DJGUI DIARRA, Upande wa pili Clean sheets zinazidi kudondoka kwa Moussa Camara na sasa utofauti ni Clean sheets 2 na michezo imebaki minne(4) kwa kila timu kwa muendelezo huu wa Moussa Camara kuendelea kuangusha Clean sheets inaweza ikawa faida kwa Djgui Diarra japo bado lolote linaweza kutokea ni wakati wa kila mmoja kuhakikisha anafanya vizuri.
Wakati ligi inaanza Moussa Camara alianza vizuri na kumuacha kwa gape kubwa Diarra lakini mwishoni ni kama kibao kimegeuka sasa Moussa Camara anaangusha Clean sheets wakati ambao Djgui Diarra ndo anaziokota clean sheets,Ngoja tusubiri mechi nne za mwisho zitaamua nani kuwa kinara wa Clean sheets.
#ngindoupdates || #ngindomedia.