Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

CEO NISAMEHE SIRUDII TENA SEHEMU YA KUMI NA TANO*

16th Sep, 2025 Views 32



Nilifanya kama, alivyonielekeza mme wangu, Najma aliletwa mpaka tunapoishi, akae hapo, na mwanae mimi kama siwezi kukaa nae basi niondoke,aliletwa na mama mkwe, mimi ata sikujibu chochote, nilikuwa nataka kutoka nikaghaili, nilikuwa nishampeleka mtoto shule, ikabidi niingie chumbani nikajifungia, nakumpigia Naseer nikamuomba aje kidogo nyumbani kama ananafasi, akapata hofu kuna tatizo? Nikajibu hapana nilikuwa nimekumiss tu...

Alishangaa, akasema unauhakika nikajibu ndio, akasema anakuja, kweli hakukawia akawa amefika, alishangaa kumkuta Najma, alimtizama kwa jicho kari, Najma aliinuka ili ampokee, Naseer aligoma akamkwepa nakukimbia kuja chumbani uku ananiita, nilifungua mlango, akawa ameingia,tukafunga, akashusha pumzi uku kanuna ehee hiki nini?

Ilibidi nianze kumuelezea mkasa mzima, alichoka akasema ivi mama anashida gani lakini? Aliniambia apa tunahama, leo hii, andaa kila kitu cha muhimu wewe na mtoto, nilimuomba anisaidie peke yangu sitaweza kuwahi, aliomba nikafunge vya mtoto, niliingia chumbani kwa mtoto, Najma ananitizama tu...

Nilikusanaya kila kitu mpaka saa kumi kila kitu kilikuwa sawa, ilivyofika saa 3 usiku, Najma akataka kuingia kulala chumbani kwetu, Naseer akamzuia, Akamwambia chumba chake kilipo, lakini aligoma na kusema yeye ndie mkubwa anahaki ya kuchagua na kupanga, akaambiwa aya subili mwenzio atoe vitu vyake ili, uingie akakubali, niliingia nikatoa mabegi yote yanguo, na viatu,kabati niliacha yani ilikuwa ni nguo tu na picha fenicha hatukubeba...

Najma alijua ni vyangu, tu, shuka nilimuachia zilizokuwa zinakaa chumba cha wageni, nilizokuwa natumia zote nilibeba, pazia pia nilimuachia,alijiona mshindi mno, akawa na furaha, akaomba sasa zamu ipangwe, akataka aanze yeye kwasababu muda mrefu mimi ndie nimekuwa nae, Naseer akagoma nakuondoka...

Alivyoondoka tu, Najma akanitizama kwa jicho la matamanio nakusema, ukweri kutoka moyoni nimekumiss mno, naomba tusigombane mimi sina shida na Naseer nina shida na wewe, naomba kesho ufanye kila unaoweza unipe mpaka nichanganyikiwe, nimekuja na zana za maana kabisa yani utaenda baby, aliongea kisha huyo akaingia chumbani, kumbe Naseer kasikia, alipanic akaita usafili muda huo huo tuondoke, yani Najma ata hakuwa na muda na mwanae kabisa japo hawajaonana mda, nilizidi kushangaa mno...

Itaendelea....

Full 1000
Whatsp 0784468229.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CEO NISAMEHE SIRUDII TENA SEHEMU YA KUMI NA TANO*  >>> https://gonga94.com/semajambo/ceo-nisamehe-sirudii-tena-sehemu-ya-kumi-na-tano

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest