Timu ya Rs Berkane imetwaa Ubingwa baada ya kumaliza na alama 70 Akiwapiku FAR Rabat ambayo imeshika nafasi ya pili pamoja na wydard Casablanca waliomaliza nafasi ya 3.
Rs Berkane ni Timu hatari kuliko Simba kuelekea Mechi ya Fainali.
Simba inakwenda kucheza na bingwa wa ligi kuu ya Morocco 2024/ 2025 ambaye ni Berkane..