????
????MKE WA MGANGA 11
Asubuhi na mapema niliamka nikiwa najisikia hovyo hovyo, na niliamka mapema kwa sababu nilikuwa nimepigiwa simu na Ba Fetina kuna sehemu alitaka niende nikapige kazi fulani, Ba Fetina alinifaa sana.
Tena siku ile ilikuwa ni siku ya jumamosi, hivyo nilikuwa naenda kupata pesa za kula wikiendi kabisa.
Nilpiga mswaki wangu vizuri, nikanyesha mboga halafu nikatoka na kwenda kwa Ba Fetina. Nilipofika kwa Ba Fetina, nilimkuta ndo anakunywa chai yeye na mkewe pale sebuleni, Fetina alikuwa nje anapiga mswaki
“Za asubuhi jamani” niliwatakia hali
“Salama kabisa, vipi huko kwenu?” mama Fetina alisema na kuinuka akatoka nje mimi nikaketi chini pale
“Vipi dogo”
“Safi broo”
Baada ya sekunde chache, ma Fetina alirudi akiwa ameshikilia Kikombe cha mpira na kunikabidhi ili na mimi niweze kunywa chai, kwa kweli sikusita maana nilikuwa na uhitaji nao, alinipa vipande viwili vya mkate “Asante shem” nilimuambia
“Unywe fasta mzee tusepe” alisema Ba Fetina yeye akiwa anamalizia kikombe chake cha chai.
Nilikazana vizuri, nikamaliza na kuinuka wote tukaondoka kuelekea jobu
“Vipi mke wa mganga bado mnaendelea?” aliniuliza Ba Fetina
“Daaaaah broo aisee, siwezi tena, ungejua yaliyonikuta usingeamini
“Hhhahaa, mbona tunajua wote mtaani?”
“Nini kwani?”
“Nasikia mganga alikuotesha mashine usoni”
“Daaaaaaah, nani alikuambia?” nilihuzunika maana nilijua ni siri yangu mimi, Zuhura na Mangi
“Hahaha, Mangi anatangaza mzee” niliposikia hivyo, ndo niligundua kuwa hakuna siri ya watu wawili, nilijikatia tamaa na marafiki wasio na maana
Ilibidi niwe mpole nikamueleza kila kitu kilichokuwa kimetokea, lakini kwa bahati mbaya simu ya Ba Fetina iliita tukiwa tunaendelea na safari yetu, nikaona amesita kidogo na kuipokea
“Halo bosi” aliongea “Ndio, niko njiani na dogo…….et…….ooooh….haya bana kwa hiyo lini sasa…………….ok powa” alisema na kukata simu, ndipo akanigeukia na kunitazama kwa uso uliokata tamaa tayari
“Vipi?” nilimuuliza
“Kasema eti, vifaa hajaweza kuchukua hivyo tutulie mpaka jumatatu”
“Jumatatu?” niliuliza
“Ndio boss turudi tu” aliniambia nikamaindi kweli kweli maana hata home nilikuwa sina hamu ya kwenda
Tulirudi tu maana hatukuwa na la kufanya, mimi nilielekea nyumbani kwangu, nikaenda kutulia, lakini kichwani jambo ambalo lilikuwa likinisumbua kweli kweli, ni lile suala zima la kusikia kwamba mangi anatangaza kwamba mimi nimeadabishwa na mganga
Nilichukuwa simu yangu na kumuandika sms kwa hasira “Broo, sio vizuri kutangaza ile ishu iliyonitokea, sikiliza mimi bana sitaki kusikia tena maana ni watu kibao mtaani wameniambia” nilimtuma ujumbe niliokuwa nimeshauweka chumvi tayari lakini nilisubiri hata ajibu, wala hakujibu, hivyo nikatulia zangu kimya
Siku ile niliona bora nifue nguo zangu, na nilifua kweli mpaka mambo yakawa vizuri hivyo nikaanza kupika
Baada ya kupika nilianza kula chakula changu ambacho kilikuwa ni wali na kachumbari ya maana juu, sasa nikiwa nakula, simu yangu iliita nikaitoa mfukoni, nikakuta ni namba mpya, ikabidi niipokee
“Haloo” sauti ilisikika upande wa pili
“Hallo vipi ndugu”
“Salama kabisa, mimi ni Yusufu, ninaongea” aliniambia huyo mtu
“Yusufu?” nilimuuliza kwa mshangao maana nilikuwa sijakumbuka ni nani
“Yusufu Mwakisambwe yule tuliyekutana jana usiku nikiwa nimetoka kanisani”
“Ooooh ok nimekupata nambie kaka” nilimuambia
“Nimeweza kuongea na mchungaji wangu, Bernard Francis nikamuambia kwamba kuna kijana, anayetaka kufunguliwa”
“Ndio”
“Sasa ameniambia, nikupe taarifa kwamba kesho unatakiwa uje kanisani saa tatu asubuhi ili kuhakikisha kwamba anakuokoa, hivyo cha muhimu ni kwamba unatakiwa ujiandae ili usikose”
“Sawa kaka, nitafika, lakini sipajui”
“Ok sawa utanipitia nyumbani saa tatu asubuhi halafu tutaondoka wote, si unapakumbuka pale ninapoishi”
“Ndio mtumishi”
“Ok, nikutakie wakati mwema na Mungu akutangulie”
“Amina kaka”
Yule kijana alikata simu yake mimi nikabaki na mawazo, nikiwaza sijui niende, au niache, niende au niache lakini sikupata jibu wakati ule nahisi shetani alikuwa amenitawala sana katika ubongo
****
Mpaka kesho yake ilipofika nilikuwa sijapata kumuona Zuhura, wala SMS alikuwa hajanitumia, nikajua lazima atakuwa ameshakata tamaa na mimi kabisa, hivyo nikaamka vizuri, kama kawaida nikanyesha michicha yangu na kupiga mswaki, halafu nikaanza kujishauri kwamba niende kanisani au nisiende
Niliketi kwenye kiti, mawazo tele nikiwaza, lakini nilipokumbuka lile tukio la kuwekewa uume kwenye paji la uso kwa kweli nilijipata niko bafuni naoga zangu
Nilioga nikamaliza, halafu nikarudi ndani nikavaa tisheti na jeans halafu nikachana nywele na kupaka mafuta.
Nilikuwa sinaga hata biblia wala chochote cha kanisani, nilichukua pesa yangu ya akiba yote, ilikuwa ni 7000, nikajisemea kwamba nikifika kanisani nitoe sadaka ya jero halafu hiyo itakayobaki nije kununulia unga na viungo vingine, niwe najilia ugali wangu taratibu
Nilitoka na kufunga mlango wangu vizuri nikatembea kuelekea kwa kijana Yusufu. Moyo wangu kidogo ulikuwa hautaki sana kwenda kanisani, tena kwa nguo nilizokuwa nimevaa nilihisi ninamkosea Mungu kwa kweli
Nilifika mpaka kwa Yusufu baada ya dakika kumi, nilita na kwenda mpaka nyumbani, nikamkuta akivalishwa viatu na mkewe, halafu mke mwenyewe alikuwa ni mzuri vibaya mno,
“Habari za asubuhi jamani”
“Salama karibu” alisema broo yule na kumgeukia mkewe “Huyu ndo yule Yusufu niliyekuambia atakuja kanisani leo” alimuambia mimi nikatabasamu
“Oooh kumbe ndo huyu, Bwana Yesu asifiwe kaka” aliniambia na kuinuka baada ya kumvalisha viatu Yusufu
“Milele Amina” nilisema kwa furaha kidogo lakini nilikuwa najilazimisha kwa kweli haikutoka moyoni
“Karibu sana kwa kweli kaka” aliniambia yule mwanamke halafu akaingia ndani
“Mke wangu sisi tunatangulia kwanza wewe utakuja basi maana si unajua tena?” aliongea jamaa
“Sawa mume wangu nitawakuta”
“Sawa”
Yusufu alichukua simu yake na biblia pamoja na kitabu cha Tenzi za Rohoni halafu tukaondoka moja kwa moja kuelekea kanisani
“Kumbe una mke broo” nilimuuliza tukiwa tunatembea
“Yaaah, ninaye, bwana, nimempata huko huko kanisani, hakika ni mke mwema kwangu, ninamshukuru Mungu tunaelewana
“Oooh yeah, safi kabisa broo, kumbe nikikaa kanisani ninaweza pata mke mzuri”
“Wapo wengi ila ni kumuomba Mungu ili akupe wa kuendana na wewe kijana wangu sawa?”
“Swa kaka” aliniambia nikaona safi kabisa niende huko huko nitapata mke mwema
Safari iliendelea baada ya nusu saa tulikuwa kanisani, kakanisa kao kalikuwa kakishikwambi yaani ka kawaida sana
Kalikuwa ni miti iliyosimmamishwa vizuri ikazungushiwa maturubai ya blue juu kwenye paa pamoja na pembeni, lakini ndani waliweka sakafu nyekundu fulani hivi.
Niliitazama kwa mbele iliandikwa HIMC halafu chini pakafuatia na kirefu cha herufi hizo Heaven Intelligence Mission Center, nilisoma halafu nikaelekezwa sehemu ya kuketi nikaketi .
Hakika japo kanisa lile lilikuwa dogo na masikini kwa vitu vyote ila kiukweli kulikuwa na vitu viwili vizuri, Cha kwanza kulikuwa na muziki wa hatari, uliovutia kucheza na kuruka kila nilipousikia, halafu cha pili ulikuwepo kulikwa na wasichana wazuri na waliovaa kwa heshima sketi mpaka pale mguuni, nilitazma halafu nikafurahi kwa kweli
Walikuwa pale mbele wakiimba na kusifu, watu waliruka na kumsifu Mungu kitu ambacho katoliki hakikuwepo, nilisikiliza kwa makini nikajikuta na mimi nimeinjoy ule muziki, tulianza kuimba kwa sifa za ukweli bila kujali
Baada ya kusifu, mchungaji alipokea maiki na kuomba kwa muda mrefu, huku akimfokea Mungu wake sijui kwa kweli maana sio kwa kufoka kule, mi nilijikuta nachora ishara ya msalaba kitu ambacho hakikuwepo ulokoleni
Baada ya maombi yale, nilisikia mchungaji amenza “Bwana asifiwe”
“Ameeeeeeeen” kelele zilisikia ni mimi peke yangu nilikuwa nimejisahau na kusema “Milele amina” yaani hadi nilijishtuka na kuketi
“Karibuni sana wana HIMC, tumshukuru na Kumsifu na kumuabudu Mungu wetu, AME”
“Ameen”
“Basi nimesimama hapa mbele yenu, niwasomee matangazo ya Kanisa, ame…”
“Ameeeeni” waliitikia watu
Mchungaji alisoma matangazo haraka haraka hadi akafika mwisho, baada ya kumaliza tu nikasikia
“Tunawakaribisha wageni wote waliofikia kuabudu pamoja nasi, kama kuna mtu yeyote ambaye ni mgeni leo hapa kanisani kwetu naomba asimame na ajitambulishe tafadhali” aliongea mchungaji, nikaona mwanamke mmoja ameinuka na kujimbulisha
Wakati anajitambulisha, Yusufu alikuja karibu yangu na kuniambia na mimi nisimame, nikainuka
“Tumsifu Yesu krist…..oooh Bwana Yesu Asifiwe” niliongea baada ya kuona naleta ukatoliki
“Ameen”
“Kwa Majina naitwa Festo Dodo,nimetokea katoliki, leo nimeamua kujiunga na nyie tumuabudu Mungu”
“Umeokoka?” Mchungaji aliuliza “Au unataka uokoke”
“Mchungaji, nataka niokoke”
“Karibu sana…..tutamalizana mwishoni mwa ibada” aliongea nikaketi “Ehee mwingine”
“Bwana asifiwe” Nilisikia sauti upande wa nyuma, na ilikuwa sauti ambayo sio ngeni kwangu, nikageuza shingo kutazama
Nilistaajabu baada ya kukuta ni Zuhura anajitambulisha pale kanisani, nibaki nimeduwaa……na kujiuliza amekuja kanisani kwa ajili gani…….ITAENDELEA????MKE WA MGANGA 12
Tulipoishia
“Karibu sana…..tutamalizana mwishoni mwa ibada” aliongea nikaketi “Ehee mwingine”
“Bwana asifiwe” Nilisikia sauti upande wa nyuma, na ilikuwa sauti ambayo sio ngeni kwangu, nikageuza shingo kutazama
Nilistaajabu baada ya kukuta ni Zuhura anajitambulisha pale kanisani, nibaki nimeduwaa……na kujiuliza amekuja kanisani kwa ajili gani…
Endelea
“Kwa majina naitwa Zuhura Salum, mimi ni muislam, nimeamua kuungana na kanisa hili kuanzia leo rasmi, ili kumtumikia Mungu” alisema Zuhura, nikashangaa sana
“Ameeeeeeeeeen” Watu walipiga kelele, maana walokole sio kwa kupenda wenzao wafuate imani yao, unaambiwa kuna watu waliruka ruka kabisa huku vigelegele vikisambaa kila kona ya kanisa mpaka nje
Mimi nilibaki nimeduwaa “Ina maana amenifuata mimi au vipi” nilijiuliza
Wengine waliendelea kujitambulisha, lakini Mimi na Zuhura ndo tulitisha zaidi na mchungaji alisema tumuone baada ya ibada ili tuweze kuongea naye
Tukio moja ambalo nililisikia kwa mchungaji likanishangaza, ni kuhusiana na suala zima la kutoa sadaka, unaambiwa mchungaji alisimama na kikapu kabisa cha sadaka ukienda kuweka anakuangalia hivi,
Sasa mimi niliogopa kupeleka mia tano kama nilivyokuwa nimepanga, hivyo niliongeza ikawa buku na kwenda kuiweka pale.
Mwishoni kabisa wakati wa kufunga ibada mchungaji alituita pale mbele ya kanisa mimi na Zuhura akawa anatuuliza uliza maswali, kama tuko tayari kuokoka na kubatizwa kwa maji mengi. Wote tukakubali, lakini tulijifanya kama vile hatufahamiani kumbe tunafahamiana vizuri na tulishawahi kuzini mara kibao.
Watu wote walikuwa wanasikiliza sisi na walitaka tujue kama sisi tungekubali,
“Mama Esta namuomba tafadhali” Mchungaji aliongea
Niliona mama Esta amekuja haraka, alikuwa mnene mnene, alimsogelea mchungaji na pastor alimnong’oneza kwa sekunde chache, yule mama akatoka nje, na kurudi ndani akiwa ameshikilia biblia mbili mpya kabisa akamkabidhi
“Sasa ndugu zetu, nyie mliokubali kumpokea kristo, sisi kama kanisa la HIMC tuna utaratibu, kama mgeni ataamua kuungana nasi, lazima aweze kupewa biblia yake mpya ili awe anatembea nayo karibu kwa ulinzi wa bwana” alisema mchungaji mimi nikatikisa kichwa kwa furaha halafu akatukabidhi kila mmoja ya kwake
“Biblia hizi, kila moja ni shilingi 15000, hivyo kuanzia sasa utatoa pesa yako kidogo au kama unayo yote uweze kuondoka nayo”
“Je kama hauna mchungaji” niliuliza kwa mshangao kanisa zima likaangua kicheko mpaka mchungaji naye alicheka
“Kijana, hata kama una pesa kidogo, utaitoa na utapunguza deni, ili siku nyingine uweze kumalizia” alisema na kunitazama usoni “Mfano wewenikikuangalia, unaonekana una shilingi 6000 mfukoni mwako” alisema, ikabidi nishtuke kwanza maana sikujua kwamba amefahamia wapi kwamba mimi nina pesa zile yaani hakukosea hata kidogo
“Ndio mchungaji” niliiitikia kwa nidhamu”
“Sasa sikiliza, utaitoa hiyo halafu utaenda na siku nyingine utamalizia.” Alisema na kumgeukia yule binti Zuhura “Hee, huyu naona hana tatizo yeye atatoa hela yote najua” alisema mchungaji nikaona binti ametabasamu na kutikisa kichwa
“Halafu mnaendana kweli, mlivyosimama hapa mbele utadhani mnafunga harusi” alitania watu wote wakacheka
Hata hivyo sikuweza kuleta ubishi, nilijikuta natoa pesa zote nilizokuwa nazo na kumkabidhi mchungaji, halafu nikaondoka na biblia yangu, hafu bado nilikuwa nina deni lililobaki shilingi 9000, nilipata stress zaidi nikakata tamaa na nikajuta kwenda kanisani pale
Hata hivyo baada ya ibada tulienda katika ofisi ya mchungaji tukiwa mimi na Zuhura, mchungaji hakuniongelesha sana alikuwa akibezi sana na Zuhura
“Kwa kuwa wewe ni mkristo mwenzetu, haina shida unaweza kwenda nibaki na huyu binti muislam nimueleweshe masuala ya kikanisa” aliniambia mchungaji nikasema kweli ni vizuri hivyo nikatoka zangu nje
Nilipofika nje, nilikumbuka maneno watu wanayosema kwamba siku hizi wachungaji wanakula kondoo, hivyo nikajikuta nimesimama na kusita, nikajua lazima mchungaji ameshauona uzuri wa Zuhura kwa kweli, nilisogea dirishani na kuanza kusikilizia nikasikia wakipiga story
“Hivi wewe ulisema unaitwa nani tena?” Aliuliza mchungaji
“Zuhura mtumishi”
“Ok, sasa inabidi ubatizwe upewe jina la kikristo, vipi umeshaolewa?”
“Ndio mtumishi, lakini nimepewa talaka na mume wangu kuna vitu tulishindwa kuelewana”
“Well, nimekuelewa sana, lakini usijali, hapa kanisani kwetu utapata mume haraka iwezekananavyo, hata ukawa mke wa mchungaji si inafaa” alisema mchungaji huku akitoa kicheko fulani hivi cha kimahaba na chenye aibu ya kutokujiamini kile alichokuwa anakiongea kwa muumini wa kanisa lake
“hahahaaa….inafaa mchungaji” alisema Zuhura
Japo nilikuwa nimepanga kumuacha lakini kiukweli nilisikia maumivu makali kila alipokuwa akimjibu vizuri yule mchungaji
“Wewe ni mzuri Zuhura” alisema mchungaji,
“Asante jamani, wewe kwani mchungaji hujaoa?” alisema Zuhura, nikajua baaaasi tayari ameshajirahisisha
“Weee, bado, nioe saa ngapi……emb bana usije ukakutwa huku na watu wakaanza kutuhisi vibaya, shika niandikie namba yako hapo tutachati” mchungaji alisema
Kimya kilitawala ndani ya sekunde chache, nikajua anaandika namba halafu baadaye nikasikia sauti “Hii hapa mchungaji” alisema Zuhura
“Ok basi tutawasiliana vizuri tu, halafu hela yako ya biblia hii hapa, wewe umepewa bure” alisema mchungaji, nikamaindi kweli kweli, na kanisa nikalichukia nikatoka pale dirishani na kwenda mbele kidogo nikimsubiri
Niliona wametoka ofisini wakicheka cheka, ndo nikazidi kukasirika kabisa, nililiona kama vile lichungaji ni lihuni sana, hata hivyo nilimsubiri binti
Nashangaa, siku ile nilikuwa nimepanga sitaki mazoea na Zuhura kwa sababu alisababisha mimi kudhalilika lakini kiukweli, nilikuwa namuonea wivu kila nilipohisi mtu amemtamani, niliona niondoke nisepe lakini niliona ameniwahi na kuniita
“Festo” Aliniita nikasimama kwa hasira
“Usiniite ite” nilijikuta nikifoka kwa sababu ya wivu niliokuwa nimeupata pale alipokuwa anamjibu mchungaji vizuri
“Nini sasa mbona unagomba?” aliniuliza ikabidi nijifanye sijamaindi lakini kichwani nilitamani sana asimkubalie mchungaji
“Mi sijagomba bhana….” Niliongea na kusogea mbele nikitembea kwa mwendo wa haraka lakini uvumilivu ukanishinda “Sasa umempa namba ya nini mchungaji?” nilimuuliza
“Hahaha,,,,,,sijampa namba bana” aliniambia
“unafikiri mimi ni mjinga ee, sio mjinga, nimeshuhudia ujinga wenu wote mliokuwa mnaongea” nilijikuta naongea kwa hasira
“Haaaah, sasa sikiliza Festo, wewe umeshaniambia kwamba hunitaki, sasa wivu wa nini kwa mwanaume ambaye ananitaka” binti aliniambia nikajishtukia
“Hamna bhana, mimi nafsi inaniuma halafu wewe daaaah baasi tu endelea naye kama umemkubali basi” niliongea kwa hasira na kutembea kasi lakini nikasikia amecheka kwa nyuma yangu
“hahahaaa….. Festo sikiliza” alinambia nikajikuta nimemgeukia….moyo wangu ulitamani hata aniambie kwamba alikuwa ameniona ndo maana akafanya makusudi
“Nini sasa” nilimuuliza kama vile namfokea
“hahaha,, nishajua kitu, wewe unanipenda Festo ndo maana unakasirika mimi nikiwa karibu na mwanaume mwingine, niambie tu ukweli tuendelee au?” aliniuliza nikawa nimebaki nashindwa kumjibu kwamba tuendelee au tusiendelee
“Hamna, mimi bhana sasa kwani wewe unampenda yule mchungaji?” nilimuuliza baada ya kukosa jibu. Mara ikapita pikipiki na kusimama anataka kumpa lift, ndo nikachukia zaidi,
“Niondoke na pikipiki, au nibaki tuende kwa mguu?” aliniuliza yule binti nikabaki nimeduwaa nashindwa kumjibu sasa akaisogelea pikipiki na kutaka kupanda nikajikuta nimeropoka
“Kwa hiyo unaenda kwa pikipiki mimi unaniacha peke yangu nitembee mpaka kule?” nilimuuliza akacheka, na kushuka kwenye pikipiki
“Tangulia, acha mimi nije kwa mguu” alimwambia dereva bodaboda, ndo nafsi yangu ikatuli,
“Hivi Zuhura wewe unakaa wapi lakini mbona mimi sikuelewi, na unafanya mishe gani jamani?” nilimuuliza mimi
“Samahani usiniulize hayo, mimi ninataka jibu, nataka uniambie tuendelee au nimkubalie mchungaji?? Alisema binti na kurudi kule tulipotokea “utanijibu kwenye simu” aliongea akienda mbio mimi sijui hata alikuwa anaenda wapi kwa kweli.
Kichwani nilibaki najiuliza maswali sana kwamba niendelee au nisiendelee, lakini moyo ulinienda mbio nkaanza kujihisi kwamba nimeshampenda
Niliondoka nikiwa na mawazo mawili, moja hilo linalohusiana na kumkubalia au kumtalia Zuhura, na lingine lililokuwa likiniumiza ubongo ni suala zima la pesa, nilikuwa sina hata mia, sometimes nilijutak kwenda kanisani maana nilikuwa nimeshapoteza pesa zote nilizokuwa nazo, daaah……..NIMJIBUJE SASA? HAFU PIA NIKALE NINI?????MKE WA MGANGA 13
Baada ya dakika 20 nilikuwa nimefika nyumbani, njaa iliniandama sana, nyumbani nilikuwa sina hata mia, nilitupa biblia kwenye kochi halafu mimi nikaketi nikaanza kukumbuka tukio namna ambavyo mchungaji amenitoa ile buku sita kilaini, niliwaza kwamba amefunuliwa, au ndo wale wale wanaotumia uchawi kujifanya wana miujiza
Nilianza kujicheka kwa kweli, hata sikuamini kwamba mimi ningekamatika kirahisi hivyo, kichwani nilijisemea kwamba bora hata nisingechukua zile pesa zote, nilikaa na kuanza kuwaza, huku wazo likinijia kwamba nimjibuje Zuhura hata aniletee vitu vya kupika kama alivyofanya siku chache zilizopita, nilipata wazo la kumuambia kwamba tuendelee na mahaba yetu.
Nilitoa simu mfukoni nikaandika text kwamba “Zuhura UNAJUA MIMI NINAVYOKUPENDA ILA NAOGOPA SANA, LAKINI KIUKWELI NATAMANI TUENDELEE” ile nata kubonyeza send hivi, nikasika vuuup......kiumbe cha ajabu kimetuwa kwenye kochi la mbele yangu, halafu kinanitazama na meno marefu
“Shindwa” nilisema kwa uoga na kuinuka
“Shindwa mwenyewe…..nimetumwa hapa na kamulenga ujumbe ni kwamba Achana na Zuhura, bado anampenda,,,,, usithubutu kutuma huo ujumbe uliodhani ni wa maana sana kwake” kilitamka kumbe kile, tena sauti yake ilikuwa kama ya katuni za Disney nikatulia.
Nilichukua Biblia na kukinyooshea “katika Jina la Yesu, ninamtumia huo ujumbe na hautafanya chochote” nilisema kwa hisia nikijua lazima Mungu atanisaidia wasiweze kunidhuru
Kweli nilishangaa kiumbe kile kimedondoka chini na kuanza kugaragaza chini, nikajua yes Mungu yupo, baada ya kuona hivyo niliongeza mbwembwe za Mwakasege kabisa
“Ndio…….ondoka pepo……usijaribu kututawala katika jinia la Yesu wewe kiumbe huna mamlaka Fire fire fieeeeee….toka tokaaaaaaa” nilikemea kama vile mchungaji kweli, nikaona kiumbe kile kimelegea kabisa kama vile kinakufa.
Nilitulia na kukitazama kikiwa kimelala chini, lakini nilisikia kimecheka kwa nguvu hahahahaaaa…..nikaishiwa pozi nikabaki nnakishangaa huku bible nimeinyoosha mbele kidogo, niliona kimeinuka na kunirukia mkononi kikaninyang’anya ile bible na kuning’ata kidogo ili nijue tu kwamba sikiweze
“Mamaaaaa” nilipiga kelele kweli maana sio maumivu ya kuumwa na kile kiumbe kilichokuwa na meno kama sindano yaani yalikuwa membamba hasa, nikajikuta nimeketi bila kutaraji huku bado kikiwa kinanicheka kabisa
“hii si ndo inakupa kiburi” kiliongea kikiwa kinanyooshea ile biblia halafu kiume kikatoweka na bible yangu ambayo hata kulipia pesa ya manunuzi sijaimaliza
“Weweee, leta baibo yangu” nilifokea kitu ambacho nilikuwa sikioni kwa kweli
Maumivu ya mkono yalinizidi kwa kweli,, nilishangaa mkono umevimba yaani baada ya nusu saa upande wa kushoto wote ulikuwa umeshapooza, maana ndio mkono wa kushoto ulikuwa umeumwa na kile kiumbe, halafu mbaya zaidi nilikuwa na njaa hatari
Ilibidi nijikaze, nikachukua simu yangu na kumuandikia sms, Baba Fetina “BROO NIMEPATA MAJANGA MAGUMU SANA KUNA KIUMBE CHA AJABU KIMENING’ATA YAANI MKONO UMEVIMBA SANA, SIWEZI KUFANYA KITU CHOCHOTE NIMEPOOZA UPANDE WA KUSHOTO HALAFU NINA NJAA, NAOMBA UJE ASEE” nilituma message ile, niilikuwa nikizidi kuumia kwa shida na matatizo magumu zaidi
Nilisubiri kujibiwa lakini ilichukua zaidi ya dakika kumi bila majibu yoyote, japo mangi alikuwa mmbea lakini alikuwa akinisaidia matatizo hivyo nilimforwadia ile message, nikaona haitoshi nikamfowadia na Zuu pia.
Niliendelea kusubiri ndani ya dakika chache lakini hakuna mtu aliyenijibu….nilikata tamaa nikamtumia sms Yusufu kumuambia yaliyonikuta lakini kabla sijamaliza kumuelezea, nilisikia sauti ya pikipiki nje, nikajua mangi ndo amekuja, niliendelea kuketi pale nisubiri aje. Mara nilisikia pikipiki imeondoka, nkajua sio yeye
Kiukweli nilishtuka sana niliposikia hodiii…..halafu sauti ilikuwa ya Zuhura na alikuwa akija kwa kasi ya ajabu akitaka kuja kuniona, “wewe Festo” alisema na kusogea mlangoni ikabidi niitike kwa taabu “Eeeh vipi mbona message yako sijaielewa” alisema na kuingia ndani huku akiwa ameshikilia mfuko mkono wa kushoto na wa kulia alishikilia kontena
Ile kuniona tu hivi, nikaona ameshtuka sana na hakuamini kile kilichokuwa kinaendelea juu yangu “Astagfrullah” alitamka kwa mshtuko “Hii ni gogli imekutokea” aliniambia nikashindwa kuelewa anamaanisha nini
“Daaah” nilisema kwa maumivu nikijaribu kujigeuza
“Tulia hivyo hivyo, si inauma sana ee” alisema nak uweka vile vitu kwenye kiti halafu akanisogelea na kuugusa gusa mkono
“Sana Zuhura, bora hata nisingekujua, nimeteseka sana” nilimuambia kwa hasira maana yeye ndo chanzo cha matatizo yote
Haikupita sekunde nyingi nikasikia Hodiii kuna mtu mwingine amekuja “Karibuuu” Zuhura alisema
“Samahani hapa ndipo wa Festo” alisema mtu huyo aliyekuwa akiita, nikaona Zuhura ameinuka na kutoka nje kuwaangalia, halafu akashtuka kidogo.
“Ndio,.,….jamani karibuni” alisema
“Asante sana” zilikuwa sauti mbili kutoka nje halafu wakasogea pale karibu
Kiukweli sikuamini, alikuwa ni Pastor Bernard Francis pamoja na Yusufu wamekuja kuniona “Karibuni ndani” niliongea kwa shida maana nilikuwa naumwa sio mchezo nakuambia
Waliingia ndani nikaona Yusufu ameshtuka lakini mchungaji yeye hata hakujali akafumba macho yake na kuvuta hisi “Hiiiiis” alisema kichungaji “Jiiiiiisus” alitamka mara moja, nikajisikia nimeshtuka na kusisimka mwili mzima halafu akaanza kupiga maombi ya hali ya juu pale
Wote walizunguka zunguka sebuleni huku wakiomba haswa, mimi nilifumba macho tu, nikaosikia amenikaribia na kunishika ule mkono wa kushotoa “Tooooka……..Tokaaaaa……Nakuamuru katika jina la Yesu Toooookaaaa” Alisema kwa nguvu na kutulia kimya halafu nikasikia mkono umekuwa mwepesi, nikafungua macho, kujitazama hivi, mimi ni mzima wa afya sikuamini
“Pasta” niliongea huku machozi yakinitoka
“Usiniite mimi, muite Mungu wako aliyekuwa juu” alisema kwa hisia
“Daaah, namshukuru Mungu sana jamani daah asante” alisema
“imani yako ndogo hivi vitu ndo maana vinakuandama, sikiliza embu fumba macho tukuombee wewe” alisema mchungaji na mimi nikamtii nikafumba macho yangu
Alianza kuomba kwa muda wa dakika moja tu, akamaliza na kusema amen, halafu wote tukafungua macho
“Kijana, kuna kitu ambacho sio sahihi ulikitupa chooni kwako ndicho kinakaribisha nguvu za giza katika nyumba hii, sasa tunataka tukitoe kabisa ndani ya nyumba hii ili ukae kwa amani……. Wewe binti embu tuletee maji na ndoo nzima hapo tukamilishe hili tatizo” alisema mchungaji nikaona Zuhura chap ameruka na kutoka nje.
Baada ya dakika mbili alirudi na ndoo iliyokuwa imejaa maji kisha akaweka chini sakafuni pale na kuanza mchungaji alianza kuyabariki yale maji kama dakika tano hivi, kwenye maombi yake nilielewa kwamba alikuwa anayabadili kuwa damu ya Yesu, ndipo alipomaliza na kuniagiza niyapeleke mpaka chooni nikayamwage halafu mwengine nirushie rushie ndani na kuzunguka nyumba yangu
Nilifanya kama alivyoniagiza maana kweli chooni nilikuwa nimetupa ile hirizi niliyopewa na mganga kwa ajili ya utajiri, lakini mchungaji aliniambia kwamba nikishafanikiwa kumimina maji, ya upako chooni, basi ujue kwamba itakuwa hiyo hirizi haina kazi.
Nilimaliza nkaona wameniaga “Lakini jumatano jioni usikose kuja kanisani kuna ibada maalum” alisema na kutuacha pale mimi na Zuhura tukiwa tunashangaana
“daaah, Zuhura, nimeteseka leo sitosahau tena, kiukweli mimi na wewe bora tuachane tu” nilimuambia Zuhura nikaona amenywea lakini kiukweli mimi nilikuwa nimeshakata tamaa kabisa ya kuwa naye maana kila mara nikiwa tu karibu yake nilikuwa nikipata tabu
“Sawa Festo, lakini kula basi chakula mimi nimekuletea, halafu nimekuwekea na matunda na mboga mboga za majani” alisema mtoto wa kike na kuinuka kwa huzuni akatoka nje
Kweli alikuwa na fadhila kwangu, maana nilikuwa katika tabu, nikawacheki watu watatu na yeye ndo alikuwa wa kwanza kufika pale na kuonyesha kunijali zaidi “Zuhura” nilijikuta nikimuita naye akageuka kwa surua iliyojaa huzuni
“Abee”
“Asante” nilimuambia maana sikuwa na neno lingine la kimuambia kwa wakati ule
“Sawa Festo byee” aliniambia
Nilibaki natikisa kichwa tu, nafsi ilinisuta lakini sikuwa na la kufanya zaidi ya kumuacha aende zake na mimi aniachie uhuru wangu katika maisha
Kiukweli nilbaki pale nyumbani nikiwa napaogopa sana maana nilihisi ile mizimu itanitokea tena lakini nilitulia huku nikimuomba Mungu
Kiukweli kwa sababu ya tukio lile alilolifanya mchungaji pale nyumbani na kuniponya fasta, nilijikuta ninamuamini na kujua kwamba ni mchungaji mwema kabisa kwangu na mwenye miujiza ya kipekee.
Japokuwa biblia ilikuwa imeshachukuliwa na kiumbe cha ajabu, mimi sikukata tamaa na dini, niliiahidi nafsi yangu kwamba lazima nitaenda kanisani kila mara
Nilichukua chakula nikala vizuri, nikashiba nkachukua na ndizi alizoniletea binti nikala na kujilaza kitandani, mara message, nikafungua simu na kuisoma
“FESTO, NAJUA SA HIVI TUNAELEKEA KUACHANA, LAKINI FESTO KABILA HATUJAACHANA ,NAOMBA KESHO ASUBUHI UNIPE RAHA MARA YA MWISHO NA NAKUAHIDI KWAMBA SITOKUSUMBUA TENA MILELE” ilikuwa SMS kutoka kwa Zuhura, iliyonifanya nitulie, sikutaka mazoea kabisa
Nilisikia imeingia ya pili
“FESTO NATAKA KESHO NIKUNYONYE UBOO KWA MARA YA MWISHO, NIKUPE MAZIWA YANGU UYANYONYE KWA HISIA, UFURAHI, NICHEZEE PUM… ZAKO WAKATI IKIWA NDANI, KAMA HAUTOJALI NA MIMI UNINYONYE NA KUNIINGIZA DOLE LA KATI WAKATI TUKIANDAANA, NITAKUPA RAH ZA MWISHO MPAKA UTAPAGAWA NAJUA HIVYO VIUMBE HAVITATOKEA TENA KAMA PASTA ALIVYOSEMA”
Hii ya pili ilikuwa SMS moja tamu sijawahi kuona, nilivuta picha namna ambavyo tutabiringitana kitandani huku tukinyonyan kila mahali katika mwili, nikajikuta nalowa taratibu kwenye boxer, yule mtoto alinitega tena, nikabaki ninaangalia sehemu moja huku nikitamani nimjibu lakini bado niliogopa…..JAMANI NIMJIBU?????MKE WA MGANGA 14
Tulipoishia
“FESTO NATAKA KESHO NIKUNYONYE UBOO KWA MARA YA MWISHO, NIKUPE MAZIWA YANGU UYANYONYE KWA HISIA, UFURAHI, NICHEZEE PUM… ZAKO WAKATI IKIWA NDANI, KAMA HAUTOJALI NA MIMI UNINYONYE NA KUNIINGIZA DOLE LA KATI WAKATI TUKIANDAANA, NITAKUPA RAH ZA MWISHO MPAKA UTAPAGAWA NAJUA HIVYO VIUMBE HAVITATOKEA TENA KAMA PASTA ALIVYOSEMA”
Hii ya pili ilikuwa SMS moja tamu sijawahi kuona, nilivuta picha namna ambavyo tutabiringitana kitandani huku tukinyonyan kila mahali katika mwili, nikajikuta nalowa taratibu kwenye boxer, yule mtoto alinitega tena, nikabaki ninaangalia sehemu moja huku nikitamani nimjibu lakini bado niliogopa
Endelea
Nilijizuia kweli, nilikuwa sitaki kabisa kumjibu japokuwa nilikuwa nishapandwa na mzuka kutokana na maneno yake, lakini kiukweli sikumjibu, nilijikaza kiume, mimi nilikuwa sitaki matatizo tena aisee
Nilijilaza kitandani akawa amenitumia message kibao za malalamiko lakini nilijizuia vyema, sikutaka mazoea japo nilikuwa nimeshaanza kukole na mauno yale ya kimbulu
Nilisinzia zangu vizuri, japo usiku niilikuwa nikiota ndoto za kutisha, lakini niliweza kuamka nikiwa salama kabisa, lakini sasa shetani alikuja na mbuyu wake ile asubuhi nilipofungua mlango tu hivi, nilikutana na Zuhura akiwa amesimama mlangoni kwangu, ikabidi niogope kwanza
“Shikamoo mume wangu” alinisalimia kwa mahaba nikabaki namshangaa, akanikumbatia na kinsukuma ndani
“Daaah, sasa ndo nini Zuhura lakini” nilisema nikiwa namaindi kile alichokuwa anataka.
Mi nikiwa namaindi, saa nyingi ashaninasa mdomoni na kuninyonya denda haukujalisha nimeswaki au sijaswaki, mkono wake mmoja aliuingiza kwenye bukta yangu ndani na kuanza kupapasa mtarimbo wangu kwa nguvu mpaka nikawa nimenogewa eti
Aliniliaza kitandani na kuishusha bukta yangu japo nilitaka kumzuia lakini kiukweli alivyokuwa ananichezea kwa ulimi katika uboo wangu, nilijikuta napagawa na kumuacha aunyonye
“Nimekuja kufanya kile nilichokuahidi kwenye message” alisema na kuendelea kunipapasa korodani halafu akaendelea kuninyonya sehemu zangu nyeti
“Aaaash baby bhana” nilijikuta nanogea kwa utamu wa mdomo wake jinsi alivyokuwa akininyonya kama vile ananing’ata ng’ata kwa mahaba tele
“Mwaah mwaah mwaah” ilikuwa ni sauti za mdomo wake kila alipokuwa akiuchomoa mdubwasha wangu mdomoni
Nilishangaa amesitisha zoezi hilo, na kwenda sebuleni, akafunga mlango na kurudi chumbani, alipofika hivi , alivua nguo zake zote na kunirukia kifauni, acha tunyonyane denda, nilisahau kwamba ni mke wa mganga
Alihangaika na kifua changu halafu akainpapasa na kuniyonya sehemu za shingoni huku migu yake akiipitisha pembeni mwa kiuno changu, hali iliyofanya uumewangu uwe katika katikati ya mapaja yake manene.
Alianza kuitekenyatekenya mashine yangu kwa hisia hadi nikajikuta napeleka mkono na kuisaidia ipenye kitumbuani mwa mtoto Zuuu
Zuhura aliposikia kichwa tu, alikunja mgongo wake kwa tamu ya peremeni, nikasikia imeingia yote yaani kidogo angening’ata sikio maana alisikia raha za ajabu
Nilishikilia kiunon cha mtoto yule akaanzak uhangaika nayo kushoto kulia, kiukweli nilikuwa nasikia raha maana K yake ilikuwai inanata balaa
“F unajua nakupenda” alisema kama vile anataka kulia huku kiuno akikizungusha taratibu
“Daah, hata mimi nakupenda sana Zuuh,,,ash” nilismea kwa hisia kali
“OOOOH baby, ni tamu ya kwako, yaani inateleza ndani hadi raaha……ash aaah oppss baby naiski uta….mu aaash” alisema na kuzidisha miuno huku akiwa anaizid kunikumbatia kwa nguvu, nilizidi kumpapasa kiuno na makalio pia kidole kimoj nilikiigiza mku…ni mwake kikaingia kwa kusua sua
“MMMh huko baby hapana” aliniambia nikakichomoa lakini akatetemeka “no baby mi sijasema ukitoe aaah rudisha hone unipe utamu” alisema kwa hisia nikakirudisha kidole kile mpaka kule ndan kabisa
Mtoto wa kike alipiga kelele sana, na alikuwa anaifurahia mashine yangu “ aaah baby …..baby…… ooooh baby tamu” alisema na kunipa denda tukanyonyana mara nikaona ametetemaka mwili mzima na kuuachia ulimi wangu
“aaaahs asante mume wangu” alisema kwa hisia ikabidi nimuachilie manii zangu ndani ya uchi wake, wote tukalegea, maana naye alikuwa ameshafika
“Nimekojoa baby” nilimuambia
“mi pia, pole mpenzi” alinibembeleza mwanamke yule na kuichomoa akajilaza pembeni
Ilibidi nichukue tisheti yangu tukajifuta futa yale ma-ute ute huku tukitazamana
Kichwani nilipata jibu kwamb huenda kweli ikawa yale maji na maombi ya mchungaji yamesaidia ndo maana wakati tunafanya halijatokea tatizo lolote, nilitabasamu kwa furaha
“baby, tumekuwa salama eti”
“Ninajua hilo, unajua ameshanipa talaka akaniruhusu niolewe na mtu yeyote sasa haweza kuleta tena nyenyenye” aliniambia nikatabasamu huku nikitafakari tuendelee au tuachie pale pale
Tuliendelea kidogo na kweli madhara hayakuweza kutokea
Baadaye Zuhura alitaka kuondoka, mwamba nikaamua kuvaa nguo siku hiyo nilikuwa nataka angalau nimtoe nikamuone nkapaone pale alipokuwa anaishi, nilimsindikiza sana
Tukiwa njiani akacheka “Sasa mbona unanifikisha mbali hivi?” aliniuliza binti
“Zuhura usiwe unajificha kwangu, nataka kujua kwamba wewe unakaa wapi basi inatosha” nilimuambia
“F, ukipajua ninapokaa hata hapafanifananii, ninajua kwamba mimi ni mzuri lakini kweli ninapokaa hakuna mtu anayepajua zaidi ya mimi na mganga tu” aliniambia
“Haaah, embu acha mambo yako, nataka nipajue”
“Hapana Festo please rudia hapa” aliniomba lakini nikagoma, nikaona amenfuata na kunitomasa “Naomba baby urudi please” aliniambia mpaka mwenyewe nikaogopa, ikabidi nisite kidogo kwanza nkamtazama
“Zuu unanipenda?” nilimuuliza
“Yes baby nakupenda sana” nilimuambia
“Ok kama unanipenda please twende nikapaone, hata kama pakoje mimi nitapapenda hivyo hivyo” nilimuambia
“Ok Festo sasa ole wako uniache baada ya kupaona” aliniambia
“Sitokuacha” niliahidi hivyo
Safari ya kuelekea kwa binti iliendelea mpaka tukaingia katika msitu mmoja ambao ulikuwa unatisha sana,mim nilihisi ananitania maana safari ilikuwa ndefu sana, tulikuwa tukipiga story mbili tatu kuhusiana na maisha yake akawa ananielezea vizuri
Tulifika katika kibanda kimoja kidogo nikaona amevua viatu na kuinama akafungua mlango na kuingia ndani, mimi nilibaki nje nikiwa ninamshangaa maana sikuamini kama alikuwa serious mwanamke yule
“Karibu” aliniambia nikatabasamu na mimi nikasogea mlango ili niingie ndani, nilivua sendo zangu na kuzama hadi ndani ya nyumba ile,
Nilipofika kulikuwa na vigoda viwili nikaketi, mara nlisikia harufu kali sana ambayo sio ya kawaida, ndipo niliposhangaa na kushangua kwamba ni nini kile, lakini sikutaka kumuuliza angeona namchunguza sana.
Ndani hamna hata nguo moja, wakati yule binti kila siku nilikuwa nikimuona akiwa anapendeza, hivyo nikaamini kwamba kile chumba sio chenyewe ananizingua tu.
Binti alinitazama akacheka na kuinuka akatoka mlangoni, akakaa kama dakika mbili hivi halafu alirudi ndani na kunikuta nimeka pale,
“Hapa ndipo unakaa?” nilimuuliza nikijua ni utani
“Ndio Festo, samahani sana” aliniambia nikatikisa kichwah,
“Aiii, uwiii” alianza kulalamika kama vile anapata maumivu makali sana, alijishika sehemu za tumboni huku akikakamaa kama vile tumbo linamuuma
“Zuhura” nilimuita kwa mshtuko, mara nikaona amedondoka na kigoda chake chini “We Zuhura” nilimuwahi pale chini na kujaribu kumshika, lakini nilipoitazama ngozi yake ni kama vile ilikuwa ibadilika na kuwa kama yam zee
Uoga ulinishika na kujaribu kumuachia, nikainuka huku nikimshangaa na uoga ukinipata wa hali ya hatari kabisa....niliona amebadilika na kuwa na ngozi ya mzee kabisa yaani akawa bibi kikongwe
Uoga ulizidi nilipokuwa namtazama, analalamika na kutoa sauti ya ajabu, uso wake ulikuwa umekunjamana huku akitoa harufu mbaya na kujilaza chali, kumtazama mdomoni hivi niliona meno yamechomoka yamekuwa marefu ya kutisha na kucha zilikuwa zikimtoka kila mahali
Niliutazama mlango nikatoka mbio nikakatiza msituni kama vile mimi kichaa nikiwahi sehemu ya kurudia nyumbanii hakika niliogopa sana……ITAENDELEA????MKE WA MGANGA 15
Tulipoishia
Uoga ulizidi nilipokuwa namtazama, analalamika na kutoa sauti ya ajabu, uso wake ulikuwa umekunjamana huku akitoa harufu mbaya na kujilaza chali, kumtazama mdomoni hivi niliona meno yamechomoka yamekuwa marefu ya kutisha na kucha zilikuwa zikimtoka kila mahali
Niliutazama mlango nikatoka mbio nikakatiza msituni kama vile mimi kichaa nikiwahi sehemu ya kurudia nyumbanii hakika niliogopa sana
Endelea
Nilikimbia bila kuangalia nyuma, niliogopa sikuamini, kichwani mwangu nilijiuliza kipi kile kilichokuwa kimetokea pale kwa Zuhura? Nilihisi naota huku nikikimbia nilijitikisa tikisa ili kama niko usingizini niweze kuamka na niachane na ndoto ya kutisha kiasi kile
Ukweli ni kwamba ile haikuwa ndoto, ni kweli kabisa maana kila nilipokuwa nikijitikisa mimi sikushtuka usingizini, nilitembea kwa mwendo wa haraka haraka mpaka nikafika barabarani, huku nikihema nilipata wazo kwamba nipite kwa Yusufu labda anaweza akanisaidia kimawazo kwa sababu yeye alikuwa ameokoka na kazi za mikono yao nilikuwa nimeziona kule nyumbani mchana
Nilitembea kwa haraka haraka mpaka nikafika kwa Yusufu na kuita hodi
“Karibuu” sauti ya mke wake ilisikika chumbani
“Shemeji kwema?” nilisema huku nikihema, nikaona mke wa jamaa ametoka mlangoni na kunishangaa na alikuwa na khanga moja
“Shem karibu” aliniambia
“Asante sana, samahani nimemkuta Yusufu?” nilimuuliza
“Mmh hapana, yuko ameenda sehemu tangu asubuhi nafikiri atarud jioni, karibu sana” aliniambia kiukarimu na kujizungusha halafu akanikonyeza
‘mh sasa ndo wokovu gani huu jamani’ nilibaki najiuliza mana nilikuwa najua kwamba wale ni waokovu lakini alikuwa ananichokoza
“Karibu basi ndani tuangalie movie?” aliniambia na kurembua, nikajua kumbe hata wanaojifanya wameokoka kuna wengine wapo tu kwa sababu fulani lakini wana tabia mbaya sana
Bila hata kumuaga niliondoka kwa hasira maana nilikuwa nina stress zangu za maisha, halafu ananiletea mapicha picha, nikaondoka na kuishika barabara ya kuelekea nyumbani…
Nikiwa njiani nilikutana na mchungaji akiwa yuko hari hari sana nikamsalimia kwa uchangamfu lakini alikuwa anaelekea kwa Yusufu na alikuwa na haraka sana
“Shikamoo mchungaji” nilimsalimia
“Marahaba, bwana Yesu asifiwe?” aliniambia huku akinipa mkono na kuutoa haraka maana alikuwa anawahi
“Amen mchungaji kwema?”
“Kwema, samahani, kuna sehemu naenda kutoa huduma hivyo ninawahi kidogo” aliniambia
“Sawa mchungaji” nilimuambia na kumuacha aondoke, lakini kichwani nikajua huduma hiyo inaenda kutolewa sidhani kama sio huduma ya kwenda kudinyana na mke wa Yusufu,
Mchungaji alifika mbele kidogo nikasikia ameniita, name nikageuka kumtazama “Ndio pasta” nilisema
“Samahani umetokea kwa Yusufu?” aliniuliza
“Ndio pasta”
“Yusufu yupo?” aliniuliza,
“hapana, yupo mkewe tu mchungaji” nilisema kwa nidhamu kidogo
“Ok asante, baadaye” aliniambia na kuanza kutembea kwa mwendo wa haraka zaidi
Hapo ndipo nilipohisi kwamba mchungaji lazima anaenda kumpiga mambo mke wa Yusufu
Kichwani nilianza kujilaumu, nikijiuliza kwa nini sikumuambia Yusufu yupo ili tuone kwamba angefanyeje? Nilianza kucheka na kusahau maswaibu yangu halafu nikajiona mshindi kichizi…. Nlitamani nirudi nikashuhudie ile mechi lakini nikatembea mpaka mbele nikasema ngoja nirudi nikaone kinachoendelea
Nilirudi kweli yaani, kweli shetani yu nami, nilitembea mpaka kwa Yusufu mdogo mdogo na nilipofika sikutaka hata kubisa hodi, nilizunguka tu nyuma ya nyumba nikasikia kama vile mchungaji anapiga story na mke wa Yusufu tu na hamna kingine..
Niliwachungulia kwa dirishani nikawaona wameketi kwenye sofa mbili wakiwa wanafunzana maneno ya kwenye biblia, nikajua kwamba nilichofikiria sicho hivyo nikaamua kuondoka
Sikufika mbali, nikasikia, “Si usubiri kidogo jamani” ilikuwa sauti ya hisia kali kutoka ndani ikabidi nirudi tena kuchungulia, nikakuta mchungaji alikuwa ameshahamia kwenye sofa ya mtoto wa kike anamchezea matiti na kanga ameshaifungua saa nyingi
Sauti za mabusu zilisikika, na miguno ya hatari, halafu nikaona mtoto wa kike amesimama na kuinama, mchungaji akafuatia nyuma yake, yaani mchungaji alivyokuwa amevaa suruali yake vizuri aliifungua mkanda na zipu halafu akatoa mtarimbo wake, mkubwa kinoma na kumuingizia mke wa Yusufu kwa style ya chuma mboga
“Asssh oooh baby, taamu……ahaa oooh ingiza yote” alilia mke wa Yusufu hadi nikadindisha na kuondoka pale dirishani fasta kwa sababu ningeweza kuonekana kisa kulikuwa njiani
Niliondoka nikiwa nimeshaupata ushahidi wa kutosha ya kwamba mchungaji ni muhuni yule
Nlitoka hadi ne ya eneo lile, lakini sikufika mbali, nilikutana na Yusufu akija akisikiliza nyimbo za Tenzi za rohoni kwenye simu yake, na sauti ilikuwa kubwa sana.. nikamhurumia sana halafu nikamsalimia kinafiki
“Oi Yusufu niaje kaka?” nilimpa hai “bwana asifiwe”
“Amina amina kaka” alinamiba
“ok mi nawahi nitakucheki baadaye” nilimuambia nikimuacha ili awahi nyumbani akamfume mchungaji wake halafu mimi nikapita na safari zangu nikaelekea nyumbani huku nikicheka kinafiki
Sasa nilipokaribia nyumbani nilikuwa nimeshasahau yale maswahibu, lakini kilichonishangaza baada ya kufika karibu na home, niliona mlango wa nyumba yangu kwa mbali kama vile umefunguliwa nikautazama kwa uoga na kuongeza mwendo lakini nikiwa na wasiwasi
Nilifika hadi nyumbani nikakuta kweli mlango umefunguliwa nikashtuka kwanza hiyo kitu inakuwaje wakati mimi nimeondoka na nilifunga mlango vizuri
“Oiii” ilibidi niite ili nijue kama kuna mtu mule ndani lakini kimya kilitawala
“hey kuna mtu humu” niliita tena, mara nikasikia kama vile kuna mtu kasonya “mfyuuuuu” ndipo niliposhtuka zaidi
Nikiwa naogopa kuingia pale ndani, nilishangaa ametoka Zuhura akiwa ameshikilia beseni lenye kujaa maji yaliyoonekana kuoshewa kitu fulani kama vyombo hivi
“Zuhura” nilimuita kwa mshtuko maana nilikumbuka nimemuacha msituni tena akiwa katika hali ambayo siyo ya kawaida
“Yaani ndo unarudi sa hivi kweli Festo?” aliongea kwa kunifokea huku akimwaga maji chini na kushika beseni kwa mkono mmoja halafu akanishikia kiuno mimi
“Doooh, wewe” nilimshangaa tena
“Nini tena baby?” aliniita
“sitaki nikuone hapa ndani kwangu please” nilimuambia nikaona kama kashtuka hivi yaani kama vile haelewi
“Vipi kwani jamani, mbona unaniandama, yaani mimi nimekutuma vitu unarudi hapa mikono mitupu halafu unanifokea, una nini lakini mwanaume wewe?” alisema Zuhura huku akizidi kunichanganya
“Vitu umenituma mimi? Embu acha kunizuga mimi nimesema sikutaki humu ndani”
“ok nimechoka visa vyako. Basi nipe hela yangu mimi niondoke, nishamaliza kufanya usafi uliokuwa umeniambia”
“Usafi? Hela? Hela gani mimi”
“Hee” alisema na kucheka huku akiangalia juu kwa furaha
“Hee nini”
“Nimekupa shilingi elfu nne, nikakuambia ukalete vitu vya kuja kupika, tena ukachukua na mfuko kabisa hapa ndani….sasa mbona umeenda ukarudi huna chochote unataka nini?” alizidi kunishangaza maana mimi kwa kumbukumbu zangu alikuwa hajanipa hata shilingi mia, halafu mimi nimemuacha msituni akiwa ameshakuwa kiumbe kingine
“Hela gani” nilimuuliza nikiwa najisachi mfukoni, cha kushangaza kweli, mfuko wa kushoto kulikuwa na Shili elfu nne, ambayo nilikuwa ni noti tatu, moja ya shilingi elfu mbili na nyingine mbili za bukubuku, nilibaki namshangaa
Nilipoangalia mfuko mwingine, nikashangaa kuna mfuko wa njano ambao siku zote ulikuwaga hapo ndani, sasa hapo ndipo nilipochanganyikiwa kwamba nimechukua saa ngapi na hiyo hela kanipa saa ngapi
“we mwanamke” nilimuita kwa mshangao nikaona amecheka
“Nini sasa……vitu nilivyokuambia ulete viko wapi?” aliniuliza nikabaki ninamshangaa huku mdomo wangu ukiwa wazi……..ITAENDELEA.