Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
Gonga94 · Stories

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya............29
Whatsapp..............0613083801

ilipoishia....
Nchini Canada tunamwona mwanadada Diana akiwa airport na akijiandaa kwa ajili ya kurejea Tanzania.....

ENDELEA NAYO......
Diana alipanda ndege kwa ajili ya kulejea Tanzania na akiwa ndani ya ndege kitu cha kwanza alichokiwaza ni kuonana na Albert na alikumbuka jinsi mwanaume yule alivyokuwa akimjali tangu wanasoma wote na ata alivyokuwa na matatizo ya kiafya ndani ya nafisi yake alikili maneno aliyowahi kuambiwa na baba yake siku ile kuwa Albert ni mwanaume anayetakiwa awe naye yalikuwa ni maneno ya kweli wa asilimia mia.

Diana alipanga kwenda kuweka mambo sawa ili aweze kufunga ndoa na Albert mwanaume aliyetokea kumuonyesha upendo wa kipekee.

Diana pia alitafakari jinsi DoctorTayler alivyomkimbia na kumuachia barua yenye maandishi ndani yake.

Akiwa amekaa na anamawazo alishangaa akiguswa na mtu,
"Hey sorry,is this your phone?(samahani hii ni simu yako)",sauti ilimtoa kwenye mawazo mwanadada Diana baada ya kupewa simu yake aliyoidondosha na mama wa kizungu aliyekuwa amekaa pembeni yake,aliichukua na kuiweka mahali pake huku safari ikiendelea.

Nyumbani kwa Mwanamama Beatrice akiwa amekaa na Mr.Gerald mmewe alionekana ni mwingi wa nawazo,
"Nilizoea kukaa na binti yangu, sikutegemea kama itakuja kutokea awe mbali na mimi kiasi hichi lakini kwa wakati huu hayupo karibu na mimi na yupo kwa mwenza wake",Mwanamama Beatrice aliongea kwa huzuni mbele ya mme wake baada ya Angelina kuolewa.
"ilikuwa ni lazima tutengane na mtoto wetu ni mda wake wa kutengeneza familia mke wangu, kumbuka ata sisi tulipitia magumu mengi na yenye kuumiza",Mmewe aliongea na kumtoa hofu Mkewe.
"Ni kweli bira wewe kunipokea na kukubali kuishi na mimi huenda nisingekuwa hapa nilipo"

Gerald na Mwanamama Beatrice ni watu waliopitia changamoto nyingi kipindi Beatrice anafukuzwa kwao alipokuwa na mimba ya Diana, Gerald ndiye aliyempokea na kuamua kuishi nae japo mwanzo waliishi kama marafiki ila baada ya kumzaa Diana na kumpeleka kwa Mr.James ndipo mahusiano yao yalipoanza na kufanyikiwa kumzaa Angelina,na maisha yao yalikuwa ya kawaida ila baada ya Angelina kukua na kufanyikiwa kufika mpaka chuo kikuu hali ya maisha ilizidi kuwa mbaya iliyomsababisha Mr.Gerald aingie kwenye kazi za wizi ili tu mwanae aweze kusoma,
Angelina alipobakiza miezi miwili amalize chuo Mr.Gerald alikamatwa kwa kosa la wizi na kukaa gerezani karibu mwaka mmoja na sehemu, hayo ndiyo maisha waliyoyapitia wapenda nao hao.

Albert na Angelina walipatiwa zawadi ya nyumba na mwanamama katalina akisaidizana na mmewe kuinunua nyumba hiyo tena ikiwa ya bei ya juu.

Upande wa wanandoa siku hiyo ilikuwa ni siku ya kihistoria kwao kwani walifurahia fungate lao na kila mmoja alilizika na mwenzake.
Angelina alikuwa kajilaza kwenye kifua cha mmewe,
"Albert umebadilisha mipango yangu gafra lakini ni mabadiliko yenye baraka kwangu,sikutegemea kama nitafunga ndoa mapema kiasi hichi", Angelina alimwambia mmewe.
"Nilikuwa mjinga sana kipindi cha nyuma sababu nilikuwa nakuchukia pasipo kuwa na sababu yoyote ya kunifanya nikuchukie,hakika mungu niwaajabu mtu niliyekuwa nikikuchukia  ndiyo umekuja kuwa mke wangu",
"Najua yote yalitokea kwa sababu ya mimi kugombana na dada yangu Diana na wewe kipindi hicho ulikuwa upande wa Diana, hivyo ilikuwa ni lazima uwe upande wake na unichukie."

Albert alijikuta pia akimuuliza Angelina kama ana tarifa zozote kuhusu Diana lakini naye alijibu hakuna chochote alichokuwa akikifahamu kuhusu Diana.
Waliendelea kuongea mpaka pale kila mtu usingizi ulipomchukua.

Asubuhi na mapema sauti ya simu ilimfanya Albert awe wa kwanza kuamka na alivyoangalia kioo cha simu yake mpigaji alikuwa ni Mary na kwa wakati huo walikuwa wameshakuwa marafiki aliipokea na kuiweka sikioni,
"Bado umelala rafiki yangu mpaka sasa ivi emu amka, kwani umesahau kama leo ulinipa ahadi ya mimi kuja kwenye kampuni yenu kwa ajili ya kunipa kazi?",Mary aliongea.
"Kila kitu nilishaweka sawa unatakiwa uende ukaanze kazi leo hii", Albert aliongea na kumfanya Mary akate simu.

Albert alinyenyuka kitandani na hakutaka kumsumbua mke wake aliyekuwa bado kalala.

Stewart kwa upande wake alikuwa ameshaanza kumsahau Angelina na sasa alikuwa na mazoea  na Manka rafiki wa Angelina na urafiki wako ulizidi kuongezeka siku hadi siku, na ukijumlisha na ubize wa kazi aliokuwa nao aliyotafutiwa na baba yake au Mr.John pia ulichangia kumfanya asahau kabisa kama aliwahi kumpenda mwanamke aliyekuwa akiitwa Angelina, akili zake zote kwa wakati huo zilikuwa kwa mwanadada Manka aliyeanza kuvutiwa nae kutokana na ucheshi aliokuwa nao binti huyo.

Diana aliweza kuwasili salama Tanzania na kitu cha kwanza alichotaka kukifanya ni kuonana na Albert, aliamua kwenda nyumbani kwao Albert tena akiwa na mabegi kwenye tax aliyoikodi ili amwone mwanaume anayempenda,
Alifika na kukalibishwa na Mlinzi wa nyumba ya Mwanamama Katalina,Diana alipelekwa mda ndani japo alikuwa na hali ya woga kutokana na yeye kutokupendwa na Mwanamama Katalina.

Diana alimkuta Mwanamama Katalina akiwa na Mmewe na kutoa salamu kwao na temu hii Mwanamama Katalina alimkaribisha bira kinyongo chochote kile mana tayali alikuwa ameshaambiwa ukweli kama Diana ni mtoto wa Mwanamama Beatrice,
"Mama samahani naomba kuonana na Albert",Diana alimwambia Mwanamama katalina.
"Yupo kwake kwa sasa ngoja nikuelekeze ni vyema ukaenda kwake kuongea nae"

Mwanamama Katalina alimwelekeza ni wapi Albert anapokaa na Diana alishukuru sana na aliamua kwenda mda huohuo mpaka kwa Albert akiwa na mtu wa tax aliyoikodi.
Ndani ya mda mfupi tu aliweza kufika kwenye nyumbani aliyoelekezwa na Mwanamama Katalina na kuingia ndani huku akishangaa kumkuta mdogo wake Angelina maeneo yale,
"Diana ni wewe!!!",Angelina alienda kumkumbatia ndugu yake baada ya kupita mda mrefu bira wao kuonana,
"Ndiyo ni mimi Angelina,Albert yupo wapi nimeelekezwa na kuambiwa anaishi hapa?",Diana aliongea.

Mda huohuo Albert nae alitoka chumbani na kwenda mahali walipo wao baada ya kusikia sauti ya Diana,
Diana alivyomwona Albert alienda kumkumbatia na kutaka kumpiga kiss mwanaume huyo ila alishangaa kuona mwenzake anakwepesha mdomo,
"Albert ni mimi Diana wako nisamehe kwa kukuacha peke yako nimerudi tuishi wote na tutengeneze familia, najua sijawahi kukuonyesha upendo wowote ule ila tambua moyo wangu upo kwako",Diana aliongea.
"Umeshachelewa Diana,it's too late", Albert aliongea.
"Unamaanisha nini Albert?"

Albert hakutaka kumjibu bali alisogea mahali alipokuwa Angelina na kumshika mkono upande wa Angelina wakati huo alikuwa na aibu na kushindwa kumtazama Dada yake usoni.

Diana hakuhitaji uthibitisho tena kwani alipowatazama kwenye mikono yao wote walikuwa na pete hii ilionyesha ni wanandoa tayali,
"Diana huyu unayemuona hapa ni mke wangu na tayali tumeshafunga ndoa samahani sana kwa hili lililojitokeza",Albert aliongea na kumfanya Diana masikio yake yasiamini kile alichokisikia.
"Haiwezekani huu ni utani,Angelina huwezi kunifanyia ivi mimi,kwanini unapenda kuchukua furaha yangu uMiss Tanzania umesababisha niukose na leo tena umemchukua mwanaume aliyekuwa ananipenda,nakuchukia Angelina...",

Diana aliondoka kwa hasira na kwenda kupanda kwenye tax aliyokuja nayo, nakuondoka akielekea nyumbani kwao, hakuamini kama Albert amemuoa Angelina kwake aliona ni kama ndoto.
Diana alifika mpaka nyumbani na kumfanya Mr.James ashangae kwa ujio wa binti yake tena wa bira kutoa tarifa zozote zile....ITAENDELEA.

Karibu katika sehemu inayofata ya mkasa huu wa kusisimua.

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29

Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya............29
Whatsapp..............0613083801

ilipoishia....
Nchini Canada tunamwona mwanadada Diana akiwa airport na akijiandaa kwa ajili ya kurejea Tanzania.....

ENDELEA NAYO......
Diana alipanda ndege kwa ajili ya kulejea Tanzania na akiwa ndani ya ndege kitu cha kwanza alichokiwaza ni kuonana na Albert na alikumbuka jinsi mwanaume yule alivyokuwa akimjali tangu wanasoma wote na ata alivyokuwa na matatizo ya kiafya ndani ya nafisi yake alikili maneno aliyowahi kuambiwa na baba yake siku ile kuwa Albert ni mwanaume anayetakiwa awe naye yalikuwa ni maneno ya kweli wa asilimia mia.

Diana alipanga kwenda kuweka mambo sawa ili aweze kufunga ndoa na Albert mwanaume aliyetokea kumuonyesha upendo wa kipekee.

Diana pia alitafakari...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya-29

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*

567
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*

517
REALLY LOVE*  *   *SEHEMU YA 34*

REALLY LOVE* * *SEHEMU YA 34*

331
MY CRAZY BOSS 12,13,14

MY CRAZY BOSS 12,13,14

300
SHAMIRA sehemu ya 27&28

SHAMIRA sehemu ya 27&28

165
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 11

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 11

145
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 12

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 12

139
SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18

SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18

127
MY CRAZY BOSS 15

MY CRAZY BOSS 15

119
SASA NAKUPENDA 11 MPAKA 15

SASA NAKUPENDA 11 MPAKA 15

115

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.33K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.08K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.73K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.16K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.57K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.38K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.36K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.21K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 13 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 13
@majario LIVE

Nikasikia kuna nini hapoo???" Halafu muda huo Veda alikuwa ananitazama machoni na mie nimtazama yaani tunatazamana nina uhakima mioyo yetu ilikuwa inaongea maana kwa yale macho ya veda daah achaaaa Nikageuka...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*
@majario LIVE

Nilijikuta nikishtuka sana baada ya kukutana na madam groly Tena NYUMBANI kwangu. "Amepajuaje hapa ? Au amekuja na pully?" Nilijiuliza kimoyamoyo uku nikimuangalla madam Groly kwa wasiwasi uku nikiwaza amekuja kufanya nini...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*
@majario LIVE

SONGA NAYO Kwanza nilishtuka sana, nilimuangalia Enzo kwa makini sana lakini enzo hakuwa na uwezo ata wa kuniangalia, muda wote alipepesa macho akiangalia pembeni tu wakati akizungumza. Maneno makali sana juu...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 12 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 12
@majario LIVE

Nilijitetea kwelii japo nilikwangua ka_akiba kangu ila niliona aibu sana kurudishiwa ile pesa aah nikasema acha nilipwe na Mungu tu .. Akanibembeleza sanaa nikakataa wakati naondoka akaniomba namba ya simu nikawaachia...

SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18 Post Mpya
SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Sehemu ya 16 na 17. Mwandishi; lissa wa huru media kijana . Nakuuliza si unajifanya mjanja .basi tutasomana . Ata mimi ni mjanja wa zamani. Baba yangu alimuangalia sana adrian....

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 11 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 11
@majario LIVE

Ikabidi tu nikubali kinyongee ila roho iliniuma sanaaa yaani mpaka chozi lilinitoka aiseee... Tinner akabaki kunibembeleza na hapo hata sijui atakuja linii mjinga kweli huyu kakaa gari yangu tena aah roho...

Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire Post Mpya
Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire
@majario LIVE

for achieving the highest score of 719 and earning Rank 1 in the examination! 🎉👏 Your outstanding achievement brings pride not only to your province but also to your Isabelino...

Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto Post Mpya
Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto
@majario LIVE

yake kweli Mungu alisikia maombi yake akapata kazi kwenye hiyo Kampuni. Baada ya kupata kazi John safari yake ya kwanza tu akiwa na ile kampuni akapata ajali na kufarika hapo...

THE SECRET MESSAGE 💬 1,2 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE 💬 1,2
@majario LIVE

01 Ninatamani kama isiwe ni kweli kwenye hili ambalo mimi leo hii nataka niwaweke wazi. Lakini hii sio ndoto, sijaota mimi, ni kweli nimeyaishi na yamenitokea kwenye maisha yangu. Maisha yangu...

MY CRAZY BOSS 15 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 15
@majario LIVE

"Watu wote waliohudhuria kikao waliondoka , chumbanai humo tulibaki mimi pamoja na Boss Erick, macho yake muda wote yaliangaza kwangu ." "Nimekumiss sana mrembo wangu, nimemiss sura yako, tabasamu lako,...

MY CRAZY BOSS 12,13,14 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 12,13,14
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 12 Kama ofisini hapafai naomba twende nyumbani,yaani twende sasa hivi,boss alizungumza. Hapana ,sio sasa hivi,nilijibu. "Sawa kama ni baadae,boss aliitikia" Nilitoka na kuagiza lunch kisha nikampelekea boss nakuendelea...

REALLY LOVE*  *   *SEHEMU YA 34* Post Mpya
REALLY LOVE* * *SEHEMU YA 34*
@majario LIVE

upande mwingine calor na mama yake walifika na kumkuta cathe akiwa anaosha vyombo, mama cathe alishangaa sana kuona mwanae anafanya kazi, cathe alipomuona mama yake alinyanyuka na kwenda kumkumbatia huku analia cathe...

SHAMIRA sehemu ya 27&28 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 27&28
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana shoga akanishukuru mno. Bado nikamtoa lunch mimi sindo tajiri tena alikula alichokitaka nakwambia. Basi baada ya yote tukaenda charambe sasa .nikapita kwa...

SASA NAKUPENDA 11 MPAKA 15 Post Mpya
SASA NAKUPENDA 11 MPAKA 15
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Sehemu ya 11 na 12. Mwandishi; lissa wa huru media Basi nilivyotoka pale nikaeenda kutulia sebleni rohooo yangu kwatu. Sijuh ata alimalizanaje na mwanamke wake uko. Mida ya mchana mama akaniuliza...

REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 33* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*
@majario LIVE

kwahiyo baba unanikataza mimi nisiende kwa dada yangu? wewe baba gani mbaguzi yani unamjali sana dada kuliko mimi? vipi kuhusi namimi hali yangu mbona hunijali alisema cathe kwa kumfokea baba...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest