Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  never give up harmonize

MSINYIMANE 04 ❤❤. ENDELEA......... Pendo alienda kwa mara nyingine tena baada ya

26th Aug, 2025 Views 35

kuitwa.
"Hii ofisi mmeifanyia usafi nayo?"
"Ndio tayari"
"Hapo sawa unaweza kwenda!"
Aligeuka na kuondoka na kijana alibaki akijilaumu kwanini kashindwa kumuomba mzigo Pendo.

Kwakuwa mda wa kuondoka ulikuwa bado kwa Pendo licha ya kumaliza kazi yake alitafta sehemu tulivu na kukaa zake na haukupita mda alifatwa na mfanyausafi mwenzake.
"Boss anakuita!"
"Yupo wapi?"
"Ofisini!"
Pendo alienda mpaka ofisini na kumkuta akiongea na simu.
"Subiri nitakurudia baadaye!"
Alikata simu na kumtazama Pendo.

Boss alikuwa na maana yake mpaka kuamua kumpatia kazi na sababu kubwa ni minya..nduo tu!.
Jicho lake lilitua kwenye sura ya bibie na Pendo kwa aibu aliangalia pembeni.
"Jioni ya leo utakuwa na mda?"
"Ndio boss!"
"Basi jiandae kuna sehemu nitakupeleka na pia shika hii pesa ya matumizi madogo madogo!"
Nae pasipo kushitukia mchezo alinyoosha mkono wake na kuichukua pesa aliyopatia.
"Mnaweza kurudi nyumbani wewe pamoja na mwenzako maana hakutakuwa na kazi tena mpaka kesho!"
"Asante boss"
Pendo alinyenyuka na kutaka kuondoka ila Boss wake alimwambia andike namba ya simu ndiyo aondoke.

Alifanya kama alivyoambiwa na baada ya hapo akaondoka huku akichekelea kwa kupewa mtonyo, alifika kwao na kumkuta Aunt yake.
"Mbona mapema ivi!?"
"Kazi imeshaisha, hapa mpaka kesho tena ila Boss kasema jioni nionane naye"
"Kama ni hivyo haina haja ya kuacha kazi yako ya kuuza matunda, ukitoka zako kazini unajichanya tena mtaani!"
"Dah, sema inachosha mno Aunt hiyo kazi"
"Ndio ukubwa huo huna namna au unaogopa kuombwa?"
"Wanaboa bhana karibu kila mwanaume anayekusimamisha lazima akuingizie mambo ya midinya**no mpaka kero!"
"Hahahahahaha vumilia bhana au vaa pete ya ndoa ya uongo ili usiwe unasumbuliwa!"
"Hilo nalo wazo!"
Pendo alikubali kuchakarika huku na huku ila siku hiyo hakuwa na mpango wa kuingia mtaani.

Mida ya jioni ilifika na Pendo alijiandaa kwa ajili ya kwenda kuonana na Boss wake, alichoamini yeye ni maongezi ya kikazi tu na sio mambo mengine.
Alifika na kumkuta tayari ameshafika na macho ya boss wake yalikuwa kwake mda wote.
"Umependeza sana mre..mbo!"
"Asante boss!"
"Ni kawaida yangu kumtoa out mfanyakazi wangu mpya hivyo jiachie na kuwa huru kabisa!"
Pendo aliona maisha si ndiyo hayo, aliagiza alichotaka kula na msosi wa maana uliletwa ila macho ya boss wake hayakukoma kumtazama, mara kwa mara yalitua kwenye chu***chu zake na kusababisha mpaka u**boo wake usimame.
"Unaonaje kama ukihamia kwangu kabisa nitakulipa mshahara mara tatu!"
"Nihamie kwako?"
"Eeeeh!"
"Mbona itakuwa ngumu maana naishi na Aunt"
"Hakuna kinachoshindikana bhana mbele ya pesa, hamia kwangu uwe unamsaidia mke wangu maana nimjamzito sasa ivi na sio mda atajifungua na binti wa kazi aliyekuwepo yupo likizo!"
"Kama ni kwa mda haina shida boss nimekubali!"
"Hayo ndiyo mambo sasa!"
Boss alichekelea baada ya Pendo kukubali, walikula na kunywa na baada ya mda kwenda waliagana na Pendo akarudi kwao.

Pendo alijiona kapata bahati ya kipekee kutokana na ukarimu wa boss wake na kilichomvutia zaidi ni kutokuombwa kitu..mbua na boss wake, baada tu ya kufika kwao kila kitu alimwambia Aunt yake.
"Usiipoteze hiyo bahati Pendo wewe nenda!"
"Nimeshakubali tayari tena kesho tu nahamia kwake!"
"Hapo sawa!"
"Ila niliogopa aliponiambia nikaonane naye nilihisi tu na yeye ataniomba!"
"Hahahahaha watu wanatofautiana bhna sio kila mwanaume anaitaka hiyo ya chi**ni wengine ni wastarabu kabisa hawana mambo hayo!"
"Upo sahihi boss wangu ni msitarabu balaa!"
Sifa kede alizimwaga kwa Boss wake na siku iliyofatia aliamkia kazini kwanza kwenda kufanya usafi na alipomaliza alirudi nyumbani kwao na kubeba vitu vyake na kuhamia kwenye nyumba ya Boss wake tena akipelekwa na yeye mwenyewe.
"Karibu hapa ndiyo kwangu!"
"Asante Boss!"
"Ingia ndani!"
Kwa hofu kubwa aliingia mpaka ndani akamkuta mke wa boss wake kakaa kwenye kochi.
"Romi huyo nani?"
"Mfanyakazi wa kutusaidia kwa mda!"
"Nini wewe? unaletaje mfanyakazi mzu..ri kiasi hicho ndani ya nyumba yetu?"
"Mhimu kazi zifanyike mambo ya uzuri achana nayo!"
"Simtaki mtoe ndani ya nyumba yangu!"
"Ingiza mabegi yako kwenye kile chumba!"
Pendo alibaki kaduwaa akimtazama Boss wake, hakujua afanye nini baada ya mke wa Boss wake kugoma kabisa yeye kuishi ndani ya nyumba hiyo.
"Nimesema ingiza mabegi kwenye hicho chumba unashangaa nini?".......ITAENDELEA.

WhatsApp 0748697173
Full Tsh 1000, Namba ya malipo 👇🏻👇🏻

LIPA NAMBA 67027625 - VODACOM JINA JOHN ELIAS..
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MSINYIMANE 04 ❤❤. ENDELEA......... Pendo alienda kwa mara nyingine tena baada ya  >>> https://gonga94.com/semajambo/msinyimane-04-endelea-pendo-alienda-kwa-mara-nyingine-tena-baada-ya

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
never give up harmonize
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
VERY HANDSOME ?Lover boy??
VERY HANDSOME ?Lover boy??

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest