Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Cristiano Jr. amefanya mazoezi kwa mara ya kwanza na Timu ya Ureno ya wachezaji wasiozidi umri wa Miaka 15 jana.
Tusubiri Sasa Tuone maana wanasema kuwa "Mtoto wa Nyoka ni Nyoka pia", sasa sijui huyu atakuwa Anaconda kama baba yake ama atakuwa Koboko..