Baada ya Wadau kumvaa MR PIMBI kuwa aeleze ukweli je Kilichomkuta Mwanamuziki Ibraah kuambiwa Aingie Chumbani kwa Harmonize ili kumfanyia Michezo michafu yeye kimemkuta ama vipi kwa Sababu Naye pia Huwa yupo karibu na Harmonize.
PIMBI amefichua kuwa Kila anapomtembelea Harmonize yeye Hajawahi Kuingia Ndani hata Siku Moja kwenye Nyumba ya Harmonize hivyo yupo Salama ?
Mr Pimbi Amesisitiza Kila anapokwenda Nyumbani kwa Boss huyo wa Kondegang huwaga anaishia Nje Wala Haingii Ndani .. kupitia ukurasa Wake wa Instagram ameweka Uthibitisho wa Picha mbali mbali akiwa kwa Harmonize kisha Kuandika ujumbe Huu
"HUWA NAISHIA NJEE NDANI SIINGIAGI,,,,NADHANI MNAONA HUWA NAISHIA NJEE SIJAWAHI KUINGIA NDANI ????????" Ameandika Mr Pimbi
#halisinewsflash #halisimediatz.