Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

MADAM JOY NA MIMBA YA CEO MWANAFUNZI🍎SEHEMU YA KUMI NA NANE*

21st Aug, 2025 Views 139



Makumbusho yakizidi, mpaka nikajuta kutoa, utu kiumbe alinikula kama vile kaambiwa ndo mwisho leo kula, alihakikisha siwezi kuinuka, ili tu aniogeshe mwenyewe, anapenda sana kuniogesha mbwa huyu🫣, siku ilienda vizuli sana, kesho yake J alianza vipindi...

Upande wa mama mtu, alishatafuta mpaka basi watoto wake wengine walikuwa walihalibu kampuni ni moja tu iliyokuwa imara ambayao mama J alikuwa akiisimamia nyingine zote ziliyumba sana...

Aliamua kufatilia nje ya nchi akagundua tulipo, hakufurahia uwepo wangu lakini kwa hali ilipofikia aliona ni bola tu akubali, upande wetu maisha yalikuwa na amani mno, J alinijali alijua wajibu wake kwangu hakuwahi kuteteleka kabisa...

Ilibaki siku moja mwanangu afikishe mwaka, nilimpeleka mtoto kwa bibi nikashangaa nafinywa, " kuanzia leo usikae na uyu mtoto, nikashaangaa ivi bibi anaongea vitu gani🙄,hakuongea zaidi nikajua tu utani nikaenda zangu kazini nilifunguliwa kiwanda cha kasta na salon kubwa tu, wakati wakuludi nilimpitia mme wangu chuoni kwake, tukaludi wote...

Nilikuwa hoi nikamwambia kesho bithday ya Jeani lakini sijaandaa chochote yani nimechoka vibaya mno, usijali mke wangu nitakusaidia pumzika tu, kwakweli uyu kijana anajua kunicare,mpaka najionea wivu mwenyewe aisee...

Nilimuibia busu bila dereva wetu kutuona, nae akaona wee, kwa kinywaji changu bei gani, chupuchupu nimfungue zipu kwenye gari, asingenizuia sijui ingekuwaje...

Tulifika nyumbani nikapitiliza kwanza kuoga nikasema acha nijiegeshe mie, mazima usingizini, nakuja kuamka nakuta J ananitizama huku anafuraha kweli, akanipa chakula nile nikasema nataka nikamchukue J...

Achana nae leo alale tu uko uko, nataka kukuchosha zaidi, sitaki Jeani aone, make nae kwa kutufuma tu hakakambo, nilitabasamu tu nikakubali...

Kulikucha siku ya bithday ya mwanetu, wote tulibaki kusherehekea, lakini hii siku kwangu ilikuwa ngumu mno jamani, nilitapika vibaya mno, sheree ikawa chungu, na zile pilikapilika nikazimia, uzuli tulikuwa tumeshakata keki na kosa tu lilianzia kwenye ile keki...

Nimekuja kushtuka niko na drip la maji, uku pembeni Jeon wangu yupo na mimi, alinipa pole na kunichum, nilimwambia sijui najisikiaje tu siku izi ata sielewi, " relax mke wangu, sio kesi kubwa ni kwamba Jeani sasa ataitwa dada umembebea wadogo zake, na sio mmoja ni mapacha, mke wangu umenipa heshima kubwa sana, sijui nikushukuru vipi, na safari hii hautateseka peke yako...

" Nitakuwa na wewe kila hatua, toba J mme wangu ujue Jeani ndokwanza anamwaka🙄, najua na mimba inamiezi 4, kwahio ni kitambo sana tumemletea wadogo zake bado miezi 5 tu, tumepiga utrasound, nilichoka, usijali mke wangu hautapitia wakati mgumu niko na wewe bega kwa bega...

Nilikubali tu ndo nikakumbuka bibi abamuda ananikataza kuwa karibu na mtoto, ata hakuniambia sababu, na alinilamisha nimuachishe akiwa namiezi 8 tu...

Nilikuwa navimba miguu mpaka kero, mama aje J alitutafuta mpaka akatupata, na kibaya zaidi alianza kunipata mimi, nikiwa zangu kazini, nikaambiwa kuna mgeni ananihitaji, nilikuwa free hivyo nikaluhusu tu aingie, nilikuwa naongea na Jeon, sikuweza hata kukata simu...

Nilivyomuona tu mama ake, nilipata mshtuko, mpaka nikasimama, alinitizama kwa ukari huku anaitizama ofce yangu,aliitizama kwa muda upande wa Jeon alishangaa mbona siongei akahisi ana nimepata tatizo akiwa anataja kukata akasikia sauti ya mama aje kwenye simu...

Alikuwa bado mwanafunzi lakini kwa hofu ya kunipiteza, aliweza kupaisha chopa mpaka kazini kwangu, nakweli aliwahi mno, moja kwa moja hata mapokezi hakuwasalimia,na uzuli wanamtambua...

Aliingia bila hodi ajakuta hali yangu sio nzuli, na mama yake ananigombeza, nakudai nimekuja kumtapeli mne wangu, hatokaa anipende, na ipo siku atafanikiwa kunipeleka ninapostahili...

Mama mtu hakujua kama kijana wake tayali kaingia kitambo, alivyohisi uwepo wake, ajaanza kujifanya ananiomba msamaa, akapiga na magoti kabisa, Jeon aligundua tayali siko sawa, hakuhangaika na shoo ya mama ake alichukua nakuniwahisha hosptal...

Itaendelea...💥

Offer offer offer soma yote kwa sh 500

Whatsp 0784468229.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MADAM JOY NA MIMBA YA CEO MWANAFUNZI🍎SEHEMU YA KUMI NA NANE*  >>> https://gonga94.com/semajambo/madam-joy-na-mimba-ya-ceo-mwanafunzi-sehemu-ya-kumi-na-nane

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest