Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

Mtayarishaji wa muziki nchini Joachim Marunda 'Master Jay' amesema kuwa rekodi lebo nyingi

1st Jul, 2025 Views 19

Mtayarishaji wa muziki nchini Joachim Marunda 'Master Jay' amesema kuwa rekodi lebo nyingi zinazomilikiwa na wasanii Bongo zinashindwa kudumu na kufanya vizuri kutokana na mtaji mdogo.

"Msanii kama bado upo kwenye gemu alafu unafungua lebo lazima uwe na mtaji mkubwa wa kukuendesha wewe, lebo na wasanii wako. Isionekane hela nyingi zinaingia kwako alafu wasanii wanabaki nyuma. Unatakiwa uwekeze kote, siyo unawekeza kwako zikibaki ndiyo unaweka kwa wengine.

"Yaani mtaji unahitajika sana kwa soko la sasa ndiyo maana utaona lebo ambayo inafanya vizuri kila siku ni ya yule ambaye benki yupo vizuri. Huyo mtu sitaki kumtaja yaani ukimuangalia muda wote pesa ipo ana nguvu ya kuwekeza kwenye brand yake na wasanii wake,"amesema

Amesema hicho ni kitu ambacho wasanii wengi wanaomiliki rekodi lebo wanashindwa kukifanya.

"Ukiwa msanii ni mgogoro binafsi kuanzisha lebo, kwa sababu utaanza na wewe mwenyewe, lakini ukiwa vizuri inakuwa haina tatizo. Na hiyo ni changamoto ambayo unaona hawa wengine wanaipata hawawezi kushindana na hiyo lebo moja kwa sababu huyo yupo vizuri na ana njia zaidi ya moja ya kuingiza hela,"amemalizia Master Jay

Utakumbuka mwaka 2020 Shilole alitangaza kuanzisha lebo ya muziki inayoitwa Shishi Gang. Siku anatangaza lebo hiyo kwa mara ya kwanza ilikuwa pia ni siku ambayo alimtangaza ‘msanii wake’ anayeitwa Renzo.

Mpaka hivi sasa Renzo siyo msanii wa Shishi Gang tena, lakini Shishi Gang bado ipo na 2023 ilitambulisha msanii mpya anayeitwa Nice. Unawajua Renzo au Nice?

Mwaka 2016, Ommy Dimpoz alianzisha lebo yake ya muziki ya kuitwa PKP na alimtambulisha msanii anayeitwa Nedy Music. PKP hadi sasa watu wengi hawaifahamu.

Alipotoka WCB, Harmonize alianzisha lebo yake ya Konde Gang, kisha akamsajili Ibraah na baadaye akaongeza wasanii wengine akiwemo Country Boy pamoja na kuwavuta wasanii waliokuwa wanafanya kazi Kings Record ya Alikiba, Cheedy na Killy. Mpaka dakika hii ni msanii mmoja tu aliyebaki Konde Gang kati ya wanne waliokuwapo ambaye ni Ibraah .

Naye Ibraah ambaye alibaki kwa sasa ameweka wazi kuwa anataka kujitoa kwenye lebo hiyo, huku akiomba michango kwa wananchi ili aweze kupata Sh1 bilioni ya kujiondoa Konde Gang..
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Mtayarishaji wa muziki nchini Joachim Marunda 'Master Jay' amesema kuwa rekodi lebo nyingi   >>> https://gonga94.com/semajambo/mtayarishaji-wa-muziki-nchini-joachim-marunda-master-jay-amesema-kuwa-rekodi-lebo-nyingi
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest