Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  never give up harmonize

NILIVYOMPENDA MLINZI WA GETINI KWETU, BILA KUJUA NI BILIONEA ANAYETAFUTA MKE Episode 1

28th Aug, 2025 Views 11



"Norah, we Norah samahani kidogo" Alisema Prosper baada ya kufungua geti ili Norah mtoto bosi aingize gari ndani. Norah alishika Breki na kutoa kichwa nje ya kiyoocha gari. "Unasemaje wewe!" Aliuliza Norah kwa sauti kali.

"Mbona mkali hivyo? Haya vipi sasa kuhusu lile jibu langu?" aliuliza Prosper. Ilibidi Norah atoke nje ya gari. "Hivi wewe Prosper una matatizo ya akili eeh" aliuliza Norah huku akiwa ameshika kiuno.

"Inawezekana kwasababu matatizo yangu ya akili yanasababishwa na kukipenda wewe, nikubalie Norah" Alisema Prosper."Nahisi umevurugwa wewe sio bure yani mimi ndio wa kuwa mtu kama wewe, kazi yenyewe kufunga na kufungua geti" aliongea Norah huku akimsogelea Prosper na kumtemea mate usoni.

Belinda mdogo wake Norah ambaye alikuwa kabaki ndani ya gari, aliamua kutoka garini na kumtuliza dada yake. "We Norah nawe kwani Prosper kakutukana mpaka umtemee mate? Kila mtu ana haki ya kueleza hisia zake haijalishi atakataliwa au atakubaliwa lakini hivi ulivyomfanyia Prosper sio uungwana" Aliongea Belinda.

"Huyu kazidi huyu, kila siku ananiuliza jibu langu vipi, yani akiniangalia nina hadhi ya kuwa naye au hata kutembea naye barabarani? Wewe mbwa! Niheshimu mimi ni mtoto wa bosi wako?" alisema Norah kisha akaingia kwenye gari na kwenda kulipaki kwenye maegesho yake.

Pale getini alibaki Norah na Belinda. "Yani dada yangu sijui anachoringia ni nini haswa, hajui maisha yanabadilika haelewi hilo mh shauri yake, usijali Mwaya kaka Prosper ila kesho nilitaka nikutoe out kidogo, twende sehemu tuongee unielewe maisha yako, mimi nitakusaidia hata mtaji ukafanyanye biashara ndogondogo inaniuma sana jinsi unavyotumikishwa hapa nyumbani, juzi nilichukia sana. Norah kakojolea kwenye kopo ndani anakuita mlinzi ukamwage mkojo yani!

Alisema Belinda!

JE NINI KITAENDELEA?

ITAKUWAJE KAMA BELINDA AKIJUA KUWA MTU ANAYETAKA KUMSADIA NI BILIONEA ALIYEKUJA NYUMBANI KWAO NA KUJIFANYA MLINZI WA GETINI KUMBE LEO LAKE ANATAFUTA MKE????

ITAKUWAJE SASA...
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NILIVYOMPENDA MLINZI WA GETINI KWETU, BILA KUJUA NI BILIONEA ANAYETAFUTA MKE Episode 1  >>> https://gonga94.com/semajambo/nilivyompenda-mlinzi-wa-getini-kwetu-bila-kujua-ni-bilionea-anayetafuta-mke-episode-1

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
profile
majario 28 Aug 2025 22:44
NILIVYOMPENDA MLINZI WA GETINI KWETU, BILA KUJUA NI BILIONEA ANAYETAFUTA MKE

Episode 2
never give up harmonize
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Kama wewe hujatimiza miaka 18+ usije nasema usije kabisa ni wakubwa tu
Kama wewe hujatimiza miaka 18+ usije nasema usije kabisa ni wakubwa tu

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest