Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

PENZI LA MHALIFU 34

19th Apr, 2025 Views 22

PENZI LA MHALIFU 34

Temu hii nilitaka kujaribu kitu ili kumzuia asije akipiga makelele yake. alipokuwa akinipampu nilichukua shuka na kumziba nalo kwenye mdomo ili asipige kelele lakini Cyborg alilitupa pembeni na kuendelea na mtanange huku akiendelea kupiga kelele zake kama kawaida.

Tulipomaliza kufanya mapenzi Cyborg aliniambia.
"Malaika najua hupendi mimi kupiga kelele ila huwa siwezi kabisa kujizuia sababu ya utamu wako" aliongea na mimi sikuwa na la kufanya tena zaidi ya kukubaliana na hali.

Usiku huo ulipita na siku iliyofata ikiwa ni mida ya asubuhi nilipigiwa simu na asikari kutoka kwenye kituo nilichokuwa nikifanya kazi zamani na kupewa taarifa zilizonihuzunisha.

Niliambiwa kuwa Afande Neema aliyekuwa rafiki yangu kipindi cha nyuma amepoteza maisha na walinipa ratiba kamili ya mazishi.

Niliamua kwenda kwenye ofisi ya mkuu na kumuomba ruhusa na bahati nzuri alikuwa ni mwelewa hivyo aliniruhusu niende kwenye msiba wa aliyekuwa rafiki yangu.

Kipindi natoka kwenye ofisi ya mkuu wetu wa kazi nilipishana na Afande Joel tuliyekuwa hatupatani kwa wakati huo.
"Usifikiri nimeacha kukufatilia bado naendelea mpaka nije nifanye sex na wewe siku moja kama mme wako alivyotembea na mchepuko wangu" aliongea na mimi sikutaka kutishika na maneno aliyoniambia.
"Wewe endelea kunifatilia ila hupati utamu hapa" niliamua kumjibu kisha baada ya hapo niliondoka.

Nilimuacha akiwa ananitazama nahisi alikuwa akifikiria siku atakayopata bahati ya kunivua nguo basi lazima anipelekee moto.

Nilirudi mpaka nyumbani na baadae nilimpa taarifa Cyborg za msiba uliotokea kisha baadae ya hapo niliondoka na kwenda msibani huku nikiwaacha Anna na Mfanyakazi wangu wa ndani pamoja na Cyborg aliyekuwa kazini kwake kwa wakati huo.

Nilifika sehemu husika kwenye msiba ulipokuwa ukifanyikia na nilimshuhudia mkuu wangu wa zamani ambae ni Robert pamoja na Afande Davi waliokuwa wamekaa pamoja. Wote walikuwa wakiniangalia kila mara.

Tukiwa msibani Afande Davi aliamua kunifata na kuanza kuniongelesha kwa sauti ya chini.
"Bora tumekutana nilikukumbuka kweli Angel yani tangu uondoke sina raha kabisa"
"Una maana gani!?" niliamua kumuuliza na Afande Davi aliniambia kuwa huwa haachi kuniwaza.

Sikutaka kumpa nafasi ya kuendelea kuongea kwani ni lazima angeanza kunitongoza tena hivyo niliamua kwenda kujumuika na wanawake wenzangu.

Siku mbili zilipita huku Afande Joel na Mkuu wangu wakiwa bado wanaendelea kunisumbua wakinitaka nikubali kufanya nao mapenzi, kuna mda nilikuwa nikihisi wanashindana kunitongoza kwani walikuwa wakipeana zamu ya kuongea na mimi akitoka huyu anakuja huyu. Nilitamani msiba uishe haraka ili niweze kuondoka.

Naomba nikili wazi tu kama kunishawishi walijua kunishawishi ila bahati nzuri msiba uliweza kumalizika na mimi nilirudi nyumbani ikiwa ni mida ya saa 6 usiku.

Nilisogea mpaka mlangoni kwa ajili ya kugonga ili waweze kunifungulia lakini nilisikia sauti ya Cyborg kwa ndani "Aaaah tamu tamu tamuu"
Baada ya kusikia sauti ya Cyborg nilijua lazima atakuwa akifanya mapenzi kwa wakati huo.

Mapigo ya moyo wangu yalianza kwenda kasi baada ya kuhisi hali ya hatari kwenye akili yangu. ilibidi nigonge mlango kwa nguvu na kuwaita waje wanifungulie, kwa mbali nilisikia visindo vya watu wakikimbia baada ya kuisikia sauti yangu.

Niliamini kwa asilimia 90 kuwa kuna kitu kilichokuwa kikiendelea. zilipita kama dekika 5 na baadae mfanyakazi alikuja kufungua mlango huku akiwa ni mwenye wasiwasi, nilimsogelea karibu na nilisikia harufu ya jasho alilokuwa nalo.
"Nani aliyekuwa anakutia!?" nilimuuliza ili nione atajibu kitu gani.
"Eeeee!! dada unasema!?" na yeye aliniuliza na aliongea kama vile hajasikia kile nilichomuuliza.
"Nakuuliza ivi, nani uliyekuwa unafanya nae mapenzi?" nilimuuliza kwa mara nyingine na mfanyakazi alikana na kuniambia alikuwa amelala kwa wakati huo.

Niliamua kuingia mpaka chumbani kwangu nakuwasha taa ya chumbani huku nikimuacha mfanyakazi akifunga mlango. Nilimkuta Cyborg kalala huku akiwa anakoloma.

Nilisogea kitandani na kumuamsha Cyborg.
"Malaika umerudi sangapi!?" Cyborg aliongea kama mtu aliyetoka usingizini mda huo baada ya kuniona.
"Sasa ivi tu" nilimjibu huku nikiangaza angaza ndani ya chumba changu na baadae niligundua kuwa Cyborg yupo uchi na alikuwa hajavaa kitu chochote kile.

Nilipomuuliza kwanini kalala uchi alidai ni kutokana na joto lililokuwa ndani ya chumba chetu. nilienda kujimwangia na baada ya hapo nilipanda kitandani kwa ajili ya kulala.

ilipofika asubuhi niliamka na siku hiyo mdogo wangu Anna alikuwa akinionea aibu na alikuwa hajiamini kila tulipokuwa tukikutana.
Nikiwa kama asikari nilijua tayari Cyborg ameshamnyandua mdogo wangu.

Nilitaka kufanya uchunguzi mwenyewe na siku hiyo nilienda mpaka ofisini kwetu na bahati nzuri nilipoongea na mtu wa kitengo cha IT alikubali kunipatia Cctv camera za siri.

Baada ya kupewa camera nilienda kuzitegesha vyumbani pamoja na sebleni, pia niliamua kumuaga Cyborg kuwa na safari ya kikazi na nitakaa huko kwa siku mbili.

Kilichonishangaza ni Cyborg kukubali bira ata kuongea neno lolote lile.

Niliondoka bira ya wao kujua kama kuna kitu nimetegesha kwenye vyumba vyetu.

Ndani ya hizo siku mbili Cyborg usiku alikuwa hapatikani na ata mdogo wangu Anna nae alikuwa hapokei simu pale nilipokuwa nikimpigia mida hiyo ya usiku.

Baada ya siku mbili kupita siku ya tatu nilirudi nyumbani na kitu cha kwanza nilienda kuchukua Cctv camera nilizokuwa nimezitegesha.

Baada ya kuziangalia sikuamini kile nilichokiona kwani nilimuona Cyborg alivyokuwa akiwazagamua wote wawili yani dada wa kazi pamoja na mdogo wangu Anna.
Tena alikuwa akifanya nao mapenzi kwa zamu zamu huku wakipeana ushirikiano wote.

Sikutaka kuongea chochote bali niliamua kwenda kuziweka video kwenye simu yangu na kumtumia Cyborg kisha baada ya hapo nilimtumia mdogo wangu Anna.

Anna alikuwa nyumbani mda huo na alikoswa cha kuongea mbele yangu na sijui ata aliondokaje kwani sikumuona tena nyumbani kwangu siku hiyo.

Upande wa Cyborg siku hiyo aliweza kurudi nyumbani mida ya saa mbili usiku na alifika mbele yangu na kupiga magoti.
"Malaika nisamehe ni shetani tu alinipitia ila sikuthamilia kukusaliti" Cyborg aliongea.
"Ungejua jinsi gani nimekwepa wanaume wengi ili nisikusaliti lakini wewe ulivyo na tamaa umeamua kufanya mapenzi na mdogo wangu!?" niliongea huku nikiwa na hasira huku machozi yakinilenga kwa mbali.

Cyborg aliendelea kunibembeleza ila sikutaka kumsamehe kabisa. nilimwambia aondoke na sitaki kumuona nyumbani kwangu.

Cyborg aliondoka huku akijilaumu kwa kile alichokifanya pia dada wa kazi nae aliondoka na ndani ya nyumba nilibaki mimi pamoja na mtoto wangu.....ITAENDELEA.

Za hivi punde ni za 🔥🔥🔥 | Sema Jambo
Your settings were saved successfully!
Something went wrong!
You're not logged in
Click here to login and post your story

Welcome gonga94 Continue reading the various stories available here. Click here. Are you an artist then create an account here Signup/Login


mjukuu rewards 100
 

DEMU MLA MADEMU (CHOMBEZO)

mjukuu rewards 100
 

NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 10*

mjukuu rewards 100
 

NITAKUPA USINIROGE (1)

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 19

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 18

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 17

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 16

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 42

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 41

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 40

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 39

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 38

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 37

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 36

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 35.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 34

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 33.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 32

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 31

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 30

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 29

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 28

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 27

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 26

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 25

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 24

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 23.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 22

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 21

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 20

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 19.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 18

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 17.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 16

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 15.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 14

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 13.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 12

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 11.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 10

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 09

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 08

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 07.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 06

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 05.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 04.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 03

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 02

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 01.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 22.

mjukuu rewards 0
 

NASEMA KWA MAMA **** 3--4

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 15

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 14

mjukuu rewards 0
 

WIFI KHAA 04

mjukuu rewards 0
 

NASEMA KWA MAMA* 1-----2

mjukuu rewards 0
 

KIJIJI CHA WAGENI! 04

mjukuu rewards 0
 

MKE WA MGANGA ( 1——5 )

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 13

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 21.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 20.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 19.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 18.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 17.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 16.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 15.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 14.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 13.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 12.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 11

mjukuu rewards 0
 

WIFI KHAA 02 #Tulipoishia

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 10

mrindia rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 09

mjukuu rewards 0
 

*MY CHUNUN* 01

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 09

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 08

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 07

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 06

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 05

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 4

mjukuu rewards 0
 

SHANGATISA EP: 3

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: {02}

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 1

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 08

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU (06 & 07)

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 05

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 04

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 03

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU (01& 02)

mrindia rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 01

mjukuu rewards 0
 

MTOTO WA GETI KALI 1 - 6

mjukuu rewards 0
 

MIMI SIO KICHAA

mrindia rewards 0
 

SITOMWACHA HATA IWEJE

mjukuu rewards 0
 

BINTI MCHAWI

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest