Ofa kwa kiungo mshambuliaji huyo tayari zimewasilishwa na zipo mezani zikichakatwa na uongozi wa klabu.
Kocha Fadlu Davids ameruhusu mchezaji huyo kuondoka, lakini kwa sharti moja — Simba lazima impate mbadala wake wa kiwango cha juu. Kama hilo halitatimia, Mutale atasalia Msimbazi.
Mutale bado ni sehemu ya mipango ila ana nafasi kubwa ya kutimkia klabu nyingine kabla ya dirisha kufungwa..
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments