Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
Gonga94 · Stories

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........28
Whatsapp..............0613083801

ilipoishia.......
hasira zilimshika na kuwasha gari lake aliliondoa kwa kasi akiwafata wao walipo tena wakiwa hawana habari kama kuna gari nyuma yao inayokuja kwa kasi............

ENDELEA NAYO......
Gari ilikuwa ikija kwa kasi na bahati nzuri Doctor Tayler aliweza kusikia sauti ya gari hilo aligeuka nyuma na kuona gari ikiwafata haraka alimvuta Diana pembeni na yeye kusogea pembeni huku gari ikiwakosa kidogo tu kuwagonga.

Gari ilienda mpaka mbele na kusimama kisha alishuka mwanadada Naisha tena akiwa kwenye hasira isiyo ya kawaida nakuwafata,
"Huyu ndiyo mgonjwa uliyekuwa unaniambia Tayler?, nimewafatilia toka mda mrefu sana na dalili zote nimeziona kuwa nyinyi ni wapenzi",Naisha aliongea akiwa na hasira sana.
"Tayler,who is she?"Diana alimuuliza Doctor Tayler aliyekuwa kimya na kukoswa cha kumjibu.

Doctor Tayler alishindwa afanye maamuzi gani kwa kuwagonganisha warembo wale wawili na kila mmoja alikuwa na umhimu kwake.

Naisha aliamua kufanya maamuzi aliyoona ni sahihi kwa upande wake,
"Tayler inakubidi uchague kati ya mimi na huyu mwanamke nani unayempenda na unataka kuwa nae?",Naisha aliongea.

Ata Diana nae aliamua kukaa kimya aone Doctor Tayler atafanya maamuzi gani kwa kile alichokisema mwanadada Naisha,
Tayler alikaa kimya na hili likawa jibu tosha kwa wote kuwa hana uwezo wa kumchagua mmoja kati yao,Naisha aliamua kuondoka na kuwaacha wawili wale wakiwa wamesimama na ata hamu ya wao kuelekea sehemu waliyokuwa wakienda nayo iliisha kabisa huku Diana akiondoka kwa hasira na kurudi walipokuwa wakiishi, Doctor Tayler aliamua kumfata mwanadada Diana.

Walifika mpaka ndani huku Diana akiwa hataki kumsikiliza Doctor Tayler, na akiwa kama mwanaume aliamua kujitetea na hii ilimfanya Diana aweze kumpa nafasi ya kumsikiliza,
"Diana kumbuka ni mazingira gani tuliyokutana mimi na wewe niukweli usiopingika kuwa Naisha alikuwa mtu wangu zamani lakini sasa ivi wewe ndiyo upo katika moyo wangu",Doctor Tayler aliongea .

Diana pia alifikilia na kukubaliana na maneno ya mwanaume huyo na tofauti zao zikawa zimeisha huku maisha mengine yakiendelea kati ya Diana na Doctor Tayler.

Nchini Tanzania, ukaribu uliozidi kujengeka kati ya Albert na Angelina ulimfanya Albert ampende mwanadada huyo na sasa kilichokuwa kimebaki nikumweleza tu kile kilichokuwa ndani ya moyo wake na temu hii aliamua kumshirikisha Mwanamama katalina ili mambo yawe raisi kwa upande wake.

Angelina yeye alikuwa anaendelea na maisha yake kama ilivyokawaida lakini alishangaa kuona Albert amezidisha ukaribu kwake yani saa moja lilikuwa haliwezi kupita bira kutafutwa na Albert asipopiga simu atatuma ujumbe, kitu pekee ambacho hakuambiwa na mwanaume huyo ni neno nakupenda.

Taratibu siku zilizidi kusogea na Albert aliamua kuweka wazi hisia zake kwa mwanadada Angelina alimweleza ni jinsi gani anavyotamani kuwa na yeye kwenye maisha yake japo kwa Angelina ilikuwa ngumu kukubali kwa wakati huo lakini pia Mwanamama Katalina alienda kukaa na rafiki yake au Mwanamama Beatrice nakumuomba wawaunganishe watoto wao waweze kuoana, Beatrice aliona ni jambo la kheri na hakuwa na kipingamizi kwenye hilo alishauliana na mmewe Mr.Gerald na wote walikubaliana kumuozesha Angelina kwa Albert, kazi ilibaki kwenye kumshawishi Angelina aweze kukubali kuolewa na Albert.

Angelina alikuwa mgumu kukubali lakini mbele ya mama yake mzazi na Mwanamama katalina hakuwa na pingamizi lolote lile alikubali na bira kupoteza mda ndoa ilipangwa kati ya Angelina na Albert.

Manka alizipata tarifa zile za Angelina kuolewa na Albert, haraka alimpelekea Stewart tarifa zile ambae nae hakuamini kusikia mwanamke aliyekuwa akimpenda anaenda kuolewa na mwanaume mwingine alichukua simu yake na kumpigia Angelina aliyepokea huku akiwa na wasiwasi kidogo mana alijua ni jinsi gani Stewart alivyokuwa anajisikia kwa wakati hu baada ya kusikia yeye anaolewa,
"Angelina mbona umekubali kuolewa mapema sana na mimi uliniambia haupo tayali kuingia kwenye mahusiano kwa sasa, kwanini Angelina?",Stewart aliongea maneno ya kulalamika yaliyokuwa yakimfikia mwanadada Angelina kupitia simu.
"I'm sorry Stewart sikuwa na njia nyingine tofauti na hii naomba unisahau na umtafute mwanake mwingine atakaye kufaa mimi sifai kuwa mke wako nisamahe sana", Angelina aliongea nakukata simu huku upande wa pili Stewart akijihisi kuchanganyikiwa maumivu ya moyo yalikuwa ni makali isivyo kawaida alijaribu kumpigia  simu Angelina kwa mara nyingine ila simu iliita bira kupokelewa na badae ikawa haipatikani kabisa.

Tarehe ya ndoa ilipangwa na zilikuwa zimebaki siku chache tu waweze kufunga ndoa.

Nchini Canada Diana hakuwa na hamu ya kurudi Tanzania na ata Mr.James alivyokuwa akimhimiza alidai bado kwanza hali yake haijakaa sawa na akiwa sawa atarudi tu na yote ni kwa sababu ya mahusiano aliyokuwa nayo kwa wakati huo na Doctor Tayler.

Siku hii ilikuwa mbaya kwa mwanadada Diana kwani alitoka na kumuacha Doctor Tayler akiwa nyumbani lakini alivyorudi alishangaa kukutana na hali ya kitofoauti.
Kwanza alikuta nguo zote za Doctor Tayler hazipo na alipojaribu kuzunguka kumuangalia hakufanyikiwa kumuona, aliamua kurudi ndani na kukaa kwenye kochi akitafakari ni wapi Doctor Tayler atakuwa kaenda.

Alipotazama juu ya meza aliona barua iliyoandikwa na Doctor Tayler aliichukua na kuisoma barua ile iliyokuwa na maneno ya kuumiza,
"Nisamehe Diana kwa kukupotezea mda wako nikweli nakupenda lakini Naisha niwa mhimu zaidi kwangu pia siwezi kuwa mbali na Naisha Diana kwasababu nyumbani kwao wanamali nyingi na za kutosha,I'm sorry" ni barua iliyokuwa na maneno machache ila yenye kueleweka yaliyomfanya Diana alie kama mtoto mdogo kwa kuachwa na Doctor Tayler.

Mawazo yalitawala kichwa cha Diana tangu alipoondoka Doctor Tayler hali iliyomfanya apatwe na ugonjwa uliowafanya madoctor washindwe kuelewa ni kipi kinachomsumbua mana kama kumpima walimpima ila hawakugundua chochote kilichokuwa kikimsumbua.

Diana hakutaka tena kubaki Canada alijiandaa kwa ajili ya kurejea Tanzania.

Nchini Tanzania siku iliyokuwa inasubiliwa kwa hamu ilifika watu mashuhuli walihuzulia katika harusi hiyo ya Albert na Mwanadada Angelina, na ilizungumzwa karibu nchi nzima, ukubwa aliokuwa nao mwanadada Angelina ambae bado alikuwa akishikilia taji la Miss Tanzania .
Ata Mary mwanamke aliyetaka kuifilisi familia ya Albert nae alikuwepo na sasa walikuwa ni marafiki wakubwa na Albert.

Maumivu yalikuwa kwa kijana Stewart ila hakuwa na njia nyingine zaidi ya kukubaliana na hali halisi japo yeye hakutaka kwenda kwenye ndoa hiyo mana ingekuwa ni zaidi ya maumivu kumuona mwanamke aliyekuwa akimpenda akiolewa tena mbele ya macho yake.

Ndoa ilifungwa kati ya Albert na Angelina na karibu kila mtu aliisifia ndoa hiyo ikipambwa na vyombo mbalimbali vya Tanzania.

Nchini Canada tunamwona mwanadada Diana akiwa airport na akijiandaa kwa ajili ya kurejea Tanzania......ITANDELEA 

Diana anarejea na tayali Albert ameshafunga ndoa na mdogo wake Angelina, majibu zaidi yapo sehemu ya 29

Maoni

You're not logged in

Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28

Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........28
Whatsapp..............0613083801

ilipoishia.......
hasira zilimshika na kuwasha gari lake aliliondoa kwa kasi akiwafata wao walipo tena wakiwa hawana habari kama kuna gari nyuma yao inayokuja kwa kasi............

ENDELEA NAYO......
Gari ilikuwa ikija kwa kasi na bahati nzuri Doctor Tayler aliweza kusikia sauti ya gari hilo aligeuka nyuma na kuona gari ikiwafata haraka alimvuta Diana pembeni na yeye kusogea pembeni huku gari ikiwakosa kidogo tu kuwagonga.

Gari ilienda mpaka mbele na kusimama kisha alishuka mwanadada Naisha tena akiwa kwenye hasira isiyo ya kawaida nakuwafata,
"Huyu ndiyo mgonjwa uliyekuwa unaniambia Tayler?, nimewafatilia toka mda mrefu sana na dalili zote nimeziona kuwa nyinyi ni wapenzi",Naisha aliongea akiwa na hasira...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya-28

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89

1.71K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO

585
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "14_15"💓

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "14_15"💓

252
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15

171
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17

68
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108

50
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.

43
Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼

Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.99K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.67K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.9K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.07K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.02K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.84K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.73K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.7K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
@majario LIVE

:101 Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema “wewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.” Nikacheka nikisema “upoje jini la...

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan. Post Mpya
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.
@majario LIVE

💥Kamera zilikuwa zikiwanasa mara nyingi wakiishangilia kwa pamoja katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahçe, na wakawa kama moja ya kielelezo cha mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17
@majario LIVE

SEHEMU YA 16 Denis hakujibu kitu alikata simu 📱 hapo hapo nilishikwa na machungu 😔 sana nilifuta namba yake kwa hasira😡nikaanza kulia 😭 kilichokuwa kinaniumiza zaidi ni kuachwa bila kutarajiwa halafu...

Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼 Post Mpya
Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼
@majario LIVE

Binafsi bado sijaona cha kunishawishi kwa huyu mwamba tofauti na wengine wanavyompa Hype. Niliangalia mechi zote mbili walizocheza TRA United na timu za Kariakoo, kiufupi mwamba alikuwa Anajitutumua ili aone...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Na kama ni kweli zena kanizungukia namshukuru mana nilikuwa nishapotea sana lakini yeye ndo kaniludisha kwenye mstari, yani imetulia.sana.na ninawaza maendelea tu na familia yangu , mpaka sasa...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "14_15"💓 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "14_15"💓
@majario LIVE

( alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea) nikalala wee kukakucha mapema sanaaa Nikakusanya ndoo zangu zilizojaa bites huyoooo site kwangu Nikafanya usafi pale nikapanga kabati langu nikaweka mzigo nikakaa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89
@majario LIVE

Basi nikajikuta usingiz umenipitia kabisaa, nahisi ni ile kuchoka na mawazo sana, nikaja kustuka ni mida ya usiku hivi, kwa pembni naona wanangu , arshaina ndo wa kwanza akananza kunipandia...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15
@majario LIVE

Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari 🚙 lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15
@mjukuu LIVE

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15 (🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa... Alex alikaa kwa kungwi...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mke wangu umeenda kijijini kumpa mwanangu mimba?. ( Yani aliongea uku amemkwida mama asma...na hapo akatokea msamalia mwema akamshika...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 12 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 12
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Asma akasogea yupo tayari kuvuliwa nguo nimpe utamu, Dah yani....👇 Kidume sikutaka kuchelewa maana penzi la wizi wizi hili, Nilimvua...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Unajua mbwana yule mjumbe anatoa...👇 Ushilikiano kitandani utasema kijana yani uno kama lote mpaka nasema kimoyoni enzi ya...

IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Upande wangu nilikuwa zangu chumbani, nikijiandaa kwa ajiri ya kutoka kwenda kurefresh kidogo, nikiwa najiandaa mara Ethan huyu hapa alikuwa mnyinge kweli "Vipi tena??" Nilimuuliza baada ya kumuona amekuwa mnyonge gafla "Acha...

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Ethan akazungumza "Hakuna cha kukata tamaa, kwani we nani amekwambia kuwa ameolewa..??" "Ni mama.." Nilimjibu huku nikiwa nimekata tamaa zaidi "Sasa mama wewe unamuamini vipi??, kama amekuongopea?? We cha kufanya anza kumtoa mtoto...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest