Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
Gonga94 · Stories

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........23
Whatsapp..............0613083801

Sehemu iliyopita.....
Diana aliongea na alimaanisha kile alichokiongea mana tayali alikuwa kwenye penzi zito kwa wakati huo na doctor Tayler.........

ENDELEA NAYO......
Mr.James hakuwa nacha kuongea tena kwa binti yake zaidi ya kumuacha afanye maamuzi mwenyewe aliyoona ni sahihi kwake, alikaa kwa siku kadhaa na ata yeye akiwa kama mtu mzima alikuwa ameshaanza kuona kuna kitu kinachoendelea kati ya Diana na doctor Tayler.
Mpaka anarejea Tanzania alikuwa ameshaona mabadiliko makubwa kwa binti yake hasa ukaribu aliokuwa nao kwa Doctor Tayler.

Diana penzi la doctor Tayler lilimnogea wakiwa wamekaa pamoja Diana aliamua kufunguka kile kilicho moyoni mwake mbele ya mwanaume huyo,
"Tayler naomba unioe",Diana alijikuta yeye ndiyo anaomba ndoa mbele ya mwanaume huyo.
Habari ile kwa Tayler ilikuwa ni mapema sana hakutaka kuingia kwenye ndoa kwa wakati huo na alikuwa anasababu zake binafsi Doctor Tayler,
"Give me time Diana and the only thing which I want to say I will marry you  later (Nipe mda Diana na kitu pekee ningependa kusema nitakuoa hapo badae)"Doctor  Tayler aliongea.

Diana hakutaka kupingana na maneno ya mpenzi wake aliyaamini kwa asilimia zote.               

Miss Tanzania leo alipokea simu kutoka kwa Stewart,
"Angelina uliniahidi kuwa utatafuta mda maalumu wa kuongea na mimi",Stewart alisikika akimwomba Angelina atimize ahadi yake kama alivyokuwa amemuahidi.
"Ooh,Stewart mambo ni mengi na ratiba zinanibana sana ila kwakuwa umenikumbusha basi jioni ya leo naomba utafute sehemu nzuri ya mimi kuonana na wewe",Angelina aliongea na kukata simu.

"Oooh yes,safi kabisa kakubali",
Stewart alijikuta akishangilia kama mtoto na kujisahau kama yupo nyumbani kwao bira kujua kama maongezi yake yote  Mr.John alikuwa akiyasikia.
"Nani huyo kakubali ??",ilikuwa ni sauti ya baba yake iliyomshitua na kumfanya akose cha kuzungumza.

ila Mr.John siku hiyo alikuwa na maneno ya kuongea na kijana wake kwanza alimkalisha chini ili amsikilize anachomwambia na alimsihi amsikilize kwa  umakini sana,
"Wewe umeshakuwa sasa ndiyo mana sishangai kuona ukihangaika kutafuta mwenza wako wa maisha, ila kuna kitu kimoja tu umekisahau mwanangu",Mr.John aliongea.
"Kitu gani baba?",mwanae aliuliza.
"Umesahau kutengeneza future ya maisha yako tangu ulipotoka kusoma nje za nchi sijawahi kukuona ukiwa na juhudi za kutafuta kazi na mbaya zaidi, ata kujumuika na mimi katika biashara zangu huwa hujumuiki, na pia nafanya kazi na makampuni kadhaa ila Stewart hujawahi niambia nikufanyie mchakato wa kazi mwanangu kumbuka leo wazazi wako tupo hai kesho hatupo, inatakiwa utengeneze maisha yako Stewart kwanza wanawake utawapata tu huko badae",Mr.James alimwambia mwanae na kweli Stewart baba yake siku hiyo aliongea kitu cha mhimu sana kwa ajili ya kumkumbusha.
"Ni kweli baba nitafanyia kazi kile ulichoniambia"

Baada ya baba yake kuondoka aliona kweli kuna umhimu wa kufanya vile alivyoambiwa na Mr.John lakini haikumfanya asahau kama ana ahadi ya kuonana na mwanadada Angelina jioni ya siku hiyo.

Mwanadada Mary kama alivyopanga na ndicho alichokifanya alibadilisha mwonekano wake wa mavazi na kuvaa mavazi yaliyochoka na urembo wake kupotea kwa mda, kisha akenda kituoni na akiwa analia,
"Wewe dada tatizo nini mbona umekuja kituoni tena ukiwa na machozi",Afande alimuuliza mwanadada Mary.
"Afande nimefanyiwa ukatili, mimi nilikuwa nimshiriki katika mashindano ya kumtafuta mrembo wa taifa,nikiwa kama mshiriki kuna kijana aliyekuwa na nafasi kubwa kwenye ile kampuni ya FNF na mama yake ndiye aliyekuwa akitusimamia sisi katika mashindano, yule kijana kwa kuwa mama yake anafasi kubwa alinitishia na kunidanganya kuwa nitakuwa Miss Tanzania kama nikitembea nae kitendo ambacho nilikipinga ila badae alinitisha sana ikabidi nikubali na baada ya mda nikapata ujauzito......,
ukatili alionifanyia alinikamata akiwa na vijana wenzake nikapewa dawa ya kuitoa mimba bira ridhaa yangu mimi", Mary alitoa maelezo mengi mpaka yule asikari aliyekuwa anaandika maelezo alimpa pole mwanadada Mary.

Kwa maneno aliyozungumza Mary na kuifungua kesi palepale polisi waliongozana na Mary mpaka nyumbani kwa mwanamama katalina ili wakamuchukie kijana Albert.

Albert akiwa amekaa na mwanamama katalina  palepale walishanga hodi ikigongwa kwa fujo hali iliyomlazimu Mwanamama Katalina akaangalie ni nani huyo anayegonga mlango,alifika na kufungua mlango mwanamama katalina alishangaa sana kuona asikari polisi katika nyumba yake,
"Karibuni Afande", Mwanamama Katalina aliongea kwa hofu licha ya ukubwa alionao ila hofu ya neno polisi alikuwa nayo.
"Albert yupo wapi?", ndio swali la kwanza aliloulizwa na moja ya Afande huku wakiingia ndani.

Kwakuwa Albert alikuwa amekaa palepale hawakupata shida kumpata,

"Wewe ndiyo unaitwa Albert?", Afande aliuliza kwa mara nyingine.
"Ndio ni mimi"
"Binti njoo na usogee huku", baada ya Afande kumwita Mary palepale aliingia ndani na hapo ndipo Albert na Mwanamama Katalina walijua ni mchezo wa Mary alioamua kuwachezea na temu hii akitumia njia nyingine.
"Binti ndio huyu mtu mwenyewe"
"Ndio afanye ni yeye",

Aliongea huku analia mwanadada Mary na hakukuwa na mda tena kwani Albert alichukuliwa na kupelekwa polisi.

"Afande mmekosea huyu ni mwanangu na hana kosa lolote huyu binti ni muongo, naombeni muamini maneno yangu",mwanamama katalina alijaribu kuongea kumtetea mwanae.
"Tunakuheshimu sana na ndiyo mana tumekuja kwako kistarabu maelezo yote yataenda kutolewa polisi,aya mchukueni huyo kijana twende",

hawakuwa na utani ata kidogo kwani  Albert alichukuliwa na kupelekwa polisi.

Hatimae jioni ilifika na siku hiyo Stewart alivaa nguo za kitofauti kwani alivaa nguo ambazo hakuwahi kuzivaa hapo kabra na alimtafuta Angelina kumwelekeza ni sehemu gani wakutane ambae nae alikubali ila mda huo alikuwa na shoga yake Manka,
"Angelina usitake kuniambia wewe na Stewart tayali mambo yameshaanza kuiva",Manka aliongea.
"Nilijua tu yani ukisikia kitu wewe huachi kuongea,mimi na Stewart hamna chochote kile kinachoendelea kati yangu mimi na yeye aliniomba tuonane kwa ajili ya mazungumzo",Angelina aliongea na mda huo alikuwa akimalizia kujianda.

Kijana Stewart alikuwa ameshafika katisa sehemu husika na alikuwa akimsubiria tu Angelina aweze kuwasili pale,
"Leo lazima nimwambie ukweli wa moyo wangu ata kama sitaongea maneno mengi ila lazima nitamke neno nakupenda",Stewart aliongea na ndani ya dekika kadhaa tu aliweza kuona gari ya Angelina ikiwasili pale.

Stewart alinyenyuka na kuifata gari ya Angelina, baadhi ya watu waliokuwa maeneo yale waliweza kuwashuhudia na watu wengine wakianza kuchukua picha na kurusha kwenye mitandao kwa sababu ya uwepo wa Angelina maeneo yale.

Stewart alimpeleka Angelina mpaka sehemu aliyoichagua yeye kwa ajili ya maongezi,
"Stewart naomba tuzungumze haraka tuondoke maeneo haya wewe mwenyewe unaona jinsi watu wanavyotuangalia na kuchukua video",Angelina aliongea lakini kile kitendo Stewart yeye alikuwa anakifurahia tu.
"Stewart naomba uniambie ni kipi ulichoniitia?",Angelina alizidi kuongea.

Stewart akifikilia anzeje kumwambia mwanadada Angelina ili amwelewe lakini aliamua kujikaza kiume na kutoa kile kilicho moyoni mwake.

"Angelina moyo wangu haupo huru tangu nilipokuona mara ya kwanza ila leo nataka niuweke huru moyo wangu"
"Una maana gani Stewart?"
"Angelina mimi nakupenda sana zaidi ya kukupenda, nimeona wanawake wengi wenye kila sifa lakini sijaona mtu wa kukufikia wewe, na sio kwa sababu wewe ni Miss Tanzania ila nakupenda kwakuwa wewe ni Anjelina Gerald, naomba ukubali kuwa mke wangu",Stewart alimaliza kuongea huku akisubiri kuona Angelina ata chukua maamuzi gani.

Angelina hakuamini kusikia yale maneno kutoka kwa kijana Stewart na alipomtazama usoni macho ya stewart yalimaanisha kile alichokuwa akikizungumza kina ukweli, Angelina alifungua kichwa chake na kuongea....ITAENDELEA.

Angelina atamjibu nini Stewart na vipi kuhusu Albert aliyesingiziwa kesi na mwanadada Mary?,karibu katika sehemu inayofata.

Pata Story hii mpaka mwisho kwa Tsh 1000 za  k???????????????????????? lipia kupitia namba,
0613083801 HALOPESA,John Bugumba.

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23

Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........23
Whatsapp..............0613083801

Sehemu iliyopita.....
Diana aliongea na alimaanisha kile alichokiongea mana tayali alikuwa kwenye penzi zito kwa wakati huo na doctor Tayler.........

ENDELEA NAYO......
Mr.James hakuwa nacha kuongea tena kwa binti yake zaidi ya kumuacha afanye maamuzi mwenyewe aliyoona ni sahihi kwake, alikaa kwa siku kadhaa na ata yeye akiwa kama mtu mzima alikuwa ameshaanza kuona kuna kitu kinachoendelea kati ya Diana na doctor Tayler.
Mpaka anarejea Tanzania alikuwa ameshaona mabadiliko makubwa kwa binti yake hasa ukaribu aliokuwa nao kwa Doctor Tayler.

Diana penzi la doctor Tayler lilimnogea wakiwa wamekaa pamoja Diana aliamua kufunguka kile kilicho moyoni mwake mbele ya mwanaume huyo,
"Tayler naomba unioe",Diana alijikuta yeye...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya-23

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

143
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

142
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

101
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

63
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

5

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.04K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.72K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.67K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.11K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.86K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.71K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest