Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJILI EP 13

17th Sep, 2025 Views 57



Ile sauti ya Hemed na vile bado nilikuwa kitandani ukizingatia kimkojo kilikuwa kimenibana lolπŸ™ˆhamu tu ndo kitu nilikuwa nakisikiaπŸ’‹

Akiongea mwili mzima ulikuwa unasisimka nabaki kugugumia kimya kimya kisauti sasa kama niko natiwa duduπŸ’‹πŸ’‹

Yeye mwenyewe alikuwa hoi taabani hahahaaaa nyieee mapenzi hayaπŸ™ˆyani unaongea na mtu kwenye simu unasikia hisia mpaka unatamani ile kitu..

Hemed aliniomba nijiandae then anakuja kunichukua na aliniomba nivae nguo ya heshima😯😯😯mbona nguo ya heshima au unanipeleka ukweniπŸ˜‚

Akacheka akaniambia huenda huezi juaπŸ˜‚πŸ˜‚nilimwambia sawa basi nitavaa ya heshima baba..

Baada ya kumaliza kuongea na wa rohoni niliamka na tabasamu murua nikaelekea washing room..

Nilikoga vizuri nikajiweka fresh huku nikiwa naimba imba nyimbo fulani hivi tamu za mapenziπŸ₯°πŸ₯°...

Asikwambie mtu bwana raha ya penzi umpate wa kuendana naye umpende akupende vikwazo na mikwaruzano havikosi ila upendo wa dhati hufunika vyote hivooπŸ₯°πŸ₯°..

Baada ya kuoga nilipangilia nguo ya kuvaa😍😍as we know babe kashaniomba nivae nguo ya heshima huenda napelekwa ukweni or kwa marafiki zake sijui lakini nahisi tuπŸ˜‚πŸ˜‚..

Nilihakikisha nimependeza kuanzia kichwani mpaka kwenye unyayo😍😍😍 nilipokwisha kumaliza nilimpigia Hemed video call nikamuuliza babe how do I look πŸ˜΄πŸ˜‹πŸ₯°πŸ˜..

Alitabasamu kisha akaniambia you look Good babe very beautiful 😍 very demure πŸ₯°πŸ₯° Very mindfulπŸ’‹β€οΈβ€οΈ..

Hahahaaa raha ya kusifiwa usifiwe na mwandani wakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚β€οΈβ€οΈhaikuchukua muda babe alikuja kunichukua aliniomba nisile chochote maana huko tunakoenda kuna bufee la kufa mtuπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜..

Tulipanda zetu kwa gari safari ikaanzaπŸ’ƒπŸΌπŸ’ƒπŸΌπŸ’ƒπŸΌwapi tunaenda kwa nani na kwa nini????Sikujua...

Safari haikuwa ndefu sanaaa ilichukua kama dakika 45 tu tukaingia kwenye jumba moja hivi lina muonekano mzuri sana..

Geit la hiyo nyumba lilifunguliwa na security tukakaribishwa kwa heshima sana😯😯😯ni wapi huku Mungu wangu mbona tunasalutiwa hivo..

Gari iliingia packing tukashuka then nikamsikia Hemed akiita kwa nguvu mom I'm home where are you guys😯😯

Uuuwww kwa hiyo kanileta kwao😴😴😴lol lol miguu mpaka iliishiwa nguvu..

kiuoga fulani kwa mbali hahahaa si mnawajua wazazi wa kibongo kwa kuwachambua wachumba za vijana wao hawajambo lazima mtu uogopeπŸ˜‚
Ndani ya sekunde akatoka Mr Martin 😳😳😳yule mbaba alonichukua shuleni kwa kina poppy siku ile akanipa na tissue nifute machozi 😯😯😯..

Alikuwa na mke wake Mrs Martin mama fulani hivi ana weusi wa kuteleza very cutesy ❀️❀️❀️

Alitoka na mdada fulani rika langu karembo kenyewe na dogo mmoja wa kiume kwa pamoja wakatwambia wow karibuni tulihagiwaa hapo mabusu teletele ushawahi kubusiwa na baba mkwe weweπŸ˜‚πŸ˜‚

Familia ina uzungu mwingi ileeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanafamilia wengine tuliwakuta ndani yani kiufupi karibia ukoo mzima wa Hemed ulikuwepo pale😯😯😯..

Nilikaribishwa kwa shangwe na vigelegele hahahaaaa nikasalimia ndugu wote nikatambulishwa nani ni nani nikapata kuwafahamu..

Mr Martin ni baba wa Hemed nyieeeeπŸ™ˆπŸ™ˆhivi siku ile ningejichanganya si ndo ningekuwa sifai tena kuwa mke wa HemedπŸ˜‚πŸ™ˆ

Mjue siku ile ilibakia kidogo nimuombe namba yule mbaba kwa kuzania ni shuga Daddy litakalonifaa maishani kumbe ni baba mkwe dahπŸ™ŒπŸ™Œ

Nini kitafuata????

Fuatilia sehemu inayofuata...
Full 2000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJILI EP 13  >>> https://gonga94.com/semajambo/mrembo-yatima-na-kijana-tajili-ep-13

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Tangazo - Kama wewe hujatimiza miaka 18+ usije nasema usije kabisa ni wakubwa tu
Kama wewe hujatimiza miaka 18+ usije nasema usije kabisa ni wakubwa tu
Kama wewe hujatimiza miaka 18+ usije nasema usije kabisa ni wakubwa tu

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest