Kocha Fadlu Davies anahitajika Raja Casablanca ya nchini Morocco π²π¦ malipo ni mazuri
18th Sep, 2025 Views 11
na maradufu ya kile anacholipwa Msimbazi, kama ataamua kuondoka maana yake anaondoka na benchi lake lote la Ufundi, inatajwa pia kuwa Kocha Matola ni sehemu ya timu yake kwasasa ya kwamba endapo ataondoka basi ataondoka nae ijapo bado sio taarifa rasmi..
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Kocha Fadlu Davies anahitajika Raja Casablanca ya nchini Morocco π²π¦ malipo ni mazuri  >>> https://gonga94.com/semajambo/kocha-fadlu-davies-anahitajika-raja-casablanca-ya-nchini-morocco-malipo-ni-mazuri
Maoni
Click here to login and comments