PENZI LA MHALIFU 12
Jamani nilikuwa kwenye wakati mgumu kwa kipindi hicho na yote yalisababishwa na mkuu wangu wa kazi, kuna mda nilikuwa nikijilaumu kwa jinsi mungu alivyoniumba maana ndiyo sababu ya yote hayo kutokea. Nilijiuliza mbona wenye K wapo wengi tu kwanini boss atake ya kwangu peke yangu na asitafute K zingine?.
Kiukweli wapenzi wasikilizaji nilichukia kuwa na umbo na sura ya kuwavutia wanaume.
Nikiwa kwenye mawazo mda huo huo mkuu wetu alikuwa akiingia kituoni na alipita sehemu niliyokuwa nimesimama na kuniangalia pasipo kuzungumza chochote ata nilipompatia salama hakuipokea kabisa.
Sikutaka kuhangaika nae bali niliamua kwenda kwenye ofisi yangu ila nikiwa njiani nilisikia sauti ikiniongelesha kwa nyuma na ilikuwa sauti ya Afande Davi.
"Huu mwaka utaisoma namba mpaka utaitoa tu K yako kwa mkuu siulininyima mimi" aliongea na kunipita sehemu niliyokuwa nimesimama.
Baada ya Afande Davi kuniambia vile nilianza kuhisi huenda yeye ndiye anayempa habari zangu mkuu na ndiyo sababu inayomfanya asiache kunifatilia. sikuwa na jibu lolote lile na baadae niliamua kwenda kuendelea na kazi zingine.
Nakumbuka siku hiyo mda wa kazi uliisha bira kupata usumbufu wowote ule kutoka kwa mkuu wangu na siku hiyo kidogo moyo wangu ulikuwa na amani ata Cyborg alivyorudi nyumbani alinikuta nikiwa kwenye tabasamu la kimalaika kwenye uso wangu.
Mda wa kulala ulifika na kama ilivyokawaida ya Cyborg hakuwahi kuuchoka mwili wangu na usiku huo alinizagamua kisawa sawa na tukiwa kwenye mizagamuo simu yangu iliita na huwa sizimi simu usiku hiyo ni kutokana na sheria ya kituo chetu ya kutokuzima simu usiku.
Nilipigiwa mara kadhaa lakini Cyborg hakutaka kunipa nafasi ya kwenda kuipokea zaidi ya sisi kuendelea kufanya mapenzi.
Baada ya Cyborg kumaliza kunizagamu ndipo nilipopata nafasi ya kwenda kushika simu yangu. Nilikutana na missed call kutoka kwa Afande Neema, Afande Davi pamoja na mkuu mwenyewe.
Nilijiuliza imekuwaje mpaka wanitafute wote watatu tena usiku kiasi hicho hivyo niliamua kumtafuta Afande Neema kwa ajili ya kumuuliza.
Afande Neema aliniambia kuwa Mkuu alikuwa na shida na mimi usiku huo na nilitakiwa kwenda kazini mida hiyo kwenye operation ya usiku.
Niliona kama wanataka kunitania japo sheria ilikuwa inakataza kuzima simu ila niliamua kuizima nakuendelea kuuchapa usingizi nikiwa na Cyborg wangu.
Asubuhi na mapema ilifika, nilichukua simu yangu na kuiwasha.
Nilikutana na jumbe mbali mbali huku baadhi zikitoka kwa mkuu mwenyewe na ujumbe mmoja ulikuwa ukinitaka niwahi asubuhi na mapema nikareport kwenye ofisi ya mkuu wangu wa kazi.
Sikutaka kuwahi kama alivyoniambia kwani na mimi nilikuwa nimeshachoka usumbufu wa mkuu wangu.
Nilifika mida ya saa mbili na nilimkuta tayari akiwa ndani ya ofisi yake hivyo niliamua kuingia ndani ya ofisi yake kwa ajili ya kumsikiliza.
"Naona una kiburi sana wewe binti, nilikutumia ujumbe wa kuwahi mapema ila mimi mimefika kabra yako" mkuu aliongea bira ata kutoa salamu kwangu.
"Nilichelewa kuona ujumbe wako mkuu" Baada ya kumjibu aliongea.
"Kama ujumbe ulichelewa kuuona simu ulizokuwa ukipigiwa jana usiku ulikuwa huzioni au ulijifanya umelala huku utaratibu wa kazi unaujua kuwa mda wowote unatakiwa uwe tayari kupokea simu!?" Aliongea kwa mara nyingine huku akiwa na hasira.
"Nimeshasema ilikuwa bahati mbaya mkuu" nilijikuta na mimi nikimjibu kwa dharau baada ya kuona hataki kunielewa ndipo nilipomkasilisha zaidi.
"Unajifanya una kiburi basi kuanzia leo utakuwa kwenye operation za usiku mpaka pale akili zitakapo kukaa sawa" aliongea bira kuniangalia usoni huku akiangalia pembeni.
"Mkuu!!" Nilimwita kwa mshangao sababu sikutegemea kama atachukua maamuzi hayo.
"Nimeshamaliza na kama unataka nibadilishe maamuzi nipe utamu nikuzagamue humu humu kwenye ofisi yangu"
Baada ya yeye kuongea vile niliamua kuondoka huku nikiwa na mawazo kwani asikari wengi tulikuwa hatupendi kupangiwa usiku hasa kwenye operation za kuzunguka.
Nilifika kwenye ofisi yangu na kumkuta Afande Neema na mwonekano niliokuwa nao alijua moja kwa moja kuna tatizo linalonisibu.
"Angel kuna tatizo gani mbona uko hivyo!?" Afande Neema aliniuliza.
"Mkuu kanipangia kwenye operation za usiku"
"Ndio amefikia huko kisa umekataa kumuonjesha penzi lako!?" Afande Neema aliongea na kunipa pole na baadae aliamua kunipa ushauri ulionishangaza.
Afande Neema alinishauri nikubali kufanya mapenzi na Mkuu wetu wa kazi ili niishi kwa amani nakufanya kazi kwa amani lakini sikukubaliana na ushauri wake kwani niliamini ningezidi kuongeza matatizo zaidi hasa Cyborg angegundua.
Siku hiyo nilirudi mapema nyumbani kwa ajili ya kujiandaa ili ikifika jioni ya siku hiyo niende kwenye operation.
Cyborg alirudi nyumbani mida ya jioni na kunikuta nikijiandaa kwenda kazini kitu kilichomshangaza nakuamua kuniuliza.
"Malaika unenda wapi tena!?"
"Naenda kazini, kisa nilikataa kufanya mapenzi na mkuu kaamua kunibadilishia majukumu" nilimjibu na Cyborg alikuwa kama hajasikia vizuri kile nilichokizungumza, aliniuliza zaidi ya mara mbili lakini nilimjibu kuwa naenda kazini.
"Temu hii sitaki kuona unanizuia tena" Cyborg aliongea na kuondoka bira kuniambia ni wapi anapoenda.
Nilichokuwa nikikisikia kwake kipindi anaondoka nikutukana matusi ya kila aina kwa hasira alizokuwa nazo Cyborg....ITAENDELEA
Inapatikana kwa Tsh 1000 tu.
Namba za malipo.????????????????
0613083801 HALOPESA Jina John Bugumba.
0755271203 M-pesa Jina John Bugumba..