PENZI LA MHALIFU 38
Nilibaki nikimwangalia baada ya Afande James kuondoka.
Nikiwa na maasikari wenzangu tuliletewa taarifa za kuhitajika kwenda kwenye tukio la fumanizi.
Niliondoka mimi pamoja na asikari wenzangu na tulifika kwenye gest moja na kupelekwa mpaka kwenye chumba kulipokuwa na tukio la kushitusha.
Tulifika kwenye chumba namba 03 na kukuta binti wa miaka 23 amegandana na mwanaume mwenye miaka 45, wote walikuwa wakipiga kelele kwa maumivu waliyokuwa wakiyapata.
Ilibidi tuanze kuchukua maelezo kutoka kwao na baadae walitutajia namba za wenza wao.
Tuliamua kuwapigia na waliahidi watakuja baada ya mda mfupi.
Haikupita mda alikuja kijana aliyetambulika kama mme wa binti aliyekuwa na mchepuko wake na baada ya mda tena alikuja mwanamke aliyejitambulisha kuwa ni mke halali wa mwanaume aliyekuwa amegandana na binti aliyekuwa akichepuka nae.
Kijana aliongea kuwa yeye ndiye aliyetegesha dawa ili aweze kumfuma mke wake.
Basi asikari ilibidi tufanye kazi yetu ya kumshawishi kijana aweze kutengua maamuzi yake na baadae alikubali kisha baada ya hapo alimwita mganga wake na alipokuja aliwawekea dawa alizokuwa akizijua yeye na baadae waliweza kuachana na kila mtu alienda kuvaa nguo zake.
Tuliondoka nao kwa ajili ya kwenda kuchukua maelezo kutoka kwao.
Mda wa kazi ulipoisha nilirudi nyumbani na nilipofika niliamua kumwambia.
"Kelvin hamna kitu ninachokichukia kama usaliti, hii ni mara ya mwisho siku nikisikia umemtia mwanamke mwingine basi sitakuwa na msamaha na wewe tena" niliongea ma Cyborg aliamua kunijibu.
"Malaika naomba uniamini temu hii haitajirudia tena na kuhakikishia"
"Wewe sema tu haitajirudia ole wako huo mtalimbo wako utamani tena kusugua sehemu nyingine ndiyo utamjua vizuri Angel ni mtu wa aina gani" niliongea lakini badala yake Cyborg alianza kupitisha mikono yake kwenye mapaja yangu na kuniambia.
"Malaika twende chumbani"
"Sio sasa ivi niache kwanza bado na mawazo yangu hapa Cyborg" nilimjibu lakini hakutaka ata kusikia alinibeba na kunipeleka chumbani.
Kiukweli hiyo miaka miwili niliyokaa bira kunyanduliwa sana ni kama aliniacha nipumzike na yeye alienda kujipanga upya kwani karibu kila mda alikuwa akitaka kufanya mapenzi tu kuna mda dozi ilikuwa ikinizidia ila sikuwa na ujanja wowote ule mbele ya Cyborg.
Basi tulizagamuana na baada ya kumaliza nilijikuta nikipitiwa na usingizi na nilikuja kuzinduka mida ya saa 3 usiku baada ya kuamshwa na Cyborg.
Nilienda kupata chakula na tukiwa tunakula mida hiyo ya usiku tulisikia mtu akibisha hodi kwenye mlango wa nyumba yetu.
Mfanyakazi alienda kufungua mlango na baadae niliona watu watatu mlangoni, mmoja alikuwa ni mwanamke na wawili walikuwa ni wanaume.
Cyborg alishituka baada ya kuwaona.
Baadae waliingia mpaka ndani na kwenda kukaa bira sisi kuwakaribisha. mmoja wao alimwambia Cyborg.
"Ulifikiri kuwa hatutajua ulipo!?" alimuuliza huku Cyborg akiwa kakaa kimya.
"Piga simu polisi waambie mtuhumiwa wetu tumempata" mwanamke waliyekuja nae aliongea bira kujua kama mimi mwenyewe ni asikari.
Ilibidi niwaulize tatizo nini na kipi kilichowaleta nyumbani kwangu. walianza kunielezea kuwa walimwajiri Cyborg kwenye mgodi wao wa kuchimba dhahabu na baada ya mda Cyborg aliwaibia pesa na kukimbia.
Nilibaki kwenye mshangao kwa kile walichokiongea lakini Cyborg aliamua kuongea.
"Sijaiba hizo pesa na mwizi mnayemtafuta ni huyo huyo mwanamke mliyekuja nae yeye ndiye anayejua kila kitu" Cyborg aliongea akimaanisha yule binti waliyekuja nae.
"Wewe unikomee kabisa nani kaiba!?" binti alimwambia Cyborg ambae nae hakutaka kukubali na wote walijikuta wakianza kujibishana wao kwa wao huku kila mtu akimtupia mzigo mwenzake.
Nilikuwa sielewi nimwamini nani na nilishindwa cha kufanya pia sikutaka kujitambulisha kwao kuwa mimi ni Asikari.
Kiukweli hiyo siku nilihisi Cyborg amenivua nguo kwani niliwaza asikari wenzangu watanichukuliaje kwa kitendo cha mme wangu kuwa na kesi ya wizi na ukizingatia mimi mwenyewe ni asikari.
Basi usiku huo huo asikari wenzangu walikuja na walibaki kwenye mshangao kwa kile walichoambiwa.
Walimchukua Cyborg na kuondoka nae na ata yule binti ilibidi waondoke nae baada ya Cyborg kudai kuwa na yeye ni mhusika.
Kwa kilichotokea sikuwa na hamu ya kushirikiana na asikari wenzangu kutokana na aibu niliyokuwa nayo kwa wakati huo.
Basi siku iliyofata nilienda kituoni na maelezo niliyokutana nayo ni upotevu wa pesa kiasi cha Million 10 na Cyborg aliendelea kushikilia msimamo wake kuwa hakuiba peke yake na alishirikiana na yule mwanamke.
Kwakuwa Cyborg alikuwa mme wangu busara ilibidi itumike kwenye kituo chetu, walimwambia alipe million 7 na yule mwanamke million 3 na walimpa mda wa kulilipa deni hivyo Cyborg aliachiliwa na kurudi nyumbani.
Kiufupi matukio yalikuwa hayaishi kwenye ndoa yetu.
Sikuacha kutupa lawama kwa Cyborg ila alinitoa wasiwasi na kuniambia atalimaliza mwenyewe na atapambana kulilipa deni.
"Malaika unafikiri ningetoa wapi pesa ya kununua gari bira kujiongeza uzuri biashara ninayo nitakuwa nawalipa kidogo kidogo mpaka deni litakapoisha" Cyborg aliongea.
Niliamua kuacha mambo yapite ili maisha mengine yaendelee.
Maisha yaliendelea na kwakuwa Cyborg alikuwa akipenda kunyanduana kila mara nilihisi kabisa ninaweza kupata mimba kwa mara nyingine.
Hivyo niliamua kwenda kufatilia uzazi wa mpango na sikuwa na mpango wa kuzaa mtoto mwingine kwa wakati huo......ITAENDELEA..