Siku ilipita vizuri, kesho yake Albert aliondoka, na kuniachia pesa ya matumizi na kuomba nimjulishe wakati wa kurudi aniijie,nilikubali akamuachia na bibi laki 2 , kisha akasepa, bibi alifurahi akasema mama ako saiv ata weka wapi sura yake? Nikacheka nakuanza kumsimulia siku ya mahali ilivyokuwa, tulicheka wenyewe, upande wa Albert alirudi na kuacha gari mahali , kisha akarudi dar, alifika akakuta kwao kuna kelele yule demu wake kaja anadai anamimba yake, Albert alikataa nakumwambia nilikwambia mimi tayari nina mtu wangu, na siku zote nilikuwa na tumia kinga na wewe hio mimba imeingilia wapi, " Albert ni kweli ulisema hivyo lakini mimi nilikuwa nakuhitaji nilitoboa kinga ili nipate nafasi kwakoπ...
Pole kama ulifikiri hio ndio njia yakunipata pole tena mimi sikupendi kwako nilikuwa mpitaji na uzuri nilikuambia kabisa, sina makazi na wewe ulikuwa na bwanaako tukakubaliana leo unasema ujinga gani? Mama ake Albert akaingilia, "mwanangu kumbuka uyu binti kabeba dam yako, mama ata akibeba na figo zangu kwangu sio sababu, siwezi kuoa mwanamke ambae sijampenda, wa tamaa tu, hio ndoa haitafika popote, mimi kwake nilikuwa wazi kabisa alitakiwa aishi kwenye makubaliano basi...
Mwanangu unataka kuwa kama baba ako? Yaani unatelekeza damu yako? "Mama unajua ninachokiongea lakini? Mimi siwezi kuoa mke wa starehe kuna mke wa kuo aafu kuna wa matumizi tu kwangu huyu alikuwa ni kama kivuko tu cha kukata kiu yangu, kweny kukata kiu huwa hatuangalii upendo niyeyote tu naweza pita nae , ila mke natakiwa nimpende upendo ndio utakao fanya tudumu, tuvumiliane, na kusameheana, yaani mtu nisipompenda atakumsamehe tu naona jam, uyu binti mama kajitakia mwenyewe, sasa atachagua moja, kuzaa au kutoa, akizaa mimi kulea sion tatizo ila kumuoa siwezi ata kwa bahati mbaya..
Wewe mtoto wewe una laana? Ee unataka kufata umalaya wa baba yako si ndio? Mama sasa hapa mzee kaingiaje? Unaona nakuona tu siku izi unamtetea baba ako, unajua nimeteseka kiasi gani na wewe? Baba ako alikuwa bize na wanawake zake, bila mimi wewe ungekuwa hapa? "Mama acha kutengeneza drama na huruma saivi ndo nimeanza sasa kuelewa kwa nini sitakiwi kuingilia ugomvi wako na baba kwa haya ninayoyaona haya π..
Itaendelea...π₯
Full 1000
Whatsp 0784468229.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments