Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  never give up harmonize

MAMA WA KAMBO ALIVYO TAKA KUNIMWAGIA MAJI YA MOTO USONI KISA NILIMUONA AKIINGIZA MCHEPUKO NDANI

26th Aug, 2025 Views 19



Baba yangu ni dereva wa magari ya masafa kwaiyo mda mwingi anakua hayupo nyumbani anaweza akamaliza hata mwezi hajarudi nyumbani kwaiyo mama wa kambo aliutumia kuingiza wanaume ndani

Naitwa Diana miaka 19 nipo dar hapa nyumbani tupo wa 4 mimi baba yangu mama wakambo pia yupo mkaka ambae ni mtoto wa huyu mama anampenda sana huyu yaani nikama roho yake
Nimepigwa sana kisa yeye kuna siku alinilazimisha nifanye mapenzi na yeye nilivyo Kataa alinipiga sana na akaondoka basi mama wa kambo arivyorudi nilimuambia kua kaka alitaka kunibaka nilivyo Kataa amenipiga hivi yule mama aliniangaria weee Kisha akanifyoza fyuuuu unaringa unanini sasa akaondoka zake na siku hiyo sikupata chakula nililala njaa

Kesho yake nilipewa rundo la nguo nizifue basi sikua na jinsi nikaanza kazi na wakati huo nilikua sina simu na alikua ananifungia ndani kama mfugo kiasi kwamba kuna mda nilikua nasikia njaa mpka kizungu zungu chakula napewa kama mbwa
Niwaambie tu wa baba kama una mtoto ambae analelewa na mama wa kambo kaa ukijua ukitoka tu naukasafiri jua mwanao anateswa sana na anapewa KIPIGO kikali huku akiambiwa ukisema tu nakukata kidole

Basi nilianika zile nguo nikarudi kukaa yule mama akaja kukagua kazi ndio akanipa chakula Mala nyingi sana alinitishia kuwa atanikata kidole endapo nitamuambia baba niwe mkweli baba akiwa pale nyumbani huwa nainjoi maisha yani huwa na furahia hii dunia iliyo jaa unyama na unyanyasaji Ila nilikua na sahau kila kitu basi pale nyumbani ni nyumba yenye Fensi ndefu na inawaya Fensi kwaiyo kunamda ilikua natamani nitoloke nielekee huko nikajitafute Ila nilishindwa

Na kumbuka baba alikuja siku hiyo basi tulimpokea pake na aliniona usoni nimevimba vimba akaniuliza vipi umefanyaje usoni nikamuambia nimeanguka nilikua nadeki sikutaka kumuambia baba maana niliona wanapenda sana na huyu mama wa kambo basi wakati tunaongea nikamuuliza baba mama yangu yuko wapi akaniambia alipotezana nae Ila nasikia yupo humu humu Dar tuliongea mengi sana na apo mimi nilimaliza kwa kusema baba naomba umtafute na mimi nimjue basi akaniambia Sawa mwanangu na wakati tunaongea yote hayo tulikua chumbani kwangu na aliondoka akaniambia nitakununulia simu maana umekua sasa na ww nikacheka tu kwa furaha alinianga anaenda kuangalia mpira

Basi hazijapita hata dakika Mbili mama wakambo aliingia ndani nilisituka alinza kunivuta masikio akaniuliza nimeongea nini na baba yangu nikamweleza yote hakulizika Alienda kuchukua mwiko alinipiga nao shingoni mpk nikazimia nimekuja kuzinduka namuona yule Mala kashika mwiko na kuniambia ukimwambia chochote baba yako nitakuzimisha tena ila safari hii nitakuua kabisa basi nilitetemeka sana aliondoka

Basi ikafika mda baba naye akarudi kweli alikuja na simu akanipa aliniambia utakuwa unanitafuta ili nikujulie hali sikua na furaha kabisa akaanza kuniuliza vipi binti yangu hujapenda Kabra hata sijamjibu nilimkumbatia baba yangu huku machozi yakinitoka kama maji basi alinibembeleza pale baadae alinianga usiku Mwema akaenda kulala na mama wa kambo

Asubuhi tu namkuta kaka anaosha vyombo nilisituka sana maana ni maajabu Kamaliza akafanya na usafi huku mm bado naangaria tu maajabu eti mama wa kambo kachukua taulo anadeki jamani basi baba nae aliamka akakuta SOTE tupo bize kweli kweli siku Ikapita Kesho yake baba alituaga pake akaniachia elfu 80 ya matumizi yangu na akampa mama wa kambo laki Mbili na nusu wakaagana pale kwa kwa kasiss frani hivi basi akasema tukae kwa amani

Hakufika hata mbali yule mama alininyanganya ile pesa yote akampa mwanae wa kiume nililia sana akaniambia mbwa wewe toka apa unanipigia kelele mpumbavu mkubwa

Kweli niliondoka nikaenda chumbani kwangu kulia kuhusu simu sikumwambia yoyote yule nilifanya sili
Basi bn siku iyo nilikua naosha vyombo nikamuona mama wa kambo akiwa na mwanaume wakaingia ndani najua walifanya mapenzi ila walivyotoka alinikata jicho hilo wakasindikizana hao Mpak arivyorudi sasa aliniambia nikisikia umemuambia baba yako unajua nakufanya nini nakushona hilo bakuli lenye manyoa akanipiga Kofi akaenda ndani basi niliumia sana ila sikuwa na jinsi nikiwa ndani kaka nae alikuja ndani kwangu kama kawaida alinilazimisha sana kuniingilia Ila hakufanikiwa akanipiga tena ilikua inaniuma sana mpk Nikataka nimuambi baba maana simu ninayo sasa
Huyu mama tabia yake ya kumleta yule mchepuko wake ikawa ni mwendelezo yaani ni kila siku na ujue kila akija mchepuko lazima nipokee KIPIGO kilali cha onyo nipo hapa kuwaambia kuwa huyu mama wa kambo alikuja ndani ameshika sufuri likiwa na maji ya moto lengo lake ilikua ni kuniunguza maana mchana wake aliniambia nimfulie mashuka ambayo wanachafua kila siku na yule mchepuko wake mimi nilikataa akaniambia ngoja leo nitakuonesha sasa ndo alikuja kwa rengo la kunimwagia hayo maji basi bh sio kinyonge alivo taka kunimwagia aliyarusha maji nikayakwepa yakawa yamebakia kidogo basi akataka anishike mkono eti animwagie usoni basi na mimi kwenye harakati za kujipambania basi yule mama nilifanikiwa kummwagia maji yale kuanzia kwenye goti mpka mguuni asikwambie maji yalikua ya moto kiasi kwamba yaliondoka na ngozi alilia sana huyu mama wa kambo mpk alitia huruma
Sasa kuja kwenu naombeni mawazo yenu ndo kama hivo mama wakambo mguu hatufanyi kazi maana baba naye alikuja kwasababu aliambiwa mkewe kaumia je nimwambie baba kila kitu au sio wakati sahihi naombeni ushauli.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAMA WA KAMBO ALIVYO TAKA KUNIMWAGIA MAJI YA MOTO USONI KISA NILIMUONA AKIINGIZA MCHEPUKO NDANI  >>> https://gonga94.com/semajambo/mama-wa-kambo-alivyo-taka-kunimwagia-maji-ya-moto-usoni-kisa-nilimuona-akiingiza-mchepuko-ndani

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
profile
mjukuu 26 Aug 2025 19:28
MAMA WA KAMBO ALIVYO TAKA KUNIMWAGIA MAJI YA MOTO USONI KISA NILIMUONA AKIINGIZA MCHEPUKO NDANI
never give up harmonize
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest