Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

CHAKA LANGU Episode 1

31st May, 2025 Views 54


??????
? sauti ya jogoo alisikika akiwika bila shaka ni majira ya asubuhi katika jumba la kifahari la bwana David anaonekana binti mmoja akiwa anafagia kavalia sare za wafanyakazi rangi ni nyekundu ni binti mrembo sana japo kaonekama amepauka kutokana na hali ya maisha .....
?
?" we vicky hakikisha unafagia vizuri na jikoni sawa eeeeh " sauti ya mwanamke ilisikika bila shaka huyu ni mama mwenye nyumba ambaye alikuwa ana haraka sana ....
?
?Ghafla simu ikaita jina liliseviwa mume wangu .alipokea haraka na kusema
?"jamani baba watoto nakuja "
?" fanya haraka ujuwe tunachelewa unajiremba nini wewe muda wote" aliongea kwa utani
?
?Basi huyu mama jina lake ni lucy ni mume wa mfanyabiashara tajiri kijijini hapo jina lake BWANA DAVID .
?
?Alitoka mbio mbio mpaka kwenye gari na kumkuta mumewe kanuna
?" nisamehe baba watoto" aliongea kwa sauti ya mahaba na ya kubembeleza huku akimshika mashavu mumewe
?
?Bwana David akasema " sawa nimekusamehe siku nyingine kama unataka kujiremba we amka saa tisa uanze kujiandaaa”
Aliendelea “ tatzo lako wife unajilemba sana wakati unajuwa kuwa hata ukivaa gunia nitabaki nakupenda, utabaki kuwa mrembo”
“ am sorry baby come down akamsogelea na kumpiga kiss shavuni” .kama wasemavyo wahenga hakuna mkate mgumu mbele ya chai na kweli mR David alipoa kama maji mtungini. Kamsamehe mkewe .
?
?Kisha akaliwasha gari na mwishowe wakatoka, kufika getini kulikuwa kuna mlinzi bishoo sana sema tu naye ni ugumu wa maisha ndo unamfanya aonekamne kama hana maana na sura kukosa nuru .
jina lake ni Kelvin alikuwa ana sinzia anaenda mbele kama anataka kuanguka kisha anakaa sawa ila usingizi duuh.

Bossi anapiga honi pipiiiiiiiiiiiiiiiii lakini wapi yeye humu tu anasinzia tu hana hili wala lile. Hii inakuja kutokana na uchovu kiasi kwamba hata honi haisikiii....
?
?Bwana David alishuka kwa hasira " we kijana naona hapa umekuja kulala sio"
?Kelvin alikurupuka kutola usingizini na woga aliokuwa nao kwa bosi huyu alidondkoka kwenye kiti kama kipeto puuuuh!!! Aliinuka haraka haraka …..
?" aaaaaaaah " bosi nisamehe sio kusudi langu nilipitiwa tu. alipiga mpaka magoti lakini bossi alisema
?
?"kwa uzembe huu si tunaweza kuibiwa mtu gani unalala lala kwanini nisikufukuze kazi kesho utarudi kwenu."

Kelvin anajuwa kabisa kichwa cha bossi wake kimepinda. Akisema ondoka! Ondoka tu mmmmmh jamani …
?
?" aaah pana bossi usinifanyie hivo mama yangu ananitegemea sana hata mdogo wangu naye hivo hivo ukinifukuza nitaenda wapi naomba nisamehe . Alisema kwa sauti ya unyenyekevu
?
?Akashuka mama chanja wa David kama wasemavyo wahenga hakuna mkate mgumu mbele ya chai ndicho kilichotokea alimwombea msamaha na mumewe alikubali wakafunguliwa geti kisha wakatoka
?
?Kelvin akiwa pekee yake mapigo ya moyo mbio mbio ilibaki kidogo angefukuzwa kazi akawa anamshukuru sana lucy kwa msaada wake. Hapo hapo akawa anapita vicky kwenda kutupa taka akakuta kelvin anahema ....
?" kheee weee shida nini mbona unahema kama ulikuwa unakimbizwa"?
?" we acha tu nusu nifukuzwe kazi"
?" ufukuzwe kazi kwa nin!?
?" nilikuwa nasinzia getini "
?" we ikawaje ?'
?" bossi alishanitimua ila mama alinitetea"
?" mmmhh pole lakini ndo maisha jikaze "
?" asante sana vicky kwa moyo wako mwema"
?"yaani we kila siku unanishukuru"
?"ndiyo kama unafanya vizuri kwanini nisifanye hivyo ?
?"haya ngoja niendelee na kazi si unajua leo helena na janeth wanarudi"
?" hata siwafahamu kabisa "
?" utawaona usiwaze baadaye basi'
?"okay kazi njema vicky "
?" na kwako pia kelvin ".
?
?****
?Majira ya saa 8 mchana, mlio wa kugongwa kwa geti ulisikika kwa nguvu.
?
?ngoooo ngoo ngoo!
?
?Kelvin aliyekuwa ndani ya kibanda chake, bado amechoka kutokana na tukio la asubuhi, alishtuka na kukimbilia kufungua. Alipofungua, aliwakuta wasichana wawili, wakiwa na mabegi mengi sana, hadi walionekana kuchoka kuyabeba.
?
?Bila hata salamu, mmoja wao alimpazia sauti:
?"Hebu, chukua hivi mabegi, haya mabegi yote peleka ndani haraka, msisimame ,simame hapo tunachelewa!"
?
?Kelvin, kwa unyenyekevu, alinyanyua mabegi hayo mazito huku akihema. Bado hajamaliza kubeba yote, msichana mmoja mrefu, mrembo lakini mwenye dharau machoni, alimuuliza kwa kejeli:
?"Eti S. Boy ( security boy), unaitwa nani vile ?"
?
?Kelvin alinyamaza kidogo, akihema, halafu kwa sauti ya upole akasema:
?"Kelvin, naitwa Kelvin..."
?
?Wasichana walicheka kwa dharau, mmoja akamwambia mwenzake:
?"Eeh! Huyo Kelvin ndo baba alisema kamchukua kijiji cha wapi sijuwi"
?
?Mwingine akaongeza kwa dhihaka:
?"si huko mwisho wa upepo ….Yaani hapa ni kumtumikisha hadi akome si mfanyakazi wetuna kaajiliwa na baba yetu ni sawa tumemajili sisi!"
?
?Kelvin alitabasamu kidogo akiyameza maumivu ndani kwa ndani, akajikaza kuendelea kubeba mabegi.
?
?Ndani ya nyumba, Vicky alikuwa anatoka jikoni akipeleka maji sebuleni. Alipowaona wasichana wale wawili, aligundua mara moja kuwa ndio Helena na Janeth waliokuwa wametajwa mapema. Alisogea kwa adabu na kusema:
?"Karibuni nyumbani."
?
?Helena alimtazama Vicky juu chini kwa dharau, kisha akapepesa macho na kusema kwa sauti ya mkato:
?"Hivi bado kuna wasichana wanavaa hivi? Hahaha... anyway, sisi tunataka vyumba vyetu viwe safi na vyenye harufu nzuri, siyo kama jikoni hapa bwana."huku akiziba pua…
?" hivyo na uhakika umevideki na vinapendeza sana si ndivyo mfanyakazi bora ???
?" ndio dada kila kitu tayari".
?"We koma mi sina undugu na wewe bibie" ole wako uniite dada tena . Hatuwezi kuzaliwa tumbo moja acha shobo babu upo!!! Alimkodolea macho ……
?
?Janeth naye akaongeza:
?"Na chumba changu ni kile kile kilichopo karibu na dirisha la kuona mpaka nje !"
?
?Vicky kwa upole alitabasamu tu bila kujibu, akaendelea kuwasaidia kuingiza mizigo yao ndani.
?
?Kelvin akabaki nje akihema, akiangalia jinsi maisha ya dharau yalivyomkumba. Alijisemea moyoni:
?"Mungu wangu, naomba unipe nguvu, maana maisha haya yamenibana..."
?
?Mara akaja herena " weee makofia "
?
Lakini alisikia sauti “ we kamlinzi kashenzi kashenzi hebu geuka nikutume “
Kelvin aligeuka kwa hasira huku kakunja ngumi maana dharau sasa zimezidi.. Je anataka kumfanya nini mtoto wa bossi ????
FULL 1500
0699286085.
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY???15

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA? Sehemu 13.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY ???11

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 29

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

LOVE Part 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 28

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA Sehemu nne.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 26

mrindia rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 25

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest