Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

WACHEZAJI WANADAI PESA NDEFU SANA

1st Jul, 2025 Views 16

WACHEZAJI WANADAI PESA NDEFU SANA

Siyo wanadai Pesa tu,bali ni pesa Nyingi sana na Bonus Nyingi ambazo ni Sehemu ya Mikataba yao, Bonus zingine zilikuwa ni Sehemu ya Ahadi walipokuwa group Stage

Miezi miwili sasa Hawajalipwa Mishaara yao Ambayo ni Haki ya Kimkataba na Bonus wachezaji hao wanadai Bonus Nyingi Taangu wakiwa wanacheza Group Stage Mechi dhidi ya Tp Mazembe pale Congo, Mechi ya marudiano Benjamin Mkapa Dhidi ya Tp Mazembe pia waliaahidiwa Bonus Kubwa, Tajiri alitoa Pesa Yote ya Bonus ila haikuwafikia Wachezaji hadi Leo.
Pia Kuna Bonus za Ligi kila baada ya Kushinda Mechi kadhaa kwenye ligi huwa wanapewa kulingana na Mikataba yao.

Boss alishatoa Bonus zote na Mishaara ya yote Lakini hakuna pesa yoyote iliyowafikia Wachezaji.
Pesa Haijulikana imeenda Wapi na Rais Ndiye aliyekabiziwa Mzigo wote wa maokoto.

Chanzo changu cha Uhakika cha Taarifa kimeniambia Rais anaogopa hata kufika Kambini kuonana na Wachezaji Wake,Usalama Kambini ni Mdogo sana wachezaji wanataka kulipwa Pesa zao.

Mwanasheria wa Club aliyejiuzuru aliomba kulipwa Stahiki zake Lakini WACHEZAJI WANADAI PESA NDEFU SANA

Siyo wanadai Pesa tu,bali ni pesa Nyingi sana na Bonus Nyingi ambazo ni Sehemu ya Mikataba yao, Bonus zingine zilikuwa ni Sehemu ya Ahadi walipokuwa group Stage

Miezi miwili sasa Hawajalipwa Mishaara yao Ambayo ni Haki ya Kimkataba na Bonus wachezaji hao wanadai Bonus Nyingi Taangu wakiwa wanacheza Group Stage Mechi dhidi ya Tp Mazembe pale Congo, Mechi ya marudiano Benjamin Mkapa Dhidi ya Tp Mazembe pia waliaahidiwa Bonus Kubwa, Tajiri alitoa Pesa Yote ya Bonus ila haikuwafikia Wachezaji hadi Leo.
Pia Kuna Bonus za Ligi kila baada ya Kushinda Mechi kadhaa kwenye ligi huwa wanapewa kulingana na Mikataba yao.

Boss alishatoa Bonus zote na Mishaara ya yote Lakini hakuna pesa yoyote iliyowafikia Wachezaji.
Pesa Haijulikana imeenda Wapi na Rais Ndiye aliyekabiziwa Mzigo wote wa maokoto.

Chanzo changu cha Uhakika cha Taarifa kimeniambia Rais anaogopa hata kufika Kambini kuonana na Wachezaji Wake,Usalama Kambini ni Mdogo sana wachezaji wanataka kulipwa Pesa zao.

Mwanasheria wa Club aliyejiuzuru aliomba kulipwa Stahiki zake Lakini Ofisi ya Mh Rais ilisema haiwezi kumlipa kwasababu hajawahi Kushinda kesi Yoyote ya Club,kaambiwa kitengo chake cha Sheria Ndani ya Club kimeingiza Club kwenye Hasara Hivyo hatalipwa pesa yoyote.

MOTO UNAWAKA MKIONA MOSHI WA MWEUSI UMETOKA NJE MJUE WANATAKA PESA ZAO. chake cha Sheria Ndani ya Club kimeingiza Club kwenye Hasara Hivyo hatalipwa pesa yoyote.

MKIONA MOSHI WA MWEUSI UMETOKA NJE MJUE WANATAKA PESA ZAO..
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

WACHEZAJI WANADAI PESA NDEFU SANA  >>> https://gonga94.com/semajambo/wachezaji-wanadai-pesa-ndefu-sana
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821

majario rewards 100 Comments 0
 
YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 
BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 
BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 
HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 
BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 
BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 
HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 
DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 
DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 
DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 
DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 
Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 
Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 
NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 
POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 
NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 
DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 
DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 
DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 
DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 
DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 
HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 
HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 
HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 
HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 
HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 
NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 
DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 
DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 
DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 
TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest