ya binti yake.

Stewart alifika mida hiyo ya asubuhi na alielekezwa mahali alipokuwa amelazwa Diana, alifika kwenye chumba alicholazwa na kumkuta Mr.James ametulia huku macho yake yakitoa machozi tu,
"Pole sana Mr.James kwa kipindi kigumu unachopitia", aliongea na Mr.James lakini hakujibiwa chochote na hii ilimfanya aelewe kuwa Mr.James yupo mbali kimawazo, wakiwa wamo ndani ya chumba hicho mda huo huo Albert nae alifika na kuingia ndani ya kile chumba.

Alishangaa kumkuta Mr.James akiwa amesimama na Stewart japo sura haikuwa ngeni machoni mwake lakini hakukumbuka ni wapi aliwahi kumuona, alisogea na kutoa salama na ata Stewart alipomuona Albert aliikumbuka sura yake vizuri mana haikumtoka machoni sura ya Albert toka alipomuona airport akikumbatiana na Mwanadada Diana.

Kila mtu alikuwa kwenye huzuni kwa hali aliyokuwa nayo Diana na ata Mr.James hakukumbuka kama anamchukia Albert zaidi ya akili yake kuwa kwa binti yake.             

Nyumbani kwa mwanamama beatrice asubuhi ya siku hiyo walipata ugeni uliomfanya mwanae Angelina asiamini kupata ugeni ule,
Hakuwa mwingine bali alikuwa ni mwanamziki maarufu wa Tanzania anayefahamika kwa jina la Big Don. Angelina,Manka na mwanamama Beatrice walikuwa wakimsikia tu msanii huyo mkubwa na kuangalia nyimbo zake kwenye media mbalimbali lakini leo hii wanabahatika kumuona live.

Ujio wa Big Don nyumbani kwa mwanamama Beatrice ulisababisha waandishi wa habari kujazana nje ya nyumba hiyo na karibu kila mtu katika mtaa huo wa uswahilini alienda kwenye nyumba ya Mwanamama Beatrice kwa ajili ya kumuona Big Don.

"Mtanisamehe kwa ujio wangu wa bira tarifa ila sikuwa na njia nyingine zaidi ya hii, naamini wote hapa mtakuwa mnanifahamu au mmeshawa kuniona sehemu", Big Don aliongea huku Angelina,Manka na mwanamama Beatrice wakimsikiliza kujua ni kipi kilichomleta pale.

"Nipo hapa kwa ajili ya Miss Tanzania ningependa tufanye kazi pamoja",Big Don aliongea na hii kumfanya Mwanamama Beatrice kumtazama binti yake na kuamua kuongea,
"Unataka ufanye biashara gani na binti yangu?".
"Naitaji tuingie nae mkataba wa yeye kuwa video queen katika nyimbo yangu mpya nitakayoitoa hivi karibuni na atapata kiasi kikubwa tu cha pesa",Big Don aliongea tena akiwa anajiamini na alijua ni ngumu kwao kukata kutokana na umaarufu alionao na pesa alizonazo.

Mwanamama Beatrice alitafakari maneno aliyosema Big Don,
"Hapana, binti yangu hawezi kufanya iyo kazi ninashukuru kwa kumpendekeza binti yangu ila ni vyema ukamtafuta mtu mwingine na sio binti yangu", mwanamama beatrice alimaliza kuongea.
"Kuna milion 50 kama mkiwa tayali na kile nilichowaambia na hizo ni namba zangu", alinyenyuka na kuwapa card yake yenye namba nakuondoka huku akifatwa na waandishi wahabari.

"Wasanii bwana yani wanajiona wao ndio wao mtu anakuja nakuongea anavyojisikia yeye, ety ooohh kuna video yangu mara oooh kuna milion 50 kama ukikubali", Manka aliongea.
Mwanamama Beatrice alimgeukia binti yake nakimwambia,
"Mwanangu umeshakuwa mtu maarufu sasa ivi inatakiwa uwe makini sana vinginevyo utajikuta unaishia sehemu mbaya"
"Sawa mama",Angelina alimjibu mama yake.

Haikupita mda mwanamama katalina alifika maeneo yale na kumpa taratibu Angelina za yeye kupata zawadi zake na pia alimpa orodha ya majina ya makampuni mbalimbali yaliyokuwa yakiitaji kufanya nae kazi, huku akimuimiza awe makini kufanya uchaguzi ulio sahihi wa kampuni atakalo ingia nalo mkataba.              

Upande wa Diana alikuwa ameshazinduka na alihuzunika sana kusikia habari zile za yeye kutokuwa na uwezo wa kutembea na haijulikani lini atapona, ilikuwa ni siku mbaya sana kwa Mwanadada Diana ila hakuwa na chakufanya zaidi ya yeye kujutia maamuzi yake kama angemsikiliza baba yake ile siku huenda asingepata ajali.
"Diana kila kitu kina sababu ipo siku utapona na utarudi kwenye hali yako kama kawaida",Albert aliongea.
"Ni mtu mmoja tu ndiyo amechukua furaha yangu bira yeye nisingekuwa kwenye hii hali", Diana aliongea.
"Unamaana gani kusema kuwa kuna mtu amechukua furaha yako?"
"Angelina, namchukia Angelina, bira yeye kuwa Miss Tanzania mimi nisingekuwa kwenye hii hali, bora ata angekuwa mtu mwingine lakini sio Angelina, kilichonikasilisha zaidi nikuona Angelina amekuwa juu yangu mimi", Diana lawama alizihamishia kwa Angelina na kusahau kama ajali aliisababisha mwenyewe.

Albert alimtuliza Diana na hii ilimfanya apunguze hasira kidogo na kubaki akilia tu.

Alirudishwa nyumbani na mtu aliyekuwa nae karibu kwa wakati huo ni Albert na licha ya Diana kuwa kwenye ulemavu bado haikumfanya apunguze upendo wake na hii ilimfanya ata Mr.James aone utofauti wa kijana Albert na kijana Stewart aliyepunguza mazoea ya kuja kumuona Diana kama ilivyokuwa hapo kabra na ilimfanya Mr.James aanze kupunguza chuki alizokuwa nazo kwa Albert..ITAENDELEA.

Nini hatima ya Diana?, Angelina atachagua kuingia mkataba na kampuni ipi?

Pata Story hii mpaka mwisho kwa Tsh 1000 za  k???????????????????????? lipia kupitia namba,
0613083801 HALOPESA,John Bugumba.

Za hivi punde ni za 🔥🔥🔥 | Sema Jambo
Your settings were saved successfully!
Something went wrong!
You're not logged in
Click here to login and post your story

Welcome gonga94 Continue reading the various stories available here. Click here. Are you an artist then create an account here Signup/Login


mjukuu rewards 100
 

DEMU MLA MADEMU (CHOMBEZO)

mjukuu rewards 100
 

NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 10*

mjukuu rewards 100
 

NITAKUPA USINIROGE (1)

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 19

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 18

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 17

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 16

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 42

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 41

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 40

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 39

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 38

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 37

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 36

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 35.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 34

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 33.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 32

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 31

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 30

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 29

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 28

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 27

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 26

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 25

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 24

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 23.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 22

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 21

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 20

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 19.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 18

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 17.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 16

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 15.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 14

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 13.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 12

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 11.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 10

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 09

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 08

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 07.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 06

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 05.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 04.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 03

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 02

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 01.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 22.

mjukuu rewards 0
 

NASEMA KWA MAMA **** 3--4

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 15

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 14

mjukuu rewards 0
 

WIFI KHAA 04

mjukuu rewards 0
 

NASEMA KWA MAMA* 1-----2

mjukuu rewards 0
 

KIJIJI CHA WAGENI! 04

mjukuu rewards 0
 

MKE WA MGANGA ( 1——5 )

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 13

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 21.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 20.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 19.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 18.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 17.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 16.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 15.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 14.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 13.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 12.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 11

mjukuu rewards 0
 

WIFI KHAA 02 #Tulipoishia

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 10

mrindia rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 09

mjukuu rewards 0
 

*MY CHUNUN* 01

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 09

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 08

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 07

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 06

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 05

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 4

mjukuu rewards 0
 

SHANGATISA EP: 3

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: {02}

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 1

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 08

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU (06 & 07)

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 05

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 04

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 03

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU (01& 02)

mrindia rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 01

mjukuu rewards 0
 

MTOTO WA GETI KALI 1 - 6

mjukuu rewards 0
 

MIMI SIO KICHAA

mrindia rewards 0
 

SITOMWACHA HATA IWEJE

mjukuu rewards 0
 

BINTI MCHAWI

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest