Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  never give up harmonize

MADAAM NIPE KIDOGO BASI 4

26th Aug, 2025 Views 31



Kama mnavyojua umri wangu ulikuwa umeshaenda kiasi, kwa maana nilikuwa nimeshaishi robo karne na zaidi, na utamu na ujua, kuna siku Yule mwalimu mwenzangu alikuwa anaiotwa shedrack akanichukua na kunambia ana hamu na mimi sana, na vile na mimi sikuwa nimekung’utwa vumbi vizuri nikubali, basi tukaenda kupima kisha nikaja nae nyumban kwangu, tukapika tukala na baada ya hapo tukaanza ile michezo yetu, tukiwa kwenye hatua za awali kabisa, mara nikasikia mlango unagongwa,
nilishtuka maana ilikuwa ni saa nne kasoro usiku, haikuwa rahisi hata kidogo mtu kuja kunigongea mlango muda kama ule…

Tunatahamaki simu ya shedrack inaita, kuangalia kuna namba ameisave wife 4 me, akiwa anamaanisha mke kwa ajili yangu, nilishtuka nikamuangalia , akaniangalia kwa sekunde kadhaa kisha akasema “ huyu mwanamke anajipendekezaga, naomba tumalizie tulichokianzisha maana mimi ninachojua ni kuwa nakupenda wewe…

Niliachia msonyo kisha nikasema “ ni kweli nina hamu, ila siwezi kuendelea kuwa na mwanaume muongo kama wewe, inawezekana kweli una mwana mke, na huenda ndio mwanamke ambae unadhan kuwa siku moja atakuja kuwa mke wako, ila ungesema ukwlei, naomba uondoke nyumbani kwangu, nikaanza kusema…

“ vick sasa hivi ni usiku, unafikiria kuwa naenda wapi mida kama hii, akasema shedrack..
“ hainihusu naomba uondoke nyumban kwangu sasa hivi, nikasema kisha nikanyanyuka na kuanza kumtimua, yaan amekuja kulala nyumbani kwangu, sijui ndio nilikuwa nina upwiru kiasi gani, maana hata chakula nilipika kwa hela yangu mwenyewe, alafu anashindwa hata kudhibiti simu yake, niliona kama dharau ya hali ya juu, basi Yule mwanaume akaondoka, sikuwa najua alienda wapi, ila sikuwa nataka hata kumuona, hata kwa bahati mbaya yaan…

Sasa akawa anaondoka huku anaangakia nyuma, alipopotelea, nikawa nimesimama mlangoni nawaza hatma yangu, kuna muda nilianza kujihisi huenda sina bahati, maana nimeachika na nakuja kukutana na mwanaume, ambae nilidhan ananipenda kumbe anataka kunitumia kwa sababu ya ngono tu, na sio kitu kingine chochote kile, nikasahau kabisa kama kuna muda mlango wa nyumba yangu uligongwa na nilikuwa nawaza tu kuhusu hatma yangu…

Mara nikashangaa nashikwa, ikabidi nimuangalie alinishika, alikua ananukia vizuri na amevaa vizuri sana, kulikuwa kuna kagiza flani hivi, ila niliweza kuona kofia kubwa ambayo alikuwa ameivaa, nikasukumwa ndani kisha nikaanza kupewa busu moja matata, ndio kofia ikaja kudondoka nashangaa namuona kendrick…
“ wewe , nikawa nataka kumuonya na hapo nilikuwa nimefunga kanga moja tu, mwamba mnara ukawa unasoma balaa, akaifungua ile kanga na kwa namba ambavyo mikono yake ilikuwa inafanya utalii kwenye mwili wangu nikajikuta hadi naishiwa pawa, sijui ikawaja nikaanza kumpa ushirikiano, mwili wangu ulishaanza kupashwa na shedrack, hivyo kuna namna sikuwa naweza hata kujizuia…

Tukakisss pale, mwamba akawa kama kashavurugwa na akili hazikuwa za kwake tena , akanibeba juu juu, nilikuwa namuona mdogo ila sikuwa najua hata zile nguvu alikuwa anazitolea wapi, kisha akafungua mlango wangu wa chumban na kunitupa kitandani, hapo sina kitu, kama mnavyojua akili zangu nazo kuna namna zilihama, alivyonitupa ndio kama nikashtuka sasa, na kusema “ Kendrick unataka kufanya nini?...

Akashusha pumzi kisha akasema “ nataka ugune kwangu kama ambavyo ulikuwa unaguna kwa Yule mpuuzi, unatakiwa uwe tayari kunipa na mimi, kama ni afya tutapima hata kesho ila kwa sasa madam naomba unipe kidogo Basi …
ITAENDELEA
.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MADAAM NIPE KIDOGO BASI 4  >>> https://gonga94.com/semajambo/madaam-nipe-kidogo-basi-4

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
profile
mjukuu 26 Aug 2025 20:37
MADAAM NIPE KIDOGO BASI 4
never give up harmonize
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest