Tulianzia duka la simu, nikanunuliwa simu moja kariiii awee nilifurahi mno, bibi nae akanunukiwa, nzuli tu kubwa, nikapelekwa hotel moja nzuli tukala, tukapiga picha ilitoka vizuli P katabasamu aisee nilifurahi nikamsifia akaomba tupige nyingine yani hii mwamba ndio akaua kabisa yani, alinitizama uku anatabasamu kama ananitaka ivi yani tafrani tu...
Ilitoka vizuli mno pale pale nikaweka profile, na p nikachukua simu yake nikaweka niliona mwamba kama hataki anajikaza kuonesha kafurahi, muda huo nikaweka adi status na line niliyokuwa na tumia ni ya P, ile iliyokuwa kwenye kibatan, alichonipatia, tulienda mpaka nyumba kubwa ya P, muda huo simu yake ilianza kuita na yangu no za nje ya nchi, aliniomba simu akaizima nikashangaa huyu vipi tena, ila sikuwa na mashaka kabisa..
Nikaendelea na safari yetu, tumefika tukapokelewa vizuli bibi akapiga vigeregere sasa nimekuwa uyo ni bibi yake p nikawa nashangaa tu, akasema ile bangiri ya ukoo haikubali mtu yeyote alieliwa na mtu tofauti na damu yao, yani ni labda uwe bikra ama uwe ushaliwa na uyo mmeo wa ukoo huo tu tofauti na hapo haipiti, ndo nikasanuka duh, bibj aliaga akaludi kwake siku io io jioni nililia lakini haikusaidia nishakuwa mke wa mtu, nilimuomba akachukue mhitaji mmoja pale kituo cha kulelea watoto akae nae, tulikubaliana na kufanya maamuzi tutafanya hivyi kwa sababu tayali kuna mtoto pale toka mwanzo nilitaka kumchukua tuishi nae ni wa kiume...
Bibi alipelewa na Amir adi nyumbani, usiku Amir na P nikawa siwaelewi wakawa hawatulii kabisa, mala wako huku mala kule nikajiuliza hawa wanashida gani🤔, nikaamua kulala mpaka napitiwa usingizi P hajaja chumbani, kumekucha tu ivi leo nikawa wakwanza kuamka, nilimuacha p kalala ata sijui kaja saa ngap, nilisaidia na dada wa kazi, japo alikataa ila nilimuondoa hofu asijali...
Tulipiga kazi,nikaandaa chakula cha bibi na maji ya kuoga, nikaenda kumuamsha, nikamuogesha, nikampaka mafuta, nikampa na chakula ale uku namfanyia masaji, ya miguu, bibi alifurahi mno,P ameamka kakuta nishamuandalia nguo za kazini, taulo viatu, kila kitu na chakula, alioga akaanza kunitafuta...
Alinitafuta mno, dada wa kazi ndo akamwambia nimekuja kumuogesha bibi ni muda, huenda nimeshamaliza nilibeba na chakula kabisa, akaja akapiga hodi tukamruhusu, ajakuta tuko bize na story, na masaj, alifurahi adi machozi, alimsalimia bibi yake, alivyomaliza nilimuomba ruhusa kazini nianze kesho, aliniambia wote tuko off wiki hii yote, kuna kitu tu anaenda kufanya mala moja afu ataludi...
Nilimuomba simu akajifanya anahalaka akatoka nikamfata, alinipa ila akasema nisipokee simu tofauti za nje ya nchi,nilikubali nilivyowasha tu simu, ikaita ila nikaludi kwanza kwa bibi kum masaj,simu ikawa simu,sikupokea nilihisi niya kazi, imefika mchana, no tofauti tifauti, nilivyowasha data...
Nikakuta no nyingi tu za nje uko zimetuma sms, sikufungua nikawa na yangu tu, jioni P aliludi akasema alibanana sana, nimsamee kwa kuchelewa ata sikuwa na ubishi mtoto wa watu, usiku wakati tunakula niko chumbani mimi na P na bibi tunakula nae, tukasikia vulugu,kelele P na bibi wakatizamana,kisha bibi akamwambia P nenda muache mke mwenzangu apa ukapokee hao wageni hakikisha unaludi, nilimwambia Bibi ni wageni twende wote afu tutaludi wote, kabla ata hatujamaliza kuongea mtu mbili zikaingia zinahasila🙄....
Itaendelea....💥
Full 1000
Whatsp 0784468229.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments