Mbali kabisa Na Alipo Trisha Nje Kabisa Na Nchi ya Tanzania
Ndipo anapo amkia Alex Ni Alex Huyo huyo Furaha Ya Trisha Hakua Na Kumbu Kumbu Kabisa Hakumbuki Chochote kilichotokea kwenye MAISHA Ya Tanzania Baada Ya Kulala Kwenye Koma Kwa zaidi ya Miezi 6 sΓ sa Aliamka Akiwa Hakumbuki Kitu Chochote
Alex kuna Baadhi ya Njozi alikua Akizipata Na Alipo Uliza Walimwambia Si Kweli Kama Ubongo wake Ulikua Unashuhurikia Vitu ambavyo Havipo kabisa
"Vipi Doctor "
"Inaonekana Atawahi sana Kukumbuka Kuliko kawaida Kwa kawaida ingechukua Hata Miaka 3 mpaka Minne Lakin Ndani ya Miezi Hii miwil aliyo Amka Kumbu kumbu zake Zinarudi kwa Haraka Sana"
"Doctor fanya Kitu basi please Hatakiwi Kujua Chochote haswa Huyo MWANAMKE wake Huyo Hatakiwi Kuikumbuka Tanzania acha Waamin alishakufa"
"Mmmh Nitajaribu Usijali"
Carlos alimvuta pembeni Doctor Ili kuongea Nae Kuhusu Hali Ya Alex
Baada Ya kuongea na Doctor Alitoka akarudi KWA Alex
"Vipi Kichwa bado Kinauma"
"Aaah Hapanaa Afadhali sΓ sa Hivi"
"Ooh Doctor amekuambiaje Kuhusu Kumbu Kumbu zako Hizo"
"amesema nisitumie Nguvu Kukumbuka Naingiza Kumbu Kumbu ambazo Sio Zangu "
"Kwahy umeamin au Bado Kuhusu Huyo mke"
"Aaah Nitaacha Carlos Nawashuru sana KWA Kunisaidia Ndugu Yangu "
Carlos alipomaliza Kuongea Na Simu Alitoka Nje Na Kuchukua Simu yake Akapiga Sehem
"Hallow ,,,,,eeh Joseph Bado Alex anakumbu Kumbu Kuhusu Trisha na DOCTOR Kasema anaweza Kuwahi Kukumbuka zaidi ,,,Sawa haina Shida Inabidi tumtoe hapa Haraka okay poa Poaa"
Alikata Simu na Kuondoka Eneo Lile kabisa
*****
"Inabidi Tuanze Tena Kuwatafuta HAWA Watu Serious"
Aizack aliwaambia Kina Trisha Juu ya Watu wale Wanaohisi wanajua Alex alipo au hata Mwili wake Ulipo hifadhiwa
"Trisha Yalishatokea ACHA Kulia Mdogo wangu "
"Kweli Trisha Alex Alikua anakupenda Hata Umeona Ameacha Watu wakao kuwekea umakini Kwahy anahitaji Uwe na Furaha Sio Uzuni Kipenz Relax Plzz"
DaT alimtuliza Trisha Sanaa
"Wangenionesha Hata Kaburi lake Basss Jaman π"
"Nitajitahidi Kuhakikisha nawapata Na watoe Maelezo wao ni kina nani na Walikutana Vipi na Alex Usijali "
Aizack alichukua Zile namba na Kutoka Ray Alimshika Mkono Kabla Hajafika Nje
"Naomba Twende Wote Aizack"
"Poa Haina Shida"
Ray na Aizack Walitoka Na Kuondoka
.
Hatua Ya Kwanza Aizack Alienda kufatilia Acc uliyotuma Pesa inamilikiwa na Nani
Haikuwa Kazi Ngumu kwake Alitumia Nafasi aliyonayo na Cheo chake Kazini
Alipewa Details Zote za Mmiliki wa Account hiyo na Anatokea Visiwa Vya Morocco
"Kwahy Huyu Anaitwa Joseph zakaria Ni Raia wa Morocco Ametokea Brazili ni Tajir mkubwa Mmiliki wa makampuni ya mafuta na vituo Vya Afya Nchin Brazil SΓ sa Yeye na Alex wanauhusiano Gani Na Kwanini amtumie Trisha Kiasi Kingi hivi cha Pesa ??"
Aizack alikua akitoa Taarifa kwa Ray na George Ndo Watu walioamua Kufatilia Habar Hizo mpaka Wampe Huyo mtu
"Huyu Joseph Ndie Huyu Ambae Yupo kwenye Hii Video "
"Yeah Ninauhakika ni Yeye "
"So what's Next"
"Tuanze Kufatilia Mawasiliano Yake "
"Wazo Zuri Ray "
Baada Ya Hapo Walianza Kufatilia Namba Za Simu ambazo Zilimtumia Ujumbe Trisha
Hazikua Zinapatikana
Walirudi Bank Kufatilia Tena Namba Za Simu na walipata zingine
Haraka Walienda Idara ya Mawasiliano na Kuomba Kuitrack Hiyo Namba
walifanikiwa Na Ilionesha Mtu Au Namba Hiyo Location Inasoma Mwenge
"Huyu Mtu.kwa SΓ sa Yupo Karibu sana Na Trisha "
Ray Alishtuka Na Haraka alitoa Simu yake Kumpgia Trishaa
Aizack aliwah Na Kumnyanganya Simu
"Unataka Kufanya Nini?? Hutakiwi kumshtua Huyu ataondoka Unamjua Trisha Vile ana_react sana Jamaa atashtuka Huyu "
"Kwahy Twendeni" George aliongea Huku anainuka kutoka nje
"Embu subiri "
Ray aliwasimamisha Huku Anaangalia Mahali inapoonesha Location I
"Shit Mbona Anaondoka KWA Kasi Sanaa " Aizack aling'aka Baada Ya Kuona Ni kama Joseph Anaondoka KWA Kasi sanaa Maeneo Alipo Kuwa Mwanza
"Mbona Kama Anaelekea Airport Huyu Haraka Twendeni Inuka Haraka Kabla Hajaondoka ".
Waliinuka Na Kutoka Haraka Walichukua Pik Piki Aizack na Ray na George aliendesha Peke Yake
*****
"Mama Alley sa Mtoto Atanyonya Nini Embu KULA Jaman Wanafatilia KILA Kitu kitakua Sawa Mdogo wangu Naomba Ulee"
"Dada Alex Ni Mzima Et Alex ni Mzima dada π"
Tangu swala Hilo Lianze Trisha hakuweza Kula Mda Wote alimfikiria Alex wake Alitaman Awe Hai Alimuota hata Alipo kuwa Macho Hali Hiyo Ndani ya Siku Tatu Trisha alianza Kunyongonyea Kabisa Mtoto ananyonya Nayeye wala Halii
Hali hii ilimpa Wakat Mgumu sana DaT ambae Alijikuta Nayeye anapoteza uzito kabisa
****
"Trisha ,Trisha , TRISHAAAAAA"
"Embu mchome sindano Doctor ya Usingiz Tena"
"Hapana Itamuharibu Leo nmemchoma Sindano Sita na anaamka Kabla ya Muda Wa Dawa Kuisha Siezi Kuzidisha zaidi"
"Aiseee Ngoja Nimchek Brother Joseph Nitarudi"
Alex SΓ sa Alikua Akiweweseka na Kuita Jina La Trisha Muda Wote kama Mtu aliechanganyikiwa
Hali hii Carlos na Joseph Hawakua wanaitaka ndo mana Waliitaji Asikumbuke maisha Yake Yote Wamtenge Mbali na Trisha sasa Alex Alikumbuka Jina La Trisha Kipenz Chake
Carlos alimpgia Simu Joseph na Kumpa Taarifa,, Taarifa Hiyo Ndo ilimfanya joseph Kuondoka Haraka Mitaa Ya mwenge Kuwah Kuchukua Ndege Itakayo mfikisha kisiwani Haraka
Aizack ,Ray na George Walikua Njiani Haraka Kumuwahi Joseph kabla Hajatimka
Itaendelea..
Full 1000
KWETU Morogoro whatsapp 0657171961.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments