Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

?MZEE WA BAKORA(midfida kisheti) 1

1st Jul, 2025 Views 134

?MZEE WA BAKORA(midfida kisheti)
?
?UTANGULIZI
?Hiii hadithi sio ya wacheza mpira kwa sababu ina neno middle wa boli na mpira tunao uzungumzia hapa sio wa uwanjani bali ni mpira unaochezwa kitandani na mzee wa bakora jina lake halisi ni victor hivyo basi sogea karibu zaidi nikusimulie zaidi kuhusu victa ukipenda muite mzee wa bakora .
?
?Victor ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ambaye ni mmiliki wa nyumba ya kupanga yenye jumla ya vyumba 25 na hii ni nyumba ya kurithi baada ya kifo cha baba yake bwana Kassimu asilimia kubwa takribani ya wapangaji ni wanawake kutokana na aina ya vyumba vilivyopo wanaume ni wachache tu ...
?Lakini unajua kwanini wanamuita mzee wa bakora ngoja leo nikueleze ....
?
?EPISODE 1
?Iliikuwa siku ya jumatano majira ya saa 6 mchana kijana victor katoka kwenye mishe zake za hapa na pale basi wapangaji wengi wanamsalimia nae anawapungia mkono bila kuongea kitu huku akielekea kwenye chumba chake
?
?Alikuwa kavalia vesti nyeusi suti ya koti jeupe na chini kapiga simple moja kali ni kijana anayejishaua sana na malingo mengi sana akijiona yeye ndo kontawa lakini sio yule RAPPA yaani anajiona yeye ni mtawala
?
?Basi watu walikuwa wakimsema kwa nyuma baada ya yeye kuingia ndani" hili kaka linalinga sio siri ,yaani unajua kwanini limerudi?
?" hapana sijuwi??
?" limerudi kukusanya kodi kama huna "
?"kheee atanifanyaje au kuna nini"
?" utakiona cha mtema kuni"
?"acha kunitisha shogaaa"
?"salome sikutishi ila nakwambia"
?" kiandae tu hiko"
?'mmmmh hiko kinini"
?" we kiandae tu "
?"kinini si uniambie"
?"si hicho kitumbua " alisema nasra
?Salome alishangaa usitake kusema kuwa
?"huyu kaka usipolipa kodi ndo anakukula"
?" kheeee wenzako kama hela hatuna tunampa tu"
?" Vai mwenzako khaaa sijuwi ka nitaweza "
?
?Basi majira ya usiku chumba namba sita alikuwa anaishi binti mmoja ambaye ni mwanachuo alikuwa akiongea na mpenzi wake akimuomba hela amlipie kodi lakini mpenzi wake alimjibu kwa sasa hela hana basi yule binti kwa jina la leah hakuwa na pingamizi kwa sababu anamjua mpenzi wake kama. Akiwa akiwa nayo asingeweza kumnyima au kutokumtumia basi alitoka zake na kwenda kutembea tembea huko mtaani kidogo.....
?
?Vai na salome wakiwa ndani vai alishangaa kumuona salome anavaa tu khanga bila kufuri akamuuliza
?" mbona unavaa hivo ???"
?" naenda kwa victor nikamalizane naye"
?" mmmh shoga sasa si nmateso "
?" mateso gani victor anajua na anajua tena"
?"haya shoga lakini mimi siwezi"
?"sawa tutaona hata mimi nilikuwa kama wewe"
?
?Alifunga mlango na kutembea mpaka chmbani kwa victor aliita "victor mimi ni salome"
?"ingia "
?Salome alipoingia hakuwa na maelezo alivua khanga na kuzima taa kisha kupanda kitandani ........?.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

?MZEE WA BAKORA(midfida kisheti) 1  >>> https://gonga94.com/semajambo/mzee-wa-bakora-midfida-kisheti-1
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest