Jamaa yuko smart sana,muda wote anasubiri mshambuliaji afanye movement ya kwanza kisha yeye anaingia kuondoa uchafu.
Jamaa anafanya interception,sliding tackle na standing tackle kwa utulivu na umakini mkubwa sanaβ¦.mbele yake mtu anaondoka ila mpira unabaki.
Kama siyo yeye jana zingefika 3 au 4..
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments