SIMULIZI YA MAISHA: NILIMUUA MAMA YANGU MZAZI ILI NIOLEWE NA BABA......01
Na Sam Darfur 0717255498
SEHEMU YA KWANZA
"Tangu nikiwa mdogo baba yangu alinipenda kupita maelezo, kila ambacho nilikuwa nahitaji Baba alininunulia tena kwa wakati mwafaka kabisa.
Alinipa zawadi pindi alipokuwa akitoka kazini, nami zilizifurahia mno. Kwakuwa nilizaliwa katika familia tajiri kupindukia na inayosifika karibia Sinza nzima basi nilijiona mimi ndio mimi.
Hapa nilianza mashauzi, nikiwa shuleni nawaringia wenzangu hata walimu wangu pia nilikuwa nawaringia.
Hatimaye nilifanikiwa kumaliza shule ya msingi, nikaingia zangu sekondari. Nikiwa huko taratibu maumbile yangu ya kimwili yalianza kubadilika.
Umbo nzuri likukuwa katika mwili wangu, kila aliyenitazama alitamani kunisimamisha na kunitongoza.
Ndoto nyevu zilikuwa hazikauki katika kichwa changu, nilikuwa naota mara kwa mara kama ilivyokuwa kwa wanawake wengine wanapoanza balekhe.
Niliyaogopa mabadiliko haya kwa mwanzoni, lakini nilipoenda kwa matron na kumwambia hali ambayo nilikuwa napitia basi alinipa mwangaza.
Ndipo nikafahamu kuwa ile ilikuwa hali ya kawaida, nakumbuka kuna muda nilikuwa nakaa na wenzangu, nao pia wanapiga stori mbalimbali za wanaume na muda mwingine tukisimuliana kuhusu yale ambayo tulikuwa tunayaota.
Niliona nina kila sababu ya kumweleza Mama mabadiliko haya, basi niliporudi nyumbani wakati wa likizo nilitumia huo mwanya kumwambia Mama jinsi gani najisikia na hali yangu ilivyobadilika.
Kiukweli Mama aliniambia vitu vingi tu, tena vingine nilikuwa hata sivijui. Alianza kunifundisha kuhusu usafi wa mwili wangu huku akinielekeza kila hatua na namna nzuri ya kufanya ili kuwa mwanamke imara na msafi.
Wakati haya yote yanaendelea baba alikuwa hajui lolote, hata niliporudi tena shuleni niliendelea na mambo yangu. Taratibu walimu walianza kunitongoza, kama unavyojua walimu wa siku hizi.
Nilijikuta nataka kuingia katika vishawishi lakini Mungu alinihepusha navyo, ila nakumbuka siku moja nikiwa form four. Wanafunzi tulikuwa tunajiandaa kwa ajili ya mtihani wa mock, basi tulifanya hadi tulipomaliza.
Walimu walitupa likizo ya wiki mbili ili tuwahi kurudi na kuendelea na masomo, kikukweli sikupenda kukaa shuleni. Nilimpigia simu Baba kupitia namba ya matron naye alikuja kunichukua pale shuleni.
Kabla ya hapo nakumbuka wiki tatu nyuma, Baba alikuja kunitembelea na kwakuwa ilikuwa ni kawaida yake kufanya hivyo basi hata sikushangaa sana.
Nilikaa na baba kwa zaidi ya dakika 30 huku anishauri mambo mbalimbali, akiniahidi kwamba likizo itakapofika atanipeleka Kilwa kwenda kurefresh mind na vile ambavyo nilikuwa napenda kutembea ndio kabisa.
Kiukweli nilipenda sana kutoka vocation, vile ambavyo nilikuwa nasafiri na baba katika maeneo tofauti tofauti basi nilihisi raha na muda mwingine hata Baba mwenyewe alikuwa anahisi fahari.
Basi tarehe maalumu ya kufunga shule ilipofika, Baba yangu alikuja pale shule na kunichukua. Tulianza safari ya kuelekea
Kilwa masoko ambako huko kwa mujibu wa Baba aliniambia kwamba tungekaa kwa siku kama sio tatu basi mbili yaani ijumaa hadi jumapili kama sio jumatatu tungekuwa tumerudi nyumbani.
Tukiwa katika gari nilimuulizia kuhusu Mama kama yupo nyumbani ama lah! Baba aliniambia kwamba Mama yupo Kilwa anatusubiri, hadi hapa nilizidi kuwa na furaha ingawa kuna muda kuna ka huzuni fulani nilikuwa nacho kutokana na kujua kwamba pindi ninapokuwa na Mama huwa sina furaha sana.
Mama alipenda sana kunigombeza baadhi ya Mambo kama kumkumbatia baba, kumbusu mashavuni na kumwambia kwamba nampenda, kushika ndevu zake na muda mwingine ilikuwa hadi mdomoni namkisi, naye angenishika kiunoni kwa furaha.
Baba naye alihisi hali hii ya mimi kumchukia Mama, alijaribu kuniuliza lakini sikuweza kumwambia. Nilikaa kimya, hadi pale ambapo tulifika Kilwa masoko.
Kwakuwa ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza kufika katika mji ule wa kitalii na kihistoria basi niliyafurahia mno mazingira ya pale. Nakumbuka vizuri tulifika kama kwenye saa nane hivi mchana.
Tulipokelewa katika hotel kubwa ya kifahari ambayo sikuwahi kufika kabla, pembeni ya hotel kulikuwa na bahari pamoja na fukwe kubwa ambayo haikuacha kutupa upepo nzuri wenye kukonga nyoyo zetu.
Hatimaye mchana ulikatika na jioni iliingia, bado katika kichwa changu kulikuwa na taswira kwamba katika eneo lile mama angekuepo, licha ya hivyo sikuacha kumuuliza Baba ili nifahamu.
"Mama yupo wapi?" Nilimuuliza huku tukiwa tupo pembezoni katika kingo ya hotel ile ndefu ya ghorofa
"Mama yako amepata dharura, alienda kwa shoga yake maeneo ya kivinje hadi muda huu hajarudi nahisi itakuwa kesho"
"Mh! Tena ila sawa maana hata anapokuwa karibu na mimi sikuwi na furaha sana kama ninapokuwa nawe pekee yako" nilimwambia Baba.
Kauli yangu iliniponza yaani ilikuwa ni kama nimeweka utelezi katika sakafu, Baba aliona nimemchongea njia nzuri.
"Kwanini Mama yako anakuwa na chuki nawe hasa tunapokuwa pamoja?" Baba aliuliza
"Mh! Mi sijui lolote labda kwakuwa kila muda unanitaja na kuniambia kwamba unanipenda"
"Duh! Sasa hili ndio la mtu kujenga chuki jamani ila sawa hakuna shida" Baba aliniambia nami niliona sikuwa na neno lingine la kuongeza.
Usiku ulipoingia tulitembelea maeneo mengine ya starehe ambako huko tulifurahi na kucheka lakini Baba yangu nilimuona akizidisha kunywa pombe kupita kiasi na haikuwa kawaida yake.
Nilijaribu kumzuia sababu nilikuwa nafahamu madhara ya kunywa pombe nyingi hasa nyakati za usiku ukizingatia kwamba yeye ndio alitakiwa kuwa dereva.
"Baba it's enough, inatosha sasa usizidishe sana tunakoenda ni eneo ambalo hata mimi silitambui vizuri" nilisema huku nikijaribu kumkataza
"Najua nachokifanya na usidhani kama naweza kulewa kiasi hicho sawa momy" Baba aliniambia.
Niliona bora niachane naye, sikutaka kurupushani zake zingine. Niliendelea kuchezea simu yangu kubwa kiasi huku nikichati na marafiki zangu wa skul, Baba naye alikuwa akiendelea kunywa lakini muda wote jicho lilikuwa katika kifua changu.
Nilihisi mashaka na aibu lakini kwakuwa ilikuwa ni kawaida yangu kama sio ya familia yangu kujiachia vile ambavyo tunataka basi nilijionea kawaida maana kuna muda wakati nilipokuwa nyumbani ungeweza kuniona natembea na T-shirt kila sehemu bila kujali uwepo wa Mama au Baba, mwenyewe niliita Unyamwezi.
"Kifua chako kimenona mwanangu" Baba aliniambia huku akipeleka mkono katika eneo langu la kifua, alitaka kushika chuchu zangu.
"Dady! Unafanya nini?" Nilisema kwa sauti ya kitoto kwa baba
"Lemme see, nataka kuona tu just for one second (kwa sekunde moja tu)" baba aliniambia huku akisisitiza, basi nilimuachia akaangalia. Akachezea kidogo kabla ya kumkataza.
Sijui kama ulikuwa ni utoto au ujinga lakini nilihisi kama kile ambacho nimekifanya kilikuwa ni kizuri ingawa kuna muda nafasi yangu ilinisuta.
Nakumbuka tuliondoka pale saa sita usiku hadi hotel, kisha Baba alielekea katika chumba chake nami nilikuwa katika chumba changu.
Nilipofika nilielekea bafuni, nikaoga vizuri na kuchukua khanga yangu kisha nikajilaza kitandani kuusubiri usingizi ambao sikujua utakuja muda gani. Lakini hata kabla hata sijalala vizuri ghafla mlango uligonga.
"Nani?" Niliuliza nikiwa na wasiwasi hivi
"It's me dady" Baba alisema nami nilipojua ni yeye nilienda kufungua.
Nilishangaa kuona nilipofungua tu, aliingia chumbani moja kwa moja na kujilaza kitandani....
Sehemu ya kwanza imeanza na moto wake....! Weka Like na coment hapo sehemu ya pili ili niitume muda huu......????????????.