Nakutana macho kwa macho na yule kaka nilietembea nae kwa kulewa, tena ndio CEO wa hapa field, niliona aibu make ata yeye alinikazia macho vibaya mno, nilishindwa kabisa kumuangalia usoni, tulipewa utaratibu, na kutambulishwa nilipofika mimi kujitambulishwa jina nilijitambulisha nikashangaa yule CEO kashtuka, akanitizama kwa makini, sikuweza kumtazama nikakwepesha tu macho uku naongea, tulimaliza tukatoka kuendelea na majukum...
Nilikuwa makini ili nisijekuhalibu chochote, maishs yangu yenyewe ni ya kuunga unga, upande wa Prince CEO, alitoka akiwa na haraka, akaingia kwenye gari lake, uku anaongea na mdogo wake waonane, walikubaliana kuonana pale pale kwenye hotel ya CEO, " Bro mbona unaoneka kama hauko sawa? "Prisca unamkumbuka yule binti aliyekutegua mguu ukiwa primary? " Kaka jamani bado hujaacha tu kumuulizia? Makubwa mimi saiv simkumbuki kwakweli, " P mimi sikuulizi sura wala alipo nauliza jina lake kamili, hee bro kulikoni mbona unaongea kwa kunitisha sasa🙄, anaitwa Dainess Daniel, alivyojibiwa tu na mdogo wake pale pale akaondoka bila ata kumuaga mdogo wake, akaludi Hosptal, aliingia room kwake, akiwa na furaha na hofu, huku anawaza kwa furaha, " aisee kumbe ni yeye kweli, ndio maana mtamu sana, na amezidi uzuri, sijui kama akinitambua atanielewa, ama atakuwa ananichukia🤔, ila jana nilimpa vizuri naamini tutaelewana vizuri, nilimtafuta sana, hatimae Mungu kaniletea, sasa nitamuoa nakuondoa kumbukumbu ile mbaya niliyomfanyia akiwa mdogo, sijui niliwaza nini, na ule utamu wake ukafanya adi leo namtafuta, siwezi ata kuwatizama wanawake wa aina yangu zaidi ya aina yake, nakupenda Dainess wangu, naomba tu usinikatili...
Alimpigia rafki yake na kumwambia, amempata kitulizoo wa moyo wake sasa, " Prince mbona sikuelewi asubuhi umekuja na mawazo ya kugiveup, ukadai muhimu ni chocolate pia uyo wa jana ndie kakuchanganya zaidi, utaoa huyo hata siku haijaisha tayari umebadiri mawazo🙌...
" Tito tatizo husikilizi, unadakia maneno kwa mbele, huyo unaemsema ndie huyo huyo niliekuwa namtafuta, huenda ndio maana nilipata hisia sana juu yake, " dah!! Hongera Bro, na mmekwisha yajenga? Hakuwa anakuchukia,? "Tito ndo nimejua saivi, hatujaongea chochote lakini siko tayali kumpoteza, kwa gharama yoyote, lazima nimpate, nampenda mno yani apa nikikupa kichwa changu uone ninachokiwaza, utacheka akili yote ni Dainess tu, sijui nitaingiaje ila lazima nimmiliki, ili niwe na amani ni lazima nimuoe ndio nitakuwa na furaha...
Upande wangu, sikuwa na waza chochote kwakweli, zaidi ya field yangu kwenda vizuri, niliwachukia wanaume wote, niliunganisha ubakaji niliofanyiwa na usaliti wa william, nikajiona kabisa mimi na kiumbe mwenye mkia mbele, hatuwezi kuwa na maelewano milele, nimeshatengenezewa mkosi na yule mbakaji, nilijikuta machozi yananitoka kwa maumivu, nilijikaza sana kulia, mpaka nikafanikiwa, na wafanyakazi wa hapa walionekana kumuogopa mno, mkurugenzi wao, kila mtu alikiwa akipewa onyo lazima aambiwe hii wiki yote, CEO atakuwa hapa,sasa mjichanganye muone anavyowafukuza, hana huruma wala msamaa...
Niliogopa kweli, nikaamua kuweka akili yangu bze na kazi, muda wa mchana niliitwa na MDO, nikaenda nikapewa jukumu la kusaidia CEO, yani mimi kwa hii wiki yote, nilipelekwa ofcn kwa CEO nikapewe ratiba yote, tulifika mimi apo natetemeka, nikikumbuka nilichokifanya jana, nahisi homa, nilifika nikatelekezwa kwa CEO, na mlango ukafungwa kabisa na CEO hapo mimi analudi kukaa natetemeka mpaka jasho linanitoka sielewi elewi...
Kupata yote hadi mwisho bonyeza link hii hapa juu au chini ukasome yote hadi mwisho...
EP 4.
Alinitizama sana, akasogea mpaka nilipo nikaanza kulidi nyuma mpaka nikafika ukutani, yeye mbele yangu, akaniinua uso nimtizame, sikuwa naweza kabisa, aliniachia lakini nikimtizama tu naona hakuwa sawa tayali alikuwa kawaza ujinga, na mbele kitu imesimama bila miguu, alijalibu kuificha lakini wapi, aliniita ila sauti yake ilikuwa ya chumbani kabisa, nikaitika tu, ndo Boss nitafanyaje, ila nikawa sitaki tena mazoea, alinipa ratiba ya kazi niliipitia na kukubali, nikaomba kuondoka...
" Dainess mbona husemi ata asante kwa kukusaidia jana? Alivyosema ivyo nilitamanj ata kujichimbia nipotee kwa aibu, niliongea bila kumtizama, samahani Boss sikuwa sawa, na ilikuwa mala yangu ya kwanza kunywa, naahidi sitoludia tena na hata kusogea tu maendo kama hayo sitoludia, nikapiga kabisa na magoti, alikuja nakuniinua, akasema " usiludie kunywa pombe ata kama ni nyumbani, na kama unamawazo hakikisha, unayatatua ukiwa na akiri sio unaziondoa vipi kama ungebakwa na watu wabaya? Ungekuja kunitesa kiasi gani mimi, nikashangaa kuja kumtesa🤔, mwenyewe akajishtukia na kiniomba niondoke nijiandae na latiba ya kesho leo ni mapumziko na yeye ndie atajaza report zetu za field...
Nikashangaa lakini sikuuliza, nikaondoka, Prince akabaki anajilaumu mbona hajaniambia kama abanipenda, alijilaumu mwisho akajipa matumaini bado muda upo, alijikuta ni kuwaza tu, mi nilivyotoka niliona nyumbani nitakuwa mpweke na hizi stress nilizonazo ni bola nibaki tu kazini kuhudumia wagonjwa, muda wa kutoka jioni anashangaa kuniona, ilibidi tu nijieleze, nyumbani niliona nitakuwa mpweke ni mgeni huku sina mtu ninaemjua ata wakupiga nae story, nikaona bola nibaki kuhudumia wagonjwa, alinitizama akaomba nipande anipe lift nikagoma, alichukia uyo ata sikujali, niliita tax nikaondoka, kumbe ananifatilia...
Nimefika nyumbani sina habari apo nimepanga kachumba kamoja, kwetu ilikuwa ni dernmark ndani ndani, na hapa nilikuja town, hivyo ilibidi nipange, chumba kimoja self, nilifika nyumbani nikaoga usiku saa 6 nilikuwa naingia zamu,nilipika nikala, nikajiegesha ilivyofika saa 5 na nusu nikaamka kujiandaa, ile natoka tu hivi nje, nakutana na CEO, akaniomba nipande tuwahi, kuna mgonjwa wa dharula tunasubiliwa, nikakosa ata muda wa kuuliza kapajuaje kwangu, kufika kweli kuna mgonjwa, tena ni oligo twins malpresantation...
Ilibidi kuwa bze na kazi, nyie usiku wagonjwa ndo wanazidiwa ndo kunakucha, yani mnamaliza huyu anaingia mwenye balaa zaid,mpaka inafika saa 11, niko hoi, niliyokutana nayo ni mpaka tumbo linatetemeka, Prince aliomba nimfate, kufika ofcn kwake akafungua room nyingine ilikuwa na kitanda, nikashtuka na kumtizama, akaniambia oga umo upumzike leo umefanya kazi ngumu kwa mala ya kwanza, nitakuamsha muda wa kulejea nyumbani, apo ata nikashusha pumzi, nikaoga nikalala, sikujua yeye kaenda wapi...
Kupata mwendelezo
Full 1000
Whatsp 0784468229.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments