Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗 SEASON THREE SEHEMU YA 41/42

22nd Aug, 2025 Views 199



Alberto alifanya maamuzi ya haraka ,, kikao kilipo kwisha akaanza kumpigia simu Rahul ili aandae utaratibu wa ndoa ya kidini haraka kati yake na Vicky,, alipiga namb ya Rahul mara mbili haikupokelewa

Wakati huo akapokea siimu kutoka kwa wanahisa kikao cha haraka wanahitaji nao wamevurugwa na maneno yanayoendelea mtandaoni wanahitaji ufafanuzi ,, hapo ndio masha hajasema kama alibakwa kampuni zimechafuka kila sehemu ,, ilibidi asimamishe kwanza swala la kumtafuta Rahul awahi kuongea na wana hisa wote wa AQ GROUP nchi zotee wanaendesha kikao online kwa ambao hawapo Tanzania

Wakati yupo kwenye gari , aliona bora ampigie masha kuweka vitu kwanza sawa ,, maana tayari giza lilikuwa limeshaanza kutanda …..

Masha alikuwa nyumbani kwake ndani yq choo anatapika wakati huo simu yake ilikuwa inaita chumbani

“munguwanguu !!!mbona nina dalili zote za mimba jamani ooh hapana hapanaa mie mimba naipeleka wapi sasa hivi jamanii !!” alitoka anajizoa zoa hivyo hivyo akachukua simu ilikuwa imekwisha kata ,, akuwa hata nahaja ya kumuangalia mpigaji kichwa kimevurugwa na huku kutapaka kwa mara kuliko Muanza gafla
Alitoka harak mpak duka ;la dawa akanunua kipimio cha ujauzito ,, alipo pima ilitoa mistari miwil masha alihisi kuzimiaa

“Nooooooooooo” alipiga ukunga mkono kaziba mdomo
“BOAZIIIII SHIT!!!!”

Alijua kabisa hii mimba ni ya boazi ndio mwanaume aliejiachiachia nae … akachukua simu yake haraka kumpigia ness wake hakuwa tayari kuzaa na boazi yaan kabisaa
“vero nataka dawa ya kutoa mimba sasaa hivii “

“we nae mimb ya nani’

“embu nambie dawa bwanaa sitaki kuzaa na huyu chokoraa “

“hahah yan wewe okay nakutumia jina laa dawa happo sasa hivi”

Vero alipo kata simu masha ndo akaona msd call za alberto alistuka hakufikiria kam anaweza kuwa alberto ndio alimpigia simu haraka akarudi kumpigia lakin simu haikupokelewa tena akagundua kuna sms ilitumwa kutoka kwa huyo alberto ,,

{kesho saa 6 mchana tukutane ofisi ya msajili wa ndoa,, tutafunga ndoa ya serikal kesho hiyo hiyo kwahiyo acha ujinga , uliouanzisha}

42

Masha alijikuta anaruka juu kwa furaha za ushindi alipiga kelele za ushindi kila mtu kwenye nyumba yake aliziskiaa
“okeee I’m gonna be a wifeee,,dunia nzima itajua hahah mimi ndo masha bwanaa ach anile maishaaaa hahah’

P akachukua pesa akatoka Kwenda kununua dawa “khaa yaan mie nizae na boaz haha mfyuuu ,, ngoja niutoe huu uchafu fasta fasta ‘

Akafungua vile vidonge fasta akaweka kimoja sehem za siri akakizamsha na vingine akameza hayo ndio maelezo alipewa na ness wake ,, akapanda kitandani ,, furaha aliyokuwa nayo ilikuwa ni zaidi ya furahaa ,, akakumbuka kwenye ndoa lazima mama yake awepo alichukua simu kampigia mara kadhaa lakini hakupatikan na hapo tangu awafukuze ile siku hajawahi kuwatqfuta hata kuwajulia hali sio mama yake wala mtoto kwanza Aliona afadhal wamekaa kimyaa kero imepungua,,

Alipoona haipatikan akasema kesho asubuhi nitaenda kumpa taarifa mama ,,baada ya hii ndoa ya serikali kupita nataka bonge wa sherehee ,, harusi yangu iwe gumzoo kwenye mitandao ooh embu ngoja nimsafishe mume wangu……….

Masha akachukua simu akaingia live instar akiongea maneno ya kusahihisha lile soo akasema jamani mie nilikuwa natafuta followers tuu kwahiyo nilichosema ni uongoo naomba sana nisamehewe mr alberto naomba unisamehe ,,
‘”halfu mimii mbona nimewahi sana kumsafisha huyu akinigeuka je asubuhi ,,hehehe hanijui huyuuu nitavujisha hizi voice aliyokuwa anishawishi kwa kunipa hela kwisha Habari yake “

“uhhh Mungu wanguuu mbona tumbo linauma sanaaa”
Maumivu ya tumbo yalikuwa ni makali kuliko alivyotaraji ,, kila sec zilivyozidi Kwenda ndio tumbo liliongeza maumivu ,, alikuwa anajikaza kulia mwishoo uvumilivu ulifika kikomo akaona kilio kinaweza kupunguza maumivu **********
Rahul baada ya kumalizwa nguvuu na maneno ya muuza duka ,,kichwa chake kilikuwa kinawaka moto hata nguvuu ya kutembea hakuwa nayo alisahau hata kama anatakiwa kuchuku usafiri akasahau hata njia aliyotakiwa Kwenda,,hata wakati alberto anampigi simu hakuweza kusikia simu ikiita akili yake ilikuwa imechokaa ,,
Alikuwa bar ameshikilia grass yenye pombe kalii anaendeleza kunywa bila hata kujali alishakunywa nyingi tangu afike hapo …….

Alikuw anacheka tu mwenyewe watu wa pembeni wanaishia kusema mzungu kadataa !! na kweli alikuwa kadata tena sio kidogo kadata kwelii …. Kichwani kulikuwa na mioto inawaka pombe ndio Aliona kidogo atatuliz akili
“kwahiyoo hahah hivi alituonaje kwanza ni wapi nilikosea ni mimi au alberto? Ooohpss hahah kwahiyo mtoto ni wake oooh no mana mtoto alimng'ang'ani ile siku kumuita mama yye akakataa et mtoto wa Vicky hahaha daah ,, Vicky kwani uko wapii ??,, kwanini hukunambia ukweli yule sio mwanao tusinge fika mbali hivii!!!!””
Akinua chupa nzima ya pombe akaona kama grass inamzingua sanaaa , alikunywa saanaa ,, mpaka alipoona sasa imetosha…………………...

Muwe na usiku mwema
.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗 SEASON THREE SEHEMU YA 41/42  >>> https://gonga94.com/semajambo/billionea-ndani-ya-hoteli-season-three-sehemu-ya-41-42

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest