Nilitembea mdogo mdogo mpaka kwenye gari Hemed akashuka akanifungulia mlango nikapandaππakanifungia mkanda lolπ
Nyiee unaeza ukapagawa nawaambiaππ aliniambia umependeza sana mamaβ€οΈβ€οΈ..
Nikamwambia thank you you look Good tooπ₯°β€οΈ akasema thanks, hope you Good nikamwambia yes I'm fine...you??? Akajibu I'm too fine..okay
Tuliondoka mpaka chuoni hii ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kupelekwa chuoni na ndinga tena ndinga ya pesa ndefu nyiee..
Nilitamani nimzuie Hemed asinifikishe chuoni nilihofia watamuibaπππnaanzaje kumwambia uuwww si ataniona nimemzimikia kupita kiasi.
Tulikwenda mpaka parking akasimamisha gari akashuka akaja kunifungulia mlango uuuwww ππ akanishika mkono nikashukaπ
Wanafunzi walikuwa wanashangaa leo chuoni kaletwa nani jamani walihisi huenda waziri wa kitengo fulani kumbe ni mimi maskini kapukuπ
Bellaπ³π³π³kila mmoja akashangaa baada ya kuniona nikiwa nimeshuka kutoka ndani ya lile gari expensive..
Baada ya kushuka Hemed aliniambia take care babe i love youβ€οΈβ€οΈ nikamwambia thank youuu take careπ₯°π₯°π₯°
Sikumwambia I love you too alijisikia vibaya lakini niliondoka zangu tusiendelee kubakia pale kama maonyeshoππ
Hemed naye aliondoka nilimwambia jioni saa 10 ndo nitatoka chuoni akasema atamtuma mtu aje kunichukua alidai hiyo mida atakuwa kwenye kikao..
Basi bwana ile pesa ya siku ile nilopewa na Hemed nililipia madeni nilokuwa nayo chuoniππ
kuna mitihani nilikuwa sijaifanya kutokana na kutolipa Ada ilitakiwa niifanyee baada ya kulipa..
Ndani ya hiyo week nzima nilikuwa bize na mitihani na namshukuru sana Hemed alikuwa ananijali vibaya mno..
Nilikuwa nikitoka chuo namkuta nje ananisubilia na asubuhi yeye ndo mtu alikuwa ananiamsha kwa ajili ya kujiandaa kwenda chuoni..
Usiku ataniamsha nijisomee alikuwa anajali sanaaaaβ€οΈβ€οΈβ€οΈ..
Week iliyofuata ndo ilikuwa week ya poppy kuanza kuishi shuleni tayari alishalipiwa kila kitu..
Mimi nilimfanyia tu shopping ya vitu kidogo akaenda navyo sheleni ..that time nilikuwa na vipesa pesa ninavyopewa na Hemed hahahaaaππ..
Baada ya poppy kuondoka home nilibaki peke yangu nakumbuka siku moja ijumaa Hemed alipokuja kunichukua chuoni aliniambia siku inayofuata tutoke kuna sehemu alihitaji nimsindikize..
Wapi??? Hakuniambia alidai ni surpriseππmi nilimkubalia maana hata sikuwa na mishe yoyote ya kunizuiaπ₯°π₯°π₯°
Kama kawaida yake alinipeleka nyumbani nikakoga nikabadili nguo tukatoka kwenda kula..
Siku hiyo nilivaa nguo matata sana ilimchanganya vibaya Hemed..
Nakumbuka usiku aliponirudisha nyumbani kabla sijashuka kwenye gari Hemed alinizuia kushuka akaniambia kabla sijashuka kuna kitu anataka kuniambia.
Kitu gani??? Nilimuuliza
Akaniambia anahitaji kiss eh nyieeeπ΄π kabla sijaanza kujitetea nikashangaa ananivuta kifuani kwake oopsπ
Lips zake laini zikanivamia mdomoni kwangu ooh shit babe please i was like ooh majirani watatuchungulia kwenye gariπππ
Kwani alisikia sasa ndo kwanza alisogeza lips zake mdomoni kwangu akanikamatilia vizuri akaanza kuninyonya na kunipapasa Oooohhh ππ
Itaendeleaaaaaaa
Full 2000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments