Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️* 16

18th Sep, 2025 Views 78


*___________*

*SEHEMU YA 16*

Tulimaliza kufanya usafi tukaenda kukoga then tukapata kifungua kinywa tulipomaliza mama akaniomba tutokeπŸ₯°

Tulitoka mimi na Mom pamoja na missa my Wiii hahaaa nakapenda sana kawifi kangu❀️❀️..

Mom alinipeleka shopping nikanunua nguo maana siku napelekwa ukweni wala sikubeba hata nguo ya kubadili..

Nilinunua nguo za ndani na nguo za kubadiliπŸ₯°πŸ₯° viatu pochi pafume kila kitu mom aliniambia nibebe kila kitu nachohitaji..

Baada ya shopping tukapita photo shoot nyie mama mkwe wangu ana uzungu yule hahaaaπŸ₯° tulipata picha kadhaa alidai anataka kubaki na picha za kumbukumbu..

Alimwambia pia yule mtu wa photo shoot aje home atuchukue picha za familia nzimaπŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°β€οΈbasi tulirudi nyumbani nikamkuta Hemed wangu wako zao wanapiga story na baba..

Nilipima nguo zangu zilikuwa nzuriπŸ₯°πŸ₯°πŸ™Œ haikupita muda mtu wa picha alikuja tulijitayarisha tukaenda kuphotoa picha tulipomaliza tukaenda kuandaa chakula cha mchana mimi na missa..

Sikutaka kuondoka bila familia kuonja pishi langu hahahaaaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œnilimwambia missa wee niandalie tu viungo then uniachie jikoπŸ₯°πŸ₯°..

Nilipika chakula kitamu sanaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œwakati wa kula nikawa nawaona wazee wanavokonyezana tu na kuambiana kweli hapa kijana wetu hajaangukia pua huyu mwanamke ni wife material..

Nilifurahi kwa kweli chakula kilikuwa kitamu sanaπŸ₯°πŸ₯° baada ya kula nilikwenda kusaidia kuosha vyombo then tukapumzika kidogo jioni ilipofika tukatoka kutembea tembea mimi na HemedπŸ₯°β€οΈβ€οΈβ€οΈ..

Tulikaa pale ukweni siku tatu tukaondokaπŸ₯°πŸ₯° nilipapenda na niliipenda pia familia ya mme wangu mtarajiwaπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ..

Siku tunatoka ukweni sikurudishwa kwetuπŸ™ˆπŸ™ˆ Hemed alinipeleka kwake aliniambia ni vyema nipafahamu anakoishi maana yeye anapajua napokaaπŸ™ˆπŸ™ˆ

Niliogopa sana maana aliniambia nitalala hukohuko kwakeπŸ˜‚πŸ˜‚bwana hata ingekuwa nyie lazima mngeogopa🀣

Hemed alinipeleka mpaka nyumbani kwake alikopangaπŸ₯°πŸ₯°nilikaribishwa ndani pasafi hatari😍😍..

Aliniagizia kinywaji maana fridge lilikuwa empty πŸ˜‚ nililetewa soda nikanywa tukapumzika kidogo badae akaniambia tutoke tukanunue vitu vya ndani..

Mbona vitu vya ndaniπŸ₯ΉπŸ₯Ή akadai anataka nikae pale kwakeπŸ™„πŸ™„πŸ™„bila ndoa.?? Et muda huo wazazi wanaandaa mipango ya ndoa ukute tunaishi pamoja..

Mmhh hapana Boo hata kulala kwa siku moja tu silali fanya unirejeshe nyumbani nitaanza kuishi nawewe tukifunga ndoa kwa sasa siwezi😰😰..

Alisema sawa lakini akachukiaπŸ₯ΊπŸ₯Ίalinirudisha nyumbani akanishusha hakuna kuagwa akaondoka kimya kimyaπŸ™„πŸ™„..

Kesho yake wala hakuja kunipeleka chuoniπŸ™„πŸ™„ na nikawa nampigia simu hapokei hahahaaa jamani kwanini ananifanyia hivo wakati mambo yalikuwa yanaelekea kuzuri😰

Katika kipindi nilipitia wakati mgumu ni hiki kipindi😰😰 imagine mtu mmetoka kwao ghafla anakubadilikia hapokei simu hajibu msg na ndo tayari ushampenda ushatambulishwa😰😰

Ghafla tu anakununia kisa umekataa kulala naye na umekataa kuishi naye kabla ya ndoa 😰😰..

Hemed aliacha hata maswala ya kuja kuchukua chakula ikabidi niache kuwa nampikia😰😰...

Hata kule site alitafutwa mpishi mwingine😞😞kiufupi Hemed alinipotezea kama hanijui vileπŸ₯²πŸ₯²..

Hivi ingekuwa wewe ungefanyaje??? Ungekubali kuanza kuishi naye kisa tu kakutambulisha kwao???

Au ungekaza hakuna kuliwa hakuna kuishi pamoja mpaka mtakapofunga ndoa??..

Itaendeleaaaaaaaa
Full 2000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️* 16  >>> https://gonga94.com/semajambo/mrembo-yatima-na-kijana-tajiri-16

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest