Simba watalazimika kuiombea ushindi Yanga kesho kwenye Ligi ya wanawake
30th Nov, -0001 Views 14
Simba watalazimika kuiombea ushindi Yanga kesho kwenye Ligi ya wanawake
Kama JKT atafungwa vs Yanga Simba watakuwa wamejiwekea njia nyeupee kutwaa Ubingwa ila Yanga akifungwa JKT ataukaribia Ubingwa kwa 90%
Haya sasa…! Mashabiki wa Yanga mpo tayari kumkabidhi Ubingwa Simba!?
Pichani ni mchezaji mmojawapo wa JKT Wacha kabisa.
Maoni
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Simba watalazimika kuiombea ushindi Yanga kesho kwenye Ligi ya wanawake >>> https://gonga94.com/semajambo/simba-watalazimika-kuiombea-ushindi-yanga-kesho-kwenye-ligi-ya-wanawake
Maoni