PENZI LA MHALIFU 32
"Nimekwambia nikiwa na maana ya kuwa unatakiwa uwe makini hapa vinginevyo kwa huo uzuri wako unaweza kusababisha asikari wenzako wakaanza kuuwana wao kwa wao" mkuu aliongea na alinishauri mambo mengine mengi na baadae aliniambia niondoke ila alinisihi niwe makini nisije kuwagombanisha asikari wenzangu.
Niliondoka huku nikiwa nashukuru sababu mkuu hakunitongoza na ilikuwa totauti na vile nilivyokuwa nikiwaza.
Basi bwana mda wa kazi ulipoisha nilirudi nyumbani na kumkuta mdogo wangu Anna akiwa tayari ameshakuja. nilimkaribisha kwa furaha na kuanza kumuuliza habari za nyumbani.
Mida ya jioni ilipofika Cyborg aliweza kurudi nyumbani nae alifurahi baada ya kumuona anna.
Tukiwa tumelala chumbani mimi pamoja na Cyborg aliamua kuniambia.
"Mdogo wako ni mzuri kama ulivyo wewe Malaika"
"Mmmh, isije kuwa umeshaanza kumtamani sababu huchelewi kutamani na ole wako uje usex nae utanijua mimi ni nani, lazima nikupige bastora" niliongea huku nikimsisitizia.
"Haiwezi kutokea kwanza hapa na upwiru tayari kipenzi"
"Mmmmmh leo sipo tayari kwakweli, nataka tupumzike" niliongea kwa kudeka mbele ya Cyborg.
"Naomba kamoja tu kakulalia Malaika wangu" Cyborg aliongea na baadae alitumia utundu wake na wote tulijikuta tukiingia kwenye ulimwengu mwingine usiku huo.
Kama ilivyokawaida ya Cyborg wakati wakuzagamuana hakuacha kuongea maneno yake ya kila aina huku akidai kuwa mimi ni mtamu.
Upande wa kwenye chumba alichokuwa amelala mdogo wangu pamoja na mdada wa kazi huku katikati yao wakiwa wamemlaza mtoto wangu aliweza kusikia sauti za Cyborg na alielewa kuwa mda huo dada yake nazagamuliwa.
Anna uvumilivu ulimshinda na kuamua kumuuliza dada wa kazi.
"Mmmmh ina hivi ndivyo mnavyoishi kwenye hii nyumba!?"
"Una maana gani kuniuliza hivyo!?"
"Namaanisha kuwa umeshazoea kuzisikia sauti za dada na shemeji wakifanya mapenzi!?" Baada ya kumuuliza mfanyakazi aliamua kucheka na kumwambia.
"Sio kusikia tu mda mwingine mpaka kuona huwa naona sema huwa najikausha tu na kuendelea na mambo yangu na hapo kuja wamalize sio sasa ivi"
"Mmmmmh unasema kweli!?" Anna alimuuliza.
"Kweli tena wala sikudanganyi wewe mwenyewe tu utajionea kwa siku kadhaa utakazokuwa hapa" mfanyakazi alimjibu kwa kumhakikishia na mdogo wangu aliendelea kutega masikio yake kusikiliza kile kilichokuwa kikiendelea kwenye chumba chetu.
Wakati wao wanatujadili sisi huku tulikuwa bado tukizagamuana na baada ya mda tulimaliza kufanya sex.
"Malaika najiona kama nimekuoa jana tu huishiwi radha kabisa na utamu wako unaongezeka siku hadi siku" Cyborg aliongea huku mikono yake ikiwa imeshika matiti yangu.
"Kwa sababu ni gari lako tu ndiyo inapita kwenye barabara yangu ndiyo maana size ya barabara bado ni ileile na haiwezi kupanuka" niliongea na wote tulijikuta tukicheka huku tukizidi kutaniana.
Pia nilikumbuka kitu nakuamua kumwambia "Punguza kelele unazopiga wakati wa kufanya mapenzi bado sifurahishwi nazo na ukizingatia leo mdogo wangu kalala kwenye chumba cha jirani" nilimwambia ila Cyborg hakuwa na hofu kabisa.
"Atazoea tu mbona mfanyakazi ameshazoea, kelele siwezi kuacha kupiga ata siku moja Malaika wangu sababu ndiyo huwa zinanipandisha stimu na kunifanya nisichoke kukuzagamua" aliongea na mimi niliishia kuguna huku nikimsihi ajaribu kupunguza kelele zake wakati wa kufanya sex.
Basi nilijikuta nikipitiwa na usingizi na niliamushwa na Cyborg mida ya saa 12 kwani alikuwa akihitaji apewe cha asubuhi, sikutaka kumzuia nilimpa na tulikuja kumaliza kufanya mapenzi mida ya saa 1 na dekika kadhaa hivyo nilijiandaa upesi kwa ajili ya kuelekea kazini kwangu.
Nilipishana na mdogo wangu Anna aliyekuwa akitoka chumbani na baadae alinisalimia ila hakuacha kuachia tabasamu lililonifanya nimuulize.
"Mbona unatabasamu!?"
"Dada mme wako mbona anapiga kelele hivyo!?" aliniuliza bira ata kuniogopa.
"Subiri siku ukiolewa na wewe basi utaelewa ni kwanini mme wangu anapiga kelele" ilibidi nimjibu kwa mafumbo na baadae nilimuaga nakuondoka.
Siku kadhaa zilipita huku mdogo wangu Anna akiwa bado anaishi nyumbani kwangu na alikuwa ameshayazoea mazingira na hali ya Cyborg kupiga kelele usiku wakati wa mizagamuano.
Siku hiyo usiku nilikuwa kwenye siku zangu na Cyborg alipotaka kufanya mapenzi na mimi nilimzuia na kumsihi awe mvumilivu.
"Angel leo na hamu kweli sijui nifanyeje kutuliza stimu" aliongea huku akimshikashika asikari wake aliyekuwa amesimama barabara kwa wakati huo.
"Vumilia tu siku ya leo ipite" nilimjibu na mimi niligeukia upande mwingine kwa ajili ya kulala sababu alikuwa anatia huruma mno na kama mwanamke ukikaa vibaya basi Cyborg anaweza kukushawishi mpaka ukakubali akutoe malinda.
Nikiwa nautafuta usingizi nilimsikia Cyborg akinyenyuka kitandani na baadae alienda kufungua mlango nakuondoka.
Nilishindwa kuelewa anaenda wapi na zilipita kama dekika kadhaa bira Cyborg kurudi hivyo na mimi nilinyenyuka kitandani na kutoka kwenye chumba chetu.
Duuh!!! huwezi amini kwa kile nilichokiona kwani Cyborg alikuwa...........ITAENDELEA.
Unajua niliona kitu gani? basi tukutane sehemu ijayo ili upate kufahamu..