Tessy akiwa bado kaganda anashangaa mara shahid aligeuka alipomuona akitoa haraka mkono kwenye tumbo la Shania. Tessy alipeleka juice Shania alichukua haraka grass ya juice na kuinywa moja kwa moja kama mtu mwenye kiu, alikunywa yote akarudisha grass kwa Tessy ambae alikuwa bado kasimama.
"Tessy naomba ukae hapo nina maongezi na wewe. Tessy alikaa wakati huo Shania alikuwa akizunguka pale sebleni mara ashike uwa mara.
aguse pale.
Tessy kuanzia sasa Shania ataishi hapa ndani na sisi.
"Boss kumbuka huyu ni mtu na ana ndugu......
Inatosha Tessy sijakuita hapa kutaka ushauri nimekuta hapa kukuomba tusaidiane kumuangalia na kuanzia mwezi huu nitakulipa mshahara mara mbili.
Tessy alionyesha kufurahia.
"Boss kuhusu hilo halina shida huyu Shania hawezi kunishinda nitamuangalia vizuri mpaka mwenyewe utafurahi.
'shhhhh isipige kelele amelala.
Sijali nataka aamke. Aisha alitaka kushuka kichwa cha Shania lakini Shahid waliwahi kudaiwa mkono wa Aisha.
"Twende nje tukaongee.
Yani Shahid unanishika mkono wangu kwa nguvu hivi kwasababu ya huyu mwanamke?
"Punguza kelele twende tukaongee nje.
Aisha hakumuelewa Shahid aliendelea kupiga kelele na kuongea kwa sauti. Shahidi alitoa kichwa cha Shania taratibu kwenye mapaja yake kisha akaweka mto na kumlaza vizuri wakati huo Aisha alikuwa na wivu pamoja na hasira. Aliinama na kumvuta Shania mpaka Shania akaamka.
Umefanya nini sasa? Shahidi aliongea kwa
ukali huku alimsukuma Aisha.
"Shahid unanisukuma?
"Toka nje.
"Unanifukuza kwaajili ya huyu kinyago wako?
Aisha alitaka kumvamia Shania, Shahid aliwahi kumdaka na Shania akajificha nyuma ya shahidi kwa hofu.
Sikubali shahidi lazima nimuonyeshe huyu mwanamke wako.
Toka hapa, toka... Shania alimfukuza Aisha
huku akirusha mikono yake.
"Tessy, Tessy.... Shahidi aliita.
"Abeee.... Tessy alifika mara moja.
"Mchukue Shania mpeleke chumbani. Tessy
alimshika mkono Shania wakaenda chumbani. Wakati huo Aisha alikuwa anacheka kwa nguvu
huku akiwaangalia Tessy na Shania.
Hebu niache huko. Shahidi alimuachia na kusema.
Sitaki vurugu nataka tuongee nikueleze kila kitu.
Je Shahid atamwambia ukweli Aisha au atamdanganya?
Full 1000
Whatsp 0784468229.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments