Alberto hata nguvu za kuitika hakuwa nazo akamuuliza recho kwani baba wa huyu mtoto alikuwa ni mzungu ,,,mbona hamkunambia ,kuna kitu mlinificha??”
“shem ulivyo hue….”
“embu tutoke nje ,, bro vile wewe huna majibu hat huyu hana nafikiri tuje asubuh abby atakuwa sawa tutajua “
Rahul akawakatishia maongezi yao ,, moyoni akajisemea kamjue mwenyewe mwanamke uliempa Maisha ya shida acha usikie kutoka kwakee
Alberto hakuwa tayari kuondoka alisema atasubir hapo mpaka hayo masaa nane yapite ,, Rahul na recho wao aliwaruhusu waende kupumzika
Rahul alimvuta pembeni boss wake “ abby atakapo amka tu ,, mpatie hiyo saa mwambie ukweli wa wewe na masha huyo unaemuita wewe abby ndie Vicky nilie kuwa namtafuta mimi”
‘unasemaa ndie alietelekeza mtoto wake kwa mashaa ,,mbona mie alinambia baba mtot wake ndie alikuwa mwanaume wake wa kwanz”
“pindi atakapo amka mpe hii saa ,muulize haya maswali ,, aliekubaka nanii?? Mahali ganiii?? Na hii saa kwako ina maana gani”
Rahul akaondok akamuacha boss wake kwenye maswali kibao yasiyo isha ,baada ya kutoka recho alimuuliza Rahul wewe unamjua vipi Vicky ,,Rahul akacheka akamwambia mmepita njia ndefu sana kwasababu ya uongo mdogo tu ,sio mimi hata Mr alberto anamjua Vicky !
‘”mr alberto?? Albrto yupii?”
“huyo unaemwita qassano ndio mr alberto” recho moyo ulishtukaaa akakumbuka Vicky alivyokuwa anamwambia Rahul kuhusu saa ya masha akajikuta anaongea kwa sauti ya juu yenye mshangao
“weweee Mr alberto mume wa masha”
“sio mume wake ,,lakini nashukuru umenielewa”
“Mungu wanguuu mbona hii ajabuu,, sasa itakuwajee”
“ngoja tuone?”
“ndio kilichokuwa kinakuchekesha kutwa??”
“vingi tu utavijua hope wewe kwa vile wa kike utalia kwa uchungu’
“hehehehee makubwaa “recho akagongesha mikono yake kama anapiga makofi
“inakuchekesha nawewe eeh??”
“mmm.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments