Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

SIMBA imedhamiria Kimataifa. Hicho ndicho unachoweza kusema baada ya kufanya kazi ya nguvu kwa kuwatuma mashushu wake hodari, kuwapeleleza wapinzani wao katika hatua ya Robo ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) klabu ya Al Massr ya Misri

10th Mar, 2025 Views 11

SIMBA imedhamiria Kimataifa. Hicho ndicho unachoweza kusema baada ya kufanya kazi ya nguvu kwa kuwatuma mashushu wake hodari, kuwapeleleza wapinzani wao katika hatua ya Robo ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) klabu ya Al Massr ya Misri ??
.
Simba inaendelea kuweka mikakati mikubwa ya kuhakikisha inapata Matokeo mazuri Ugenini ili kuja kumaliza mechi nyumbani kwa Mkapa. Mashushu hawa watakuwa katika mstari wa mbele, wakikusanya taarifa muhimu ambayo inaweza kuisaidia timu katika kukabiliana na changamoto za mechi hiyo ya Ugenini.
.
Mashushu hawa wa Simba, wanaojulikana kwa uhodari na ujuzi wao katika uchunguzi wa michezo, wamepewa jukumu la kuchunguza mikakati ya klabu ya Al Massr, hali ya wachezaji, na mambo mengine muhimu ambayo yanaweza kuwa na ushawishi mkubwa kwenye matokeo ya mechi.
.
Kutoka kwa Bilionea mwenyewe ameniambia Hii inaitwa “Oparesheni Misri” ..!!.

Trending Now on Sema Jambo

Qaswida
 

mjukuu
 

mjukuu
 

mjukuu
 

mjukuu
 

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest