Sikujibu kitu zaidi ya kulia tu, alizidi kunikumbatia uku ananiomba msamaa, P naomba niludi kwanza nyumbani, p alikataa kabisa akasema nimpe muda kila kitu kitakuwa sawa, sisi tutaishi hapa hapa, kesho nitamleta bibi, kule sio salama, wale wanawake wawili wana roho mbaya mno...
Na dada wa kazi nitakutafutia naomba unielewe, sikujibu chochote nililala tu bila mwafaka, asubuhi niliamka nakuta P kakaa ananilinda, nilivyoamka ananiuliza naend wapi, ata sikujibu, nilianza tu kufanya usafi, nikapika na yeye akawa ananisaidia, kidogo bibi akaletwa na Amir, chumba chake tayali P alikiandaa usiku...
Nilimuandaa bibi vizuli, alikuwa na msaidizi wake, niliandaa chakula nikajikaza nikaenda kumlisha, Bibi aligundua nina huzuni leo, alianza kunipa ushauli, nakuniomba niwe imala, nilijikuta nalia bibi akaomba nilie kando yake nitoe machungu yangu, nililia P alivyoniona nibavyolia aliumia mno, akaniuliza "Le mke wangu nuambie basi nifanyaje ili usilie, unielewe uwe na amani niambie basi mke wangu...
Sikujibu chochote, bibi aliomba tukae wote aongee na sisi alitujenga na kutuambia hakuna ndoa nyepesi bila msamaa, bila mshikamano, tukitaka kushinda kwanza kila mmoja amwamini mwenzake hata ikitokea nini asimshuku mwenzake hasa mbele ya adui, hili jambo liwe chachu ya kutuimalisha kuwa bola zaidi, tusikate tamaa na kulia lia, tunatakiwa kujua kipi tufanye, huu muda tunaolua umetosha sasa, tunatakiwa kupambana, lakini pia tunapaswa kutafuta pesa yote yanatutizama, tukiyapa maumivu nafasi kubwa tutashindwa kupambana na tutapoteza vingi...
Vita ya ndoa anaepaswa kuilinda kwa juhudi kubwa ni mwanaume, ili mwanamke awe imara kwenye ndoa na bora, anatakiwa kuwa na mwanaume anaemuamini, kumpenda na kumpa kipaumbele,ukimpa mkeonkipaumbele, atapata nguvu ya kukulinda na kuvumilia, na kutafuta njia za kuepukana na vioja vya maadui, lakini mme ukiwa kimya humpisaport mke wako hueleweki uko upande gani unamuua mkeo nguvu yakuwa na wewe, ata kuvumilia au kutatua tatizo, aliki ya mwanamke ni hatali sana ikiwa na utulivu, ukimpenda wewe mme wake ukampa utulivu mke wako awezi kukuangusha...
Atasimama imara na kuja na njia ambazo hutoamini salama na zakushinda, alitupa wosia mwingi mno, kidogo nikashusha hofu yangu japo bado nilikuwa na hasila na P kwa nini asingeniambia tu mapema, tulimaliza kuongea na bibi, tukatoka nikamuomba P niende nyumbani baada ya chakula cha mchana, P akakataa akahisi bado ninahasila nitakatalia kwetu, alivyogoma sikuwa na jinsi, nikaingia chumbani angalau tu nilale make kichwa kilikuwa kinaniuma vibaya mno...
Nimeingia chumbani na P nae kama mkia, akasogea mpaka nilipo, akawa anaongea mimi atasikuwa namsikiliza, nilikuwa nimechoka na kichwa inauma nikapitiwa usingizi, P amekuja kushtuka anaona niko kimya sana, ni machozi tu yanamdondokea, akacheki nimesinzia lakini machozi yako mpaka usingizini,aliumia mpaka ata kazini akawa anashindwa kwenda, zilipita wiki iliyofata akapigiwa simu kuna mwekezaji mpya, akamtuma bamdogo wake amsaidie kupitisha kama iko sawa...
Walikubaliana na huyo mwekezaji akaomba nafaso ya binti yake ajifunze kazi wakaandikishana adi mkataba wa kazi wa miaka mitatu,wa uyo binti, kama sectary, P alikubali, kwa sababu Amir, anampango nae mwingine mwezi ujao, kina kampuni nyingine, ya magari amefungua anahitaji kuia kipaumbele, inafanya vizuli sana kuliko ata hii kampuni mama...
Kupata mwendelezo
Itaendelea ....💥
Full 1000
Whatsp 0784468229.
Maoni
Click here to login and comments