PENZI LA MHALIFU 17.
Hiyo siku sitaisahau kwani milion 3 zilinifanya niwe na ujasiri ambao kwa mwanamke mwingine ingekuwa ngumu kuwa nao.
Cyborg alivaa kondomu nakuanza kumshughulikia mke wa mkuu wangu na kiukweli Cyborg alikuwa akijua kufanya mapenzi kwani alimfanya mke wa boss wangu mpaka akalidhika mwenyewe na baada ya kumaliza Mke wa mkuu wangu alienda kuoga na baadae alijiandaa kwa ajili ya kuondoka ila niliamua kumwambia.
"Iwe mwanzo na mwisho kutembea na mme wangu nazani utakuwa umenielewa"
"Ndio nimeelewa na asante kwa kukubali kunisaidia" alijibu nakuondoka.
Tulibaki sisi wawili huku Cyborg akiwa ananiangalia kila mda maana hakuamini kwa maamuzi niliyoyafanya.
"Mbona unaniangalia hivyo!?" nilimuuliza baada ya kumuona hachoki kuniangalia.
Cyborg aliamua kunijibu baada ya mimi kumuuliza "Nakuangalia sababu siamini ulifikiria nini kuniruhusu nifanye mapenzi na mwanamke mwingine tena mbele ya macho yako mwenyewe" Cyborg alinijibu lakini mimi nilimtolea zile milion 3 nakumuonyesha na kumwambia sababu kubwa ni ile na nilimwambia nimeamua kujilipa kwani tayari walikuwa wameshafanya mapenzi hapo nyuma.
Niliamua kuzitunza zile pesa sababu nilikuwa na malengo ya kuja kununua gari siku za mbeleni.
Siku mbili zilipita na siku hiyo mkuu kwa mara nyingine tena alikuja nakuanza kunitupia lawama kuwa nimwambie Cyborg aache kutembea na mkewe.
Nilikuwa nimeshachoka kwa lawama alizokuwa akinitupia mkuu wangu karibu kila siku.
"Mtafte mwenyewe uongee nae sihitaji uniingize kwenye ugomvi wenu" nilimjibu na Robert au mkuu aliongea kwa hasira.
"Subiri utaona lazima nikutie na mimi kama mme wako anavyomtia mke wangu, haiwezekani mke wangu awe anamtaja taja Cyborg kila mara" Mkuu aliongea nakuondoka.
Kiukweli nilishindwa kumwelewa na nilihisi labda anataka atumie kama mbinu kwa ajili ya kufanya mapenzi na mimi.
Siku hiyo ilipita na siku iliyofata mkuu aliniambia niingie kwenye gari yake kwani kuna sehemu tunayotakiwa kwenda kufanya kazi. Sikuwa na amani kabisa mbele ya mkuu wangu na hiyo ilitokana na yeye kunipa vitisho siku iliyopita kuwa ni lazima anitie kama Cyborg alivyomzagamua mke wake.
Ni kosa kwa asikari kupinga amri ya mkuu wake hivyo niliamua kuingia kwenye gari yake, na nilipoingia tu mkuu alilock milango ya gari yake pamoja na vioo kisha baadae alianza kuendesha gari kuelekea sehemu aliyokuwa akiijua yeye.
Tukiwa njia nilishangaa kumuona akichukua barakoa na kuvaa na baadae moshi ulianza kutawala ndani ya gari hilo na kunifanya niwe na wakati mgumu kwani nilishindwa kupumua vizuri.
Baada ya mda kupita sikujua kilichokuwa kikiendelea ila ninachokumbuka tu nilipoteza fahamu na nilipokuja kuzinduka nilishangaa kwa kile nilichokiona.
Nilimuona mkuu wangu akiwa juu ya kifua changu huku akiendelea kunizagamua. nilikuwa nimeshachelewa tayari kwani haikupita mda alipiga bao na alivyonadharau hakutaka kupigia nje.
Kwa hasira nilimsukuma lakini alikuwa akicheka kwa dharau kwani nilikuwa nafanya kazi bure maana tayari alikuwa ameshanila.
"Unajisumbua tu Angel tayari nimeshafanya mapenzi na wewe, hasira zako hazitakusaidia" aliongea huku akienda kuchukua nguo zake kwa ajili ya kuvaa.
Kwanza niliuangalia uume wake na kugundua kuwa ana kibamia na ndipo nilipopata picha kwanini mkewe anang'ang'ania kufanya mapenzi na Cyborg.
"Ulichokitaka umeshatimiza iwe mwanzo na mwisho kuja kunifanyia huu mchezo na kuanzia leo sitafata amri yako ata kama wewe ni mkuu wangu" nilimwambia baada ya yeye kunizagamua bira matakwa yangu.
"Mwambie mme wako aendelee tu kutembea na mke wangu na mimi sitaacha kutembea na wewe maana wewe ni mtamu balaa kuzidi ata mke wangu" Mkuu aliongea kisha baada ya hapo aliondoka nakuniacha mwenyewe.
Nilibaki nikiwa siamini kama kweli Robert amenizagamua tena kizembe namna hii, niliwaza jinsi itakavyokuwa endapo Asikari wenzangu watapata habari za mimi kufanya mapenzi na mkuu wangu. Sikuwa na njia nyingine ya kufanya zaidi ya kwenda kujisafisha na kwenda kuvaa nguo zangu.
Kiukweli kisima changu kilikuwa kawaida na nilijiona kama sijafanya mapenzi kwani Mkuu wangu hakuwa na uwezo wa kumlizisha mwanamke na kumfanya ajisikie kweli ameshiriki tendo la ndoa, Niliondoka na sikutaka tena kurudi kituoni bali nilielekea nyumbani moja kwa moja.
Nilimkuta Cyborg akiwa nyumbani na sijui ni kitu gani kilichomrudisha mapema nyumbani siku hiyo. Kidogo nilikuwa na aibu kutokana na kile kilichonikuta mda mfupi uliopita.
Cyborg alipokuwa akinitazama machoni nilikuwa nikikwepesha macho yangu mwisho aliamua kuniuliza.
"Angel mbona unaogopa kuniangalia?" Cyborg aliniuliza.
"Mimi!!, wala sikuogopi mme wangu ni mawazo yako tu hayo" niliongea huku nikijaribu kutoa wasi wasi niliokuwa nao mbele ya Cyborg.
Cyborg alinisogelea na kuanza kunipapasa ili kuniandaa kwa ajili ya kunizagamua...ITAENDELEA.