Ni Kweli ile ilikuwa ni Offside.
Wakati Prince Dube anatoa Pasi Pacome Zouzou alikuwa kwenye Eneo la Kuotea, Maxi Mzengeli pia alikuwa amezidi mkono, Lakini Pia wakati Maxi anapokea Mpira Pacome Zouzou alimchezea Faulo Rushine De Reuck, Kibendera Ndiye aliyeniangusha kwenye kufanya Maamuzi. Hata hivyo siwezi kumlaumu mkono Wala kujilaumu sababu ilikuwa ngumu kwetu kung'amua mazingira tata yale
Amesema Referee Arajiga wakati anaulizwa na ceramic media tv.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments