Ni 2019 kwenye afcon iliyo fanyika pale misri, Tanzania dhidi ya Senegal, pali shuhudiwa bonge la mbungi ambapo stars alikufa mbili bila,
18th Sep, 2025 Views 10
Cha kufurahisha zaidi ni goli la huyu krepin diata, aliachia shuti Kali dakika ya 65 mpaka watu Waka hisi dogo alikuwa na mpango wa kumuua manula, bahati nzuri manula hakujisumbua kufuata mpira mpaka ukazama wavuni, kesho yake nchi nzima mtandaoni ni picha za huyu dogo, Mwite Krepin Diata ambaye hato Toka kwenye fikra za Tanzania one π.
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Ni 2019 kwenye afcon iliyo fanyika pale misri, Tanzania dhidi ya Senegal, pali shuhudiwa bonge la mbungi ambapo stars alikufa mbili bila,  >>> https://gonga94.com/semajambo/ni-2019-kwenye-afcon-iliyo-fanyika-pale-misri-tanzania-dhidi-ya-senegal-pali-shuhudiwa-bonge-la-mbun
Maoni
Click here to login and comments